Sishauri Forker 50 na Forker 28 ziwe 'Branded' kama Ndege za Kibiashara za ATCL

Wewe ni Moja ya wababaishaji wazuri sana, huna hoja zozote za msingi zaidi ya kutaka popularity humu jf, kwa wenye ufikiri wa hekima na akili huwezi shabikia hoja ya kukataa maamuzi aliyoyafanya mh Rais,

Unapinga kichwakichwa bila sababu ya msingi halafu iweje?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani na Wewe kuna Mtu amekuzui usiitafute hiyo ' Popularity ' hapa? Idiot mkubwa na narudia tena sasa kukuambia kuwa Maamuzi ya Rais JPM ameyakosea mno japo ni mwana CCM mwenzangu, namkubali na nitaendelea kumkubali ila pale nikiona anakosea / anakengeuka sitoacha Kumpinga kama vile ambavyo huwa nampongeza / namsifu kwa mengineyo na huwa sikuoni Wewe pamoja na ' Wapumbavu ' wenzio mkija hapa Kunishukuru. Wanafiki wakubwa nyie na Watu mnaoishi kwa Kujikomba pekee.
 
Hii ni ' dharau ' kubwa kwa Marais waliopita kuanzia Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete kwa Mtu mmoja leo kuamua kwa ' Kukurupuka ' tu kuwa Ndege za Rais Forker 50 na Forker 28 ziwe ' Branded ' kama ' Commercial Planes ' za ATCL.

Hili halipo na halijawahi kutokea nchi yoyote ile duniani na naamini hata tungekuwa Mbinguni Kwake Mwenyezi Mungu hata Yeye pia asingefanya hiki ' Kituko ' ambacho GENTAMYCINE nakiita ni cha Kufungulia mwaka huu ambao bado ni mbichi kabisa wa 2019.

Hoja kwamba zipakwe rangi kisha zichuke Abiria kwakuwa huwa zinakuwa ' grounded ' tu na kwamba hata mwenye Kuhusika nazo huwa hazitumii kwakuwa hasafiri mara kwa mara kutolewa na ' PhD Holder ' kidogo ni kutaka Kuwadhalilisha ' Intellectuals ' wote nchini Tanzania.

Wasaidizi wa Rais hebu fanyeni Kazi zenu vyema Kwake kwa Kumshauri mnaogopa nini? Hivi Sekta ya Anga ya leo au ATCL ya leo inahitaji kweli hadi hata Ndege za Marais nazo ziwe ' branded ' na zijumuishwe kama Ndege za Biashara na Kubeba Abiria? Je kuna hilo hitaji kweli?

Ningeambiwa au ningesikia Hoja kwamba labda Ndege hizo ziuzwe na ibaki moja kisha hizo Hela zitumike Kuimarisha Sekta ya Kilimo ambayo inahitaji msaada na ungalizi mkubwa ningemwelewa Mheshimiwa Rais na ningekubaliana nae kwa 100% ila kwa hii Hoja yake ya leo nampinga na naona ni kama vile ' Tusi ' kwa Watangulizi wake.

Wengine tumeumbwa kuwa wakweli na wawazi hivi hivyo mtusamehe tu na tuvumiliane. Tuache Kukurupuka na kuwa na ' Mihemko ' isiyo na Tija wala Mantiki. Halafu akina Donald Trump ' wakitutukana ' Waafrika huwa tunalalamika na kuona labda anatuonea wakati kumbe huwa yuko sahihi tena kwa 100% zote kutokana na ' Madhaifu ' yetu ya asili.

Nimesikitika!

Nawasilisha.
Hili li GENTAMYCINE sikuhizi limeshakuwa lipuuzi kweli, Pambana na hali yako.
 
GENTAMYCINE nikitoa ' Critical Observations ' zangu hapa naambiwa ' Msaliti ' au ' Mpinzani ' au ' Natumika ' ila kama kuna ' Presidential Blunder ' hasa ya Kimaamuzi aliyowahi kuifanya Rais JPM ni hii ya leo. Nimesikitika na Kushangaa mno na hadi sasa najiuliza je JPM ana ' Washauri ' wake kweli? Je wanamsaidia?
Dereva wa lori haangalii nyuma
 
Mkuu umeandika ishu ya msingi sana tatizo nani wa kumshauri malaika mkuu??. Kesho uvccm utasikia wanaandaa maandamano ya kumpongeza kwa uzalendo wa kutoa ndege yake, aliyetiloga amekufa.
 
Hii ni ' dharau ' kubwa kwa Marais waliopita kuanzia Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete kwa Mtu mmoja leo kuamua kwa ' Kukurupuka ' tu kuwa Ndege za Rais Forker 50 na Forker 28 ziwe ' Branded ' kama ' Commercial Planes ' za ATCL.

Hili halipo na halijawahi kutokea nchi yoyote ile duniani na naamini hata tungekuwa Mbinguni Kwake Mwenyezi Mungu hata Yeye pia asingefanya hiki ' Kituko ' ambacho GENTAMYCINE nakiita ni cha Kufungulia mwaka huu ambao bado ni mbichi kabisa wa 2019.

