Sishauri Forker 50 na Forker 28 ziwe 'Branded' kama Ndege za Kibiashara za ATCL

GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
31,115
Likes
39,860
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
31,115 39,860 280
Hii ni ' dharau ' kubwa kwa Marais waliopita kuanzia Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete kwa Mtu mmoja leo kuamua kwa ' Kukurupuka ' tu kuwa Ndege za Rais Forker 50 na Forker 28 ziwe ' Branded ' kama ' Commercial Planes ' za ATCL.

Hili halipo na halijawahi kutokea nchi yoyote ile duniani na naamini hata tungekuwa Mbinguni Kwake Mwenyezi Mungu hata Yeye pia asingefanya hiki ' Kituko ' ambacho GENTAMYCINE nakiita ni cha Kufungulia mwaka huu ambao bado ni mbichi kabisa wa 2019.

Hoja kwamba zipakwe rangi kisha zichuke Abiria kwakuwa huwa zinakuwa ' grounded ' tu na kwamba hata mwenye Kuhusika nazo huwa hazitumii kwakuwa hasafiri mara kwa mara kutolewa na ' PhD Holder ' kidogo ni kutaka Kuwadhalilisha ' Intellectuals ' wote nchini Tanzania.

Wasaidizi wa Rais hebu fanyeni Kazi zenu vyema Kwake kwa Kumshauri mnaogopa nini? Hivi Sekta ya Anga ya leo au ATCL ya leo inahitaji kweli hadi hata Ndege za Marais nazo ziwe ' branded ' na zijumuishwe kama Ndege za Biashara na Kubeba Abiria? Je kuna hilo hitaji kweli?

Ningeambiwa au ningesikia Hoja kwamba labda Ndege hizo ziuzwe na ibaki moja kisha hizo Hela zitumike Kuimarisha Sekta ya Kilimo au nyinginezo ambazo zinahitaji msaada na ungalizi mkubwa ningemwelewa Mheshimiwa Rais na ningekubaliana nae kwa 100% ila kwa hii Hoja yake ya leo nampinga na naona ni kama vile ' Tusi ' kwa Watangulizi wake.

Wengine tumeumbwa kuwa wakweli na wawazi hivi hivyo mtusamehe tu na tuvumiliane. Tuache Kukurupuka na kuwa na ' Mihemko ' isiyo na Tija wala Mantiki. Halafu akina Donald Trump ' wakitutukana ' Waafrika huwa tunalalamika na kuona labda anatuonea wakati kumbe huwa yuko sahihi tena kwa 100% zote kutokana na ' Madhaifu ' yetu ya asili.

Nimesikitika!

Nawasilisha.
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
31,115
Likes
39,860
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
31,115 39,860 280
Nilikuwa nakuona Kama mtu ambae unafanya research kabla ya kuongea lakini Leo umenisikitisha Sana,unajua raisi wa China na viongozi wa juu wanatumia ndege gani?jibu ni kuwa raisi and Co wanatumia Air China ni ndege mbili zimeteuliwa kutoka air china,raisi wa china anapotaka kusafiri ndege anaitumia Kama hasafiri basi ndege zinabeba abiria,ni BOEING 747,sasa wewe Fokker tu hizi unapiga mayowe du? Mimi kwa maamuzi haya Nampa magufuli heko 100% na ikiwezekana zote tatu za raisi ziwe za biashara,siku wakiwa na safari yy na makamu wake basi wazitumie na Kama hawasafiri basi biashara as usual,amenikosha Sana Leo mh raisi japo ni mpinzani wa ccm na watu wake,viva Mr.prezdaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo Wachina wakiwa wanakunya katika Mlango wa Kupandia Ndege ndipo wanaingia ndani na Wewe utatushauri Watanzania tufanye hivyo hivyo kwakuwa tunawaiga? Kama tunapenda sana Kuwaiga hao Wachina mbona sasa Utendaji wao nasi hatuuigi? Wachina wanapenda Rushwa / Ufisadi? Wachina ni Wavivu? Wachina wanapenda Anasa? Wachina ni Watu wa Majungu na Fitna? Wachina ni Wanafiki?
 
