Sishauri Forker 50 na Forker 28 ziwe 'Branded' kama Ndege za Kibiashara za ATCL

Mleta mada ni moja ya wapuuzi wanaotaka kuonekana wanaakili sana humu jf!

Hujatoa athari yoyote iwapo zitatumika kama mh Rais alivyosema, halafu unalalama kijinga.

Sent using Jamii Forums mobile app

Upuuzi wangu na Ujinga ndiyo umeujua leo? Kheri yako Wewe Mwerevu ambaye badala sasa ya Wewe kuja na Hoja nzito ili uonyeshe huo Upuuzi na Ujinga wangu umekuja Kunitukana. Kama ni Uwerevu wa Kutukana tu Mkuu kweli unao na Hongera zako sana tu.
 
Ubaya sijui niseme uzuri, ndo ameshasema na itakua atakavyo yeye.
 
Alichokifanya JPM kinastahili pongezi ila wewe na ego yako hapa JF unajionesha...... naachia hapo. Kumbuka tulipinga sana kuwa na ndege za serikali maana wakati WM akihitaji ndege anaweza kukodi ndege ya Atcl after all bado wanakodi ndege za tanzanair etc. acha kujifanya mjuzi wa kila jambo you need to mature
 
Hii ni ' dharau ' kubwa kwa Marais waliopita kuanzia Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete kwa Mtu mmoja leo kuamua kwa ' Kukurupuka ' tu kuwa Ndege za Rais Forker 50 na Forker 28 ziwe ' Branded ' kama ' Commercial Planes ' za ATCL.

Hili halipo na halijawahi kutokea nchi yoyote ile duniani na naamini hata tungekuwa Mbinguni Kwake Mwenyezi Mungu hata Yeye pia asingefanya hiki ' Kituko ' ambacho GENTAMYCINE nakiita ni cha Kufungulia mwaka huu ambao bado ni mbichi kabisa wa 2019.

Hoja kwamba zipakwe rangi kisha zichuke Abiria kwakuwa huwa zinakuwa ' grounded ' tu na kwamba hata mwenye Kuhusika nazo huwa hazitumii kwakuwa hasafiri mara kwa mara kutolewa na ' PhD Holder ' kidogo ni kutaka Kuwadhalilisha ' Intellectuals ' wote nchini Tanzania.

Wasaidizi wa Rais hebu fanyeni Kazi zenu vyema Kwake kwa Kumshauri mnaogopa nini? Hivi Sekta ya Anga ya leo au ATCL ya leo inahitaji kweli hadi hata Ndege za Marais nazo ziwe ' branded ' na zijumuishwe kama Ndege za Biashara na Kubeba Abiria? Je kuna hilo hitaji kweli?

Ningeambiwa au ningesikia Hoja kwamba labda Ndege hizo ziuzwe na ibaki moja kisha hizo Hela zitumike Kuimarisha Sekta ya Kilimo ambayo inahitaji msaada na ungalizi mkubwa ningemwelewa Mheshimiwa Rais na ningekubaliana nae kwa 100% ila kwa hii Hoja yake ya leo nampinga na naona ni kama vile ' Tusi ' kwa Watangulizi wake.

Wengine tumeumbwa kuwa wakweli na wawazi hivi hivyo mtusamehe tu na tuvumiliane. Tuache Kukurupuka na kuwa na ' Mihemko ' isiyo na Tija wala Mantiki. Halafu akina Donald Trump ' wakitutukana ' Waafrika huwa tunalalamika na kuona labda anatuonea wakati kumbe huwa yuko sahihi tena kwa 100% zote kutokana na ' Madhaifu ' yetu ya asili.

Nimesikitika!

Nawasilisha.
cc: Pascal Mayalla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magu yupo sahihi kwani Forker bado ni nzuri kwa matumizi ya usafiri wa abiria, nakumbuka zile za ATC ya zamani zilikuwa Forker 27 na zilikuwa poa kwa kipindi kile, na hizi za Serikani ni 28 na 50 zitakuwa poa zaidi ukizingatia kuwa matumizi yake yalikuwa ni machache sana kwa upanded wa matumizi ya Serikali.
Kama akitaka kusafiri hata masafa marefu bado Gulfstream ipo atatumia tu. Kwa maamuzi yake ya leo kwakweli nampongeza.
 