Hoja kwamba zipakwe rangi kisha zichuke Abiria kwakuwa huwa zinakuwa ' grounded ' tu na kwamba hata mwenye Kuhusika nazo huwa hazitumii kwakuwa hasafiri mara kwa mara kutolewa na ' PhD Holder ' kidogo ni kutaka Kuwadhalilisha ' Intellectuals ' wote nchini Tanzania.

Wasaidizi wa Rais hebu fanyeni Kazi zenu vyema Kwake kwa Kumshauri mnaogopa nini? Hivi Sekta ya Anga ya leo au ATCL ya leo inahitaji kweli hadi hata Ndege za Marais nazo ziwe ' branded ' na zijumuishwe kama Ndege za Biashara na Kubeba Abiria? Je kuna hilo hitaji kweli?

Ningeambiwa au ningesikia Hoja kwamba labda Ndege hizo ziuzwe na ibaki moja kisha hizo Hela zitumike Kuimarisha Sekta ya Kilimo ambayo inahitaji msaada na ungalizi mkubwa ningemwelewa Mheshimiwa Rais na ningekubaliana nae kwa 100% ila kwa hii Hoja yake ya leo nampinga na naona ni kama vile ' Tusi ' kwa Watangulizi wake.

Wengine tumeumbwa kuwa wakweli na wawazi hivi hivyo mtusamehe tu na tuvumiliane. Tuache Kukurupuka na kuwa na ' Mihemko ' isiyo na Tija wala Mantiki. Halafu akina Donald Trump ' wakitutukana ' Waafrika huwa tunalalamika na kuona labda anatuonea wakati kumbe huwa yuko sahihi tena kwa 100% zote kutokana na ' Madhaifu ' yetu ya asili.

Nimesikitika!

Nawasilisha.
Kuna uzi nilisoma humu, ndege ya Rais wa China kama Rais asipokuwa na safari inatumika kubebea abiria
 
Kwani na Wewe kuna Mtu amekuzui usiitafute hiyo ' Popularity ' hapa? Idiot mkubwa na narudia tena sasa kukuambia kuwa Maamuzi ya Rais JPM ameyakosea mno japo ni mwana CCM mwenzangu, namkubali na nitaendelea kumkubali ila pale nikiona anakosea / anakengeuka sitoacha Kumpinga kama vile ambavyo huwa nampongeza / namsifu kwa mengineyo na huwa sikuoni Wewe pamoja na ' Wapumbavu ' wenzio mkija hapa Kunishukuru. Wanafiki wakubwa nyie na Watu mnaoishi kwa Kujikomba pekee.
Yaani mimi nikupongeze kwa kumsifu kwako Magufuli?
huna lolote mbute mkubwa wewe! get way jack out you senior tabularassa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha sana...

Vitu vya serikali na viheshimiwe jamani... hizo ndege zilikuwepo kwa ajili ya waliyopita na zinatakiwa ziendelee kuwepo kwa ajili ya atakayokuja...

Tusipoangalia tutaanza kupangisha mpaka jumba jeupe...

Cc: mahondaw
Nadhani hapa tatizo ni sheria zetu, kwani sheria kuhusu hizo ndege inasemaje? Na je sheria imebadilika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magu yupo sahihi kwani Forker bado ni nzuri kwa matumizi ya usafiri wa abiria, nakumbuka zile za ATC ya zamani zilikuwa Forker 27 na zilikuwa poa kwa kipindi kile, na hizi za Serikani ni 28 na 50 zitakuwa poa zaidi ukizingatia kuwa matumizi yake yalikuwa ni machache sana kwa upanded wa matumizi ya Serikali.
Kama akitaka kusafiri hata masafa marefu bado Gulfstream ipo atatumia tu. Kwa maamuzi yake ya leo kwakweli nampongeza.
Vipi airworthiness ya hiyo FF 28! Pamoja na matumizi kidogo, it's over 40 yrs.
 
Mkuu hizo ndege mbili alizosema Magu ni commercial flights(za abiria) na sio private jets,zina siti za kutosha tu
Usually zile za VIPs zinakuwa na seat customized. Hazikununuliwa kwa matumizi ya wakubwa?
 
Hii ni ' dharau ' kubwa kwa Marais waliopita kuanzia Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete kwa Mtu mmoja leo kuamua kwa ' Kukurupuka ' tu kuwa Ndege za Rais Forker 50 na Forker 28 ziwe ' Branded ' kama ' Commercial Planes ' za ATCL.

Hili halipo na halijawahi kutokea nchi yoyote ile duniani na naamini hata tungekuwa Mbinguni Kwake Mwenyezi Mungu hata Yeye pia asingefanya hiki ' Kituko ' ambacho GENTAMYCINE nakiita ni cha Kufungulia mwaka huu ambao bado ni mbichi kabisa wa 2019.

Hoja kwamba zipakwe rangi kisha zichuke Abiria kwakuwa huwa zinakuwa ' grounded ' tu na kwamba hata mwenye Kuhusika nazo huwa hazitumii kwakuwa hasafiri mara kwa mara kutolewa na ' PhD Holder ' kidogo ni kutaka Kuwadhalilisha ' Intellectuals ' wote nchini Tanzania.