commonmwananchi

commonmwananchi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
2,917
Likes
1,122
Points
280
commonmwananchi

commonmwananchi

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
2,917 1,122 280
GENTAMYCINE nikitoa ' Critical Observations ' zangu hapa naambiwa ' Msaliti ' au ' Mpinzani ' au ' Natumika ' ila kama kuna ' Presidential Blunder ' hasa ya Kimaamuzi aliyowahi kuifanya Rais JPM ni hii ya leo. Nimesikitika na Kushangaa mno na hadi sasa najiuliza je JPM ana ' Washauri ' wake kweli? Je wanamsaidia?
Hivi kama washauri wote hawa mpo chadema mbona ushauri wenu haufanyiwi kazi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eli79

Eli79

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Messages
21,501
Likes
15,666
Points
280
Eli79

Eli79

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2013
21,501 15,666 280
Labda nikuulize Kwanza unavyojua Wewe Ndege za Rais nchini zipo ngapi? Na unadhani alipokuwa anatetea Hoja yake kwa kusema kuwa Kwanza Yeye hasafiri mara kwa mara hivyo zote zipakwe tu rangi kama hizo zingine alikuwa anamaanisha nini? Kuna Watu ni ' Mafulu Ngenge ' chini ya Mbingu hii hadi mnaboa!
Kama umeleta mada na hujui ama huna uhakika ndege za raisi zipo ngapi basi tuache kujadiliana, ungesikiliza basi vizuri jamaa akiongea. Sema una ego kubwa sana mkuu...!!!
 
Eli79

Eli79

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Messages
21,501
Likes
15,666
Points
280
Eli79

Eli79

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2013
21,501 15,666 280
Nimemaliza kumsikiliza vizuri tena, amesema ndege 2 ndiyo ameishatoa maelekezo zipakwe rangi na zitumike kubeba abiria endapo kutakuwa na upungufu....nadhani ninemuelewa vizuri. Ki ufupi, ndege moja itabaki kwa matumizi ya raisi na serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, huyu mleta mada si unajua jinsi gani asivyopenda mtu awe tofauti na mawazo yake. Atakuita kila aina ya majina...
 
Tabutupu

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Messages
6,119
Likes
5,124
Points
280
Tabutupu

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2010
6,119 5,124 280
Hii ni ' dharau ' kubwa kwa Marais waliopita kuanzia Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete kwa Mtu mmoja leo kuamua kwa ' Kukurupuka ' tu kuwa Ndege za Rais Forker 50 na Forker 28 ziwe ' Branded ' kama ' Commercial Planes ' za ATCL.

Hili halipo na halijawahi kutokea nchi yoyote ile duniani na naamini hata tungekuwa Mbinguni Kwake Mwenyezi Mungu hata Yeye pia asingefanya hiki ' Kituko ' ambacho GENTAMYCINE nakiita ni cha Kufungulia mwaka huu ambao bado ni mbichi kabisa wa 2019.

Hoja kwamba zipakwe rangi kisha zichuke Abiria kwakuwa huwa zinakuwa ' grounded ' tu na kwamba hata mwenye Kuhusika nazo huwa hazitumii kwakuwa hasafiri mara kwa mara kutolewa na ' PhD Holder ' kidogo ni kutaka Kuwadhalilisha ' Intellectuals ' wote nchini Tanzania.

Wasaidizi wa Rais hebu fanyeni Kazi zenu vyema Kwake kwa Kumshauri mnaogopa nini? Hivi Sekta ya Anga ya leo au ATCL ya leo inahitaji kweli hadi hata Ndege za Marais nazo ziwe ' branded ' na zijumuishwe kama Ndege za Biashara na Kubeba Abiria? Je kuna hilo hitaji kweli?

Ningeambiwa au ningesikia Hoja kwamba labda Ndege hizo ziuzwe na ibaki moja kisha hizo Hela zitumike Kuimarisha Sekta ya Kilimo ambayo inahitaji msaada na ungalizi mkubwa ningemwelewa Mheshimiwa Rais na ningekubaliana nae kwa 100% ila kwa hii Hoja yake ya leo nampinga na naona ni kama vile ' Tusi ' kwa Watangulizi wake.