Upuuzi wangu na Ujinga ndiyo umeujua leo? Kheri yako Wewe Mwerevu ambaye badala sasa ya Wewe kuja na Hoja nzito ili uonyeshe huo Upuuzi na Ujinga wangu umekuja Kunitukana. Kama ni Uwerevu wa Kutukana tu Mkuu kweli unao na Hongera zako sana tu.
Wanaokupa shangwe ni wenzio wanaopenda kuchukulia mambo juu juu tu kishabiki kama wewe mtusi feki,

Rais kaamua kuzitoa hizo ndege zitumiwe na ATCL kibiashara kwa sababu mda mwingi zimepaki tu, wewe unakuja kukosoa bila kumpinga rais kwa hoja aliyoitoa.

Toa mbadala wako sasa ili ueleweke kuwa wewe ni mwenye maono ya mbali,

Hizo ndege ni kodi ya Watanzania na zimepaki hazina kazi ya msingi, kwanini zisitumike kwa local routes? toa athari yoyote ya msingi ukiondoa ushabiki wa kutafuta likes za mabandit wenzio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru Mungu kuwa kupitia tu ' Uzi ' wangu huu nimeweza sasa kuwajua wale ' Waliobarikiwa ' kwa ' Upumbavu ' hadi Milele. Nimeweka wazi sana Hoja yangu kuwa sishauri hizo Ndege za Rais ziwe ' branded ' hivyo na zibebe ' Abiria ' kwa Hoja ya Rais kama alivyosema na kama nia ni Kuiongezea Mapato ATCL na Kuimarisha Sekta ya Anga nchini basi hizo Ndege kama ziko Tatu mbili zibebe Abiria ila Ndege moja ibaki vile vile kuwa ni ' Maalum ' tu kwa Kumbeba Mheshimiwa Rais au Makamu wake au Waziri Mkuu wake lakini zote zisifanywe zikawa za Abiria. Na kama haitoshi katika Maelezo yangu nisema vyema tu kuwa kama ikiwezekana basi ni bora hizo Ndege ziuzwe na Hela inayopatikana hapo ielekezwe katika Sekta muhimu ya Kilimo ambayo Kwangu Mimi bado inahihati nguvu kubwa lakini bado ' Mifungulu Ngenge ' fulani isiyojua Kufikiri na inayojua tu Kujipendekeza kama siyo Kujikomba inatetea.

Ngoja niendelee ' Kuwadharau ' hapa.

Cc: Saguda47 , heavyload, narumuk , retweeted , jogoo_dume , idawa , sonaderm , Rogojin The Idiot , Elly official , kakolaki , Lokissa , MWALLA
 
Jamaa anaendėsha nchi kwa jinsi anavyojisikia yeye hii ni mzigo kwa watumishi watendaji maana wanapata wakati mgumu kutekelezà matamko ya majukwaani
 
Hii ni ' dharau ' kubwa kwa Marais waliopita kuanzia Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete kwa Mtu mmoja leo kuamua kwa ' Kukurupuka ' tu kuwa Ndege za Rais Forker 50 na Forker 28 ziwe ' Branded ' kama ' Commercial Planes ' za ATCL.

Hili halipo na halijawahi kutokea nchi yoyote ile duniani na naamini hata tungekuwa Mbinguni Kwake Mwenyezi Mungu hata Yeye pia asingefanya hiki ' Kituko ' ambacho GENTAMYCINE nakiita ni cha Kufungulia mwaka huu ambao bado ni mbichi kabisa wa 2019.

Hoja kwamba zipakwe rangi kisha zichuke Abiria kwakuwa huwa zinakuwa ' grounded ' tu na kwamba hata mwenye Kuhusika nazo huwa hazitumii kwakuwa hasafiri mara kwa mara kutolewa na ' PhD Holder ' kidogo ni kutaka Kuwadhalilisha ' Intellectuals ' wote nchini Tanzania.