Wasaidizi wa Rais hebu fanyeni Kazi zenu vyema Kwake kwa Kumshauri mnaogopa nini? Hivi Sekta ya Anga ya leo au ATCL ya leo inahitaji kweli hadi hata Ndege za Marais nazo ziwe ' branded ' na zijumuishwe kama Ndege za Biashara na Kubeba Abiria? Je kuna hilo hitaji kweli?

Ningeambiwa au ningesikia Hoja kwamba labda Ndege hizo ziuzwe na ibaki moja kisha hizo Hela zitumike Kuimarisha Sekta ya Kilimo ambayo inahitaji msaada na ungalizi mkubwa ningemwelewa Mheshimiwa Rais na ningekubaliana nae kwa 100% ila kwa hii Hoja yake ya leo nampinga na naona ni kama vile ' Tusi ' kwa Watangulizi wake.

Wengine tumeumbwa kuwa wakweli na wawazi hivi hivyo mtusamehe tu na tuvumiliane. Tuache Kukurupuka na kuwa na ' Mihemko ' isiyo na Tija wala Mantiki. Halafu akina Donald Trump ' wakitutukana ' Waafrika huwa tunalalamika na kuona labda anatuonea wakati kumbe huwa yuko sahihi tena kwa 100% zote kutokana na ' Madhaifu ' yetu ya asili.

Nimesikitika!

Nawasilisha.
Kaka GENTAMYCINE mwaka wa 3 huu unafanya kazi ngumu ya kumshauri na kumkanya Jiwe kwa vituko vyake lakini kila wiki anakuibukia na ujinga kama si wehu mpya - kaka waswahili walisema SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA - mwache Jiwe avamie pori awezavyo hadi atakapofikia hatua ya kunyang'anyana bunduki na JWTZ, achana naye kaka - mtu unamwona kabisa anaelekea kuzimu unahangaika naye wa kazi gani?
 
Mika 5 au 10 is just like a second,
ziachwe watakuja wa kutumia kama waliopita,tusije kuingia kwenye kuliwa 10% ya udalali wakati wa kununua nyingine,maana ni lazima tupitie kwa dalali.
Watu wanatofautiana tabia na misimamo,tuziache zitatumika tu.
 
Hii ni ' dharau ' kubwa kwa Marais waliopita kuanzia Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete kwa Mtu mmoja leo kuamua kwa ' Kukurupuka ' tu kuwa Ndege za Rais Forker 50 na Forker 28 ziwe ' Branded ' kama ' Commercial Planes ' za ATCL.

Hili halipo na halijawahi kutokea nchi yoyote ile duniani na naamini hata tungekuwa Mbinguni Kwake Mwenyezi Mungu hata Yeye pia asingefanya hiki ' Kituko ' ambacho GENTAMYCINE nakiita ni cha Kufungulia mwaka huu ambao bado ni mbichi kabisa wa 2019.

Hoja kwamba zipakwe rangi kisha zichuke Abiria kwakuwa huwa zinakuwa ' grounded ' tu na kwamba hata mwenye Kuhusika nazo huwa hazitumii kwakuwa hasafiri mara kwa mara kutolewa na ' PhD Holder ' kidogo ni kutaka Kuwadhalilisha ' Intellectuals ' wote nchini Tanzania.

Wasaidizi wa Rais hebu fanyeni Kazi zenu vyema Kwake kwa Kumshauri mnaogopa nini? Hivi Sekta ya Anga ya leo au ATCL ya leo inahitaji kweli hadi hata Ndege za Marais nazo ziwe ' branded ' na zijumuishwe kama Ndege za Biashara na Kubeba Abiria? Je kuna hilo hitaji kweli?

Ningeambiwa au ningesikia Hoja kwamba labda Ndege hizo ziuzwe na ibaki moja kisha hizo Hela zitumike Kuimarisha Sekta ya Kilimo ambayo inahitaji msaada na ungalizi mkubwa ningemwelewa Mheshimiwa Rais na ningekubaliana nae kwa 100% ila kwa hii Hoja yake ya leo nampinga na naona ni kama vile ' Tusi ' kwa Watangulizi wake.

Wengine tumeumbwa kuwa wakweli na wawazi hivi hivyo mtusamehe tu na tuvumiliane. Tuache Kukurupuka na kuwa na ' Mihemko ' isiyo na Tija wala Mantiki. Halafu akina Donald Trump ' wakitutukana ' Waafrika huwa tunalalamika na kuona labda anatuonea wakati kumbe huwa yuko sahihi tena kwa 100% zote kutokana na ' Madhaifu ' yetu ya asili.

Nimesikitika!

Nawasilisha.
Sijawahi kuona uzi wakipuuzi kama huu toka mwaka umeanza. Mtu mzima umekaa ukafikiria kabisa kuandika MASHUDU KIASI HIKI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki ni kituko cha karne!jamaa mbinafsi sana.Au ni gear 2020 anunue ndege mpya ya rais?
 
Back
Top Bottom