Wengine tumeumbwa kuwa wakweli na wawazi hivi hivyo mtusamehe tu na tuvumiliane. Tuache Kukurupuka na kuwa na ' Mihemko ' isiyo na Tija wala Mantiki. Halafu akina Donald Trump ' wakitutukana ' Waafrika huwa tunalalamika na kuona labda anatuonea wakati kumbe huwa yuko sahihi tena kwa 100% zote kutokana na ' Madhaifu ' yetu ya asili.

Nimesikitika!

Nawasilisha.
Siungi mkono hoja yako kwa sababu
1. Hujamwelewa jiwe
2. Hujatoa sababu ya msingi

Jiwe kasema ipakwe rangi na itumike kibiashara wakati ambao haina matumizi ya viongozi.

Pia kuna nchi kama israel hadi leo hazina ndege ya viongozi wakuu. RAIS na Waziri mkuu hutumia ndege za shirika la Taifa ( Israel airline) kusafiri .

Kwa hiyo viongozi bado watadafiri kutumia ndege hiyo japo rangi itakuwa ibebadilishwa.

Wasiwasi wangu ni kwamba air tanzania itaendeshwa toka magogoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
5,558
Likes
3,183
Points
280
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
5,558 3,183 280
Hii ni ' dharau ' kubwa kwa Marais waliopita kuanzia Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete kwa Mtu mmoja leo kuamua kwa ' Kukurupuka ' tu kuwa Ndege za Rais Forker 50 na Forker 28 ziwe ' Branded ' kama ' Commercial Planes ' za ATCL.

Hili halipo na halijawahi kutokea nchi yoyote ile duniani na naamini hata tungekuwa Mbinguni Kwake Mwenyezi Mungu hata Yeye pia asingefanya hiki ' Kituko ' ambacho GENTAMYCINE nakiita ni cha Kufungulia mwaka huu ambao bado ni mbichi kabisa wa 2019.

Hoja kwamba zipakwe rangi kisha zichuke Abiria kwakuwa huwa zinakuwa ' grounded ' tu na kwamba hata mwenye Kuhusika nazo huwa hazitumii kwakuwa hasafiri mara kwa mara kutolewa na ' PhD Holder ' kidogo ni kutaka Kuwadhalilisha ' Intellectuals ' wote nchini Tanzania.

Wasaidizi wa Rais hebu fanyeni Kazi zenu vyema Kwake kwa Kumshauri mnaogopa nini? Hivi Sekta ya Anga ya leo au ATCL ya leo inahitaji kweli hadi hata Ndege za Marais nazo ziwe ' branded ' na zijumuishwe kama Ndege za Biashara na Kubeba Abiria? Je kuna hilo hitaji kweli?

Ningeambiwa au ningesikia Hoja kwamba labda Ndege hizo ziuzwe na ibaki moja kisha hizo Hela zitumike Kuimarisha Sekta ya Kilimo ambayo inahitaji msaada na ungalizi mkubwa ningemwelewa Mheshimiwa Rais na ningekubaliana nae kwa 100% ila kwa hii Hoja yake ya leo nampinga na naona ni kama vile ' Tusi ' kwa Watangulizi wake.

Wengine tumeumbwa kuwa wakweli na wawazi hivi hivyo mtusamehe tu na tuvumiliane. Tuache Kukurupuka na kuwa na ' Mihemko ' isiyo na Tija wala Mantiki. Halafu akina Donald Trump ' wakitutukana ' Waafrika huwa tunalalamika na kuona labda anatuonea wakati kumbe huwa yuko sahihi tena kwa 100% zote kutokana na ' Madhaifu ' yetu ya asili.

Nimesikitika!

Nawasilisha.
" Nimesikitika nawasilisha" alisikika akisema kijana huyo.
 
commonmwananchi

commonmwananchi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
2,917
Likes
1,122
Points
280
commonmwananchi

commonmwananchi

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
2,917 1,122 280
Hivi mnaelewa gharama za kupaki ndege all the time?

Mnajua gharama za pilots wanapokaa bila kutumika?

Je mnajua umri wa ndege hizo?