Wasaidizi wa Rais hebu fanyeni Kazi zenu vyema Kwake kwa Kumshauri mnaogopa nini? Hivi Sekta ya Anga ya leo au ATCL ya leo inahitaji kweli hadi hata Ndege za Marais nazo ziwe ' branded ' na zijumuishwe kama Ndege za Biashara na Kubeba Abiria? Je kuna hilo hitaji kweli?

Ningeambiwa au ningesikia Hoja kwamba labda Ndege hizo ziuzwe na ibaki moja kisha hizo Hela zitumike Kuimarisha Sekta ya Kilimo ambayo inahitaji msaada na ungalizi mkubwa ningemwelewa Mheshimiwa Rais na ningekubaliana nae kwa 100% ila kwa hii Hoja yake ya leo nampinga na naona ni kama vile ' Tusi ' kwa Watangulizi wake.

Wengine tumeumbwa kuwa wakweli na wawazi hivi hivyo mtusamehe tu na tuvumiliane. Tuache Kukurupuka na kuwa na ' Mihemko ' isiyo na Tija wala Mantiki. Halafu akina Donald Trump ' wakitutukana ' Waafrika huwa tunalalamika na kuona labda anatuonea wakati kumbe huwa yuko sahihi tena kwa 100% zote kutokana na ' Madhaifu ' yetu ya asili.

Nimesikitika!

Nawasilisha.
Maana ziende Ulaya wakabadili viti kukidhi ukaaji wa abiria.
Zitachukua wangapi?
Not a good idea at all.
 
Wewe ni Moja ya wababaishaji wazuri sana, huna hoja zozote za msingi zaidi ya kutaka popularity humu jf, kwa wenye ufikiri wa hekima na akili huwezi shabikia hoja ya kukataa maamuzi aliyoyafanya mh Rais,

Unapinga kichwakichwa bila sababu ya msingi halafu iweje?
Nashukuru Mungu kuwa kupitia tu ' Uzi ' wangu huu nimeweza sasa kuwajua wale ' Waliobarikiwa ' kwa ' Upumbavu ' hadi Milele. Nimeweka wazi sana Hoja yangu kuwa sishauri hizo Ndege za Rais ziwe ' branded ' hivyo na zibebe ' Abiria ' kwa Hoja ya Rais kama alivyosema na kama nia ni Kuiongezea Mapato ATCL na Kuimarisha Sekta ya Anga nchini basi hizo Ndege kama ziko Tatu mbili zibebe Abiria ila Ndege moja ibaki vile vile kuwa ni ' Maalum ' tu kwa Kumbeba Mheshimiwa Rais au Makamu wake au Waziri Mkuu wake lakini zote zisifanywe zikawa za Abiria. Na kama haitoshi katika Maelezo yangu nisema vyema tu kuwa kama ikiwezekana basi ni bora hizo Ndege ziuzwe na Hela inayopatikana hapo ielekezwe katika Sekta muhimu ya Kilimo ambayo Kwangu Mimi bado inahihati nguvu kubwa lakini bado ' Mifungulu Ngenge ' fulani isiyojua Kufikiri na inayojua tu Kujipendekeza kama siyo Kujikomba inatetea.

Ngoja niendelee ' Kuwadharau ' hapa.

Cc: Saguda47 , heavyload

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nikirri kuwa ni mweupe pe kwenye mambo ya ndege na biashara ya ndege kwa usafirishaji.

Kikubwa tujue gharama za kuendesha hizo ndege, je kubeba abiria 50 toka Dar hadi mwanza nauli yake itamudu mafuta na uchakavu?

Pia, haina maana kuzitoa hizi ndege wakati bado Mh. Rais anabaki kuwa na msafara ambao unakuwa ni kero kwa watumia barabara. Kutoa ndege kuendane na kuishi maisha ya kawaida...kuna siku tumeweka barabara masaa matatu na nusu kumsubiri Mh. Rais apite.
 
Back
Top Bottom