Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,008
- 26,318
Ngoja wakusikie wenye rais wao ?Kimsingi mheahimiwa rais kakosea Sana kutoa hiyo kauli. Kwa mfano makamu wake rais je atasafiria Nini?
Kesho akiachia madaraka hizo ndege zinarudi Tena kwa rais Kama second hand?
Sababu ya yeye kutokutumia ndge isimfanye akaonekana Kama joka la mdimu. Ndimu halili na hata mwenzie naye asikule.
Halafu nafikir mheshimiwa Ben MKapa aliposema rais aache kauli za kusema "Mimi, Mimi au serikali yangu, serikal yangu" bado hakumuelewesha vzr mheshimiwa rais.
Kama serikal ninya CCM Basi lazima serikal hii ijue Mali za rais siyo Mali za mtu bali ni za taifa. Any change of use lazima ifwate process na siyo kauli tuu ya mtu mmoja
Yaani huwaambii kitu hicho ulichoandika hapo uharo mtupu.
Yaani wao ni mbele kwa mbele
Yaani tawile tawile baaba tawile!!!
Sent using Jamii Forums mobile app