Je ni vema sana kwako wewe unajiita gentamcine sijui gental nini, kwamba ndege hizo zikae tuu zizeeke mwisho zizuiwe kuruka kwa kupitisha umri, kuliko kuwasaidia ndugu zetu wa mikoa yenye viwanja vidogo nchini?

Eti kwa heshima ya marais waliopita, kwani maoni ya chadema ni kuzifanya ziwe museum's?

Je unajua kwamba
zikisafiri zitaruka na kutua viwanja vingi vya vumbi nchini kuliko hata hizi bombardier?

Hivi kweli mmeishiwa sera na mmebaki kuvizia hotuba za JPM tu, ndio mpate pa kuanzia?

Na kwa kuwa mliishia kuwa vizazi vya waizi wazoefu mnaona fursa zikizidi kutoweka?

Wakati vijana wenzenu wakizirusha hizo air bus kuzileta nyumbani.
Nyinyi mnaendelea kuendesha keybods za simu kupinga maendeleo.

Mbona hamshauri chadema wahame nyumba za kupanga nchi nzima, na mjenge za kwenu?

JPM vivaaa 2025.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daud1990

Daud1990

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2014
Messages
5,791
Likes
7,958
Points
280
Daud1990

Daud1990

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2014
5,791 7,958 280
Kwani na Wewe kuna Mtu amekuzui usiitafute hiyo ' Popularity ' hapa? Idiot mkubwa na narudia tena sasa kukuambia kuwa Maamuzi ya Rais JPM ameyakosea mno japo ni mwana CCM mwenzangu, namkubali na nitaendelea kumkubali ila pale nikiona anakosea / anakengeuka sitoacha Kumpinga kama vile ambavyo huwa nampongeza / namsifu kwa mengineyo na huwa sikuoni Wewe pamoja na ' Wapumbavu ' wenzio mkija hapa Kunishukuru. Wanafiki wakubwa nyie na Watu mnaoishi kwa Kujikomba pekee.
Basi endelea kumkubali mtusi wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
31,115
Likes
39,860
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
31,115 39,860 280
Hivi kama washauri wote hawa mpo chadema mbona ushauri wenu haufanyiwi kazi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mpaka hivi leo upo hapa JamiiForums na hujui GENTAMYCINE yupo Chama gani cha Kisiasa hapa nchini Tanzania basi lazima tu utakua ni ' Mpumbavu Uliyethibitishwa Kimataifa ' kabisa. Hivi kuna ' Member ' ambaye mwaka 2015 alipambana na wana CHADEMA hapa Jamvini kumpigia Chapuo / Kampeni Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli kama Mimi na wale wana CCM wenzangu baadhi? Rejea ' posts ' na ' threads ' zangu zote za mwaka 2015 ili ujiridhishe juu yangu.

Tatizo lenu wana CCM wenzangu ' Wapumbavu ' baadhi mnadhani Kumpamba au Kumuunga Mkono sana na Kumpa matumaini Mwenyekiti wetu Taifa Ndugu Dkt. Magufuli ndiyo Kumsaidia wakati kumbe ni Kinyume chake. Nilimpigania na Kumpambania mwaka ule wa 2015 kwakuwa nilikuwa na Matumaini nae na hadi mpaka hivi leo / sasa bado namkubali tena mno tu na pengine kuliko hata nyie wana CCM ' Mapopoma ' mlivyo ila tofauti yangu na yenu ni ndogo sana tu ambapo Mimi huwa sijazoea Unafiki, Uwongo au Kujipendekeza bali huwa ' nanyoosha ' tu maelezo yangu ukiumia shauri yako na katika hili sitobadilika ng'o.

Kuna ' Threads ' nyingi sana hapa Jamvini nimezianzisha Kumsifu Rais Dkt. Magufuli mbona Wewe mwana CCM ' Popoma ' sijawahi hata Kukuona mara moja tu ukija Kunipongeza? Kwahiyo nyie GENTAMYCINE anakuwa ' Adui ' Kwenu na siyo mwana CCM mzuri pale tu akimkosoa tena kwa Kumjenga vyema Mwenyekiti Taifa pekee? Kama wana CCM wa sasa wengi wenu ndiyo wana aina hii ya Upeo wa ' Kifungulu Ngenge ' basi naona Chama kimekula hasara kubwa na kinahitaji Mabadiliko makubwa na ya haraka pia.

Cc: commonmwananchi
 
N

Nyamagondo

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2018
Messages
279
Likes
323
Points
80
N

Nyamagondo

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2018
279 323 80
Genta anajifanyaga kutumia visentensi vya Kiswahili kwa kuvinyonganyonga aonekane mjuvi wa lugha lakini kichwani ni hana kitu. Kuwa na mawazo mbadala ni sawa lakini siyo kwa ujinga huu, yaani hata IQ ya nyau haiwezi kuwaza kwa kikomo cha Genta. Mimi hua namuona tuu. Haya ni mawazo kinyume mwendo saa. Chombo cha walipa kodi kimekaa hakitumiki, kikitumika kuleta hela shida nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
31,115
Likes
39,860
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
31,115 39,860 280
Kama umeleta mada na hujui ama huna uhakika ndege za raisi zipo ngapi basi tuache kujadiliana, ungesikiliza basi vizuri jamaa akiongea. Sema una ego kubwa sana mkuu...!!!
Na Wewe kaipake rangi upesi huko Canada hiyo ' Ego ' yangu ili uje uitumie Kibiashara zaidi. Narudia tena Kukuuliza je Kuna Ndege ngapi za Rais nchini Tanzania?
 
Sir Khan

Sir Khan

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Messages
3,960
Likes
5,203
Points
280
Sir Khan

Sir Khan

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2018
3,960 5,203 280
Wenzako tumerithishwa Akili nyingi Wewe umerithishwa Utahaira uliotukuka. Pole sana!
Akili ulizorithishwa ziko wapi?
Umeandika upuuzi mtupu, huwezi kuwa timamu ukasapoti ndege zikae tu just for prestige.
Narudia tena leo umeandika upuuzi mkubwa.
 
S.Liondo

S.Liondo

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Messages
2,914
Likes
1,200
Points
280
S.Liondo

S.Liondo

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2011
2,914 1,200 280
Inasikitisha sana...

Vitu vya serikali na viheshimiwe jamani... hizo ndege zilikuwepo kwa ajili ya waliyopita na zinatakiwa ziendelee kuwepo kwa ajili ya atakayokuja...

Tusipoangalia tutaanza kupangisha mpaka jumba jeupe...

Cc: mahondaw
Sasa Siri-kali ikihamia Idodomya unafikiru Jumba jeupe litafanya nini kama si kutafutiwa mpangaji!
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
31,115
Likes
39,860
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
31,115 39,860 280
Hivi mnaelewa gharama za kupaki ndege all the time?

Mnajua gharama za pilots wanapokaa bila kutumika?

Je mnajua umri wa ndege hizo?

Je ni vema sana kwako wewe unajiita gentamcine sijui gental nini, kwamba ndege hizo zikae tuu zizeeke mwisho zizuiwe kuruka kwa kupitisha umri, kuliko kuwasaidia ndugu zetu wa mikoa yenye viwanja vidogo nchini?

Eti kwa heshima ya marais waliopita, kwani maoni ya chadema ni kuzifanya ziwe museum's?

Je unajua kwamba
zikisafiri zitaruka na kutua viwanja vingi vya vumbi nchini kuliko hata hizi bombardier?

Hivi kweli mmeishiwa sera na mmebaki kuvizia hotuba za JPM tu, ndio mpate pa kuanzia?

Na kwa kuwa mliishia kuwa vizazi vya waizi wazoefu mnaona fursa zikizidi kutoweka?

Wakati vijana wenzenu wakizirusha hizo air bus kuzileta nyumbani.
Nyinyi mnaendelea kuendesha keybods za simu kupinga maendeleo.

Mbona hamshauri chadema wahame nyumba za kupanga nchi nzima, na mjenge za kwenu?

JPM vivaaa 2025.

Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani sana nijue Elimu yako halafu hata na Chuo Kikuu ulichosoma kwani umeiabisha hiyo Elimu yako na Chuo chako kwa aina hii ya ' Uharo ' uliouweka hapa. Siku nyingine usirudie tena tafadhali.
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
31,115
Likes
39,860
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
31,115 39,860 280
Genta anajifanyaga kutumia visentensi vya Kiswahili kwa kuvinyonganyonga aonekane mjuvi wa lugha lakini kichwani ni hana kitu. Kuwa na mawazo mbadala ni sawa lakini siyo kwa ujinga huu, yaani hata IQ ya nyau haiwezi kuwaza kwa kikomo cha Genta. Mimi hua namuona tuu. Haya ni mawazo kinyume mwendo saa. Chombo cha walipa kodi kimekaa hakitumiki, kikitumika kuleta hela shida nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati Mwenyezi Mungu anatupa na kutubariki Sisi wengine kwa kutupa ' Akili ' nyingi hizi na ' zilizotukuka ' kabisa Wewe Mwenzetu ulikuwa Maporini ' unakunya / unaukweka ' au?
 
commonmwananchi

commonmwananchi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
2,917
Likes
1,122
Points
280
commonmwananchi

commonmwananchi

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
2,917 1,122 280
Kama mpaka hivi leo upo hapa JamiiForums na hujui GENTAMYCINE yupo Chama gani cha Kisiasa hapa nchini Tanzania basi lazima tu utakua ni ' Mpumbavu Uliyethibitishwa Kimataifa ' kabisa. Hivi kuna ' Member ' ambaye mwaka 2015 alipambana na wana CHADEMA hapa Jamvini kumpigia Chapuo / Kampeni Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli kama Mimi na wale wana CCM wenzangu baadhi? Rejea ' posts ' na ' threads ' zangu zote za mwaka 2015 ili ujiridhishe juu yangu.

Tatizo lenu wana CCM wenzangu ' Wapumbavu ' baadhi mnadhani Kumpamba au Kumuunga Mkono sana na Kumpa matumaini Mwenyekiti wetu Taifa Ndugu Dkt. Magufuli ndiyo Kumsaidia wakati kumbe ni Kinyume chake. Nilimpigania na Kumpambania mwaka ule wa 2015 kwakuwa nilikuwa na Matumaini nae na hadi mpaka hivi leo / sasa bado namkubali tena mno tu na pengine kuliko hata nyie wana CCM ' Mapopoma ' mlivyo ila tofauti yangu na yenu ni ndogo sana tu ambapo Mimi huwa sijazoea Unafiki, Uwongo au Kujipendekeza bali huwa ' nanyoosha ' tu maelezo yangu ukiumia shauri yako na katika hili sitobadilika ng'o.

Kuna ' Threads ' nyingi sana hapa Jamvini nimezianzisha Kumsifu Rais Dkt. Magufuli mbona Wewe mwana CCM ' Popoma ' sijawahi hata Kukuona mara moja tu ukija Kunipongeza? Kwahiyo nyie GENTAMYCINE anakuwa ' Adui ' Kwenu na siyo mwana CCM mzuri pale tu akimkosoa tena kwa Kumjenga vyema Mwenyekiti Taifa pekee? Kama wana CCM wa sasa wengi wenu ndiyo wana aina hii ya Upeo wa ' Kifungulu Ngenge ' basi naona Chama kimekula hasara kubwa na kinahitaji Mabadiliko makubwa na ya haraka pia.
Huenda ulimpigania ukidhani nae atakuwa kama watangulizi wake kwa kulipa fadhila.

Lakini sasa una hasira kwa sababu hakugeuka nyuma na alisema wazi hataki mazowea maana hakula cha mtu.

Miaka ijayo itapunguza wingi wa malori na tutatumia treni ya umeme.
Miaka ijayo meli zitakuwa zinarahisisha usafiri katika maziwa yetu makuu.

Mabarabara daresalaam hayatakuwa na misongamano tena.

Serikali itahamia dodoma na kuwaachia wastaafu jiji lao wale pensheni.

Miaka ijayo enzi za majaliwa malipo yote nchini online tu kwa POS
nyie endeleeni kulalama. Tu magufuli ameng'oa nanga hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
31,115
Likes
39,860
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
31,115 39,860 280
Akili ulizolithisishwa ziko wapi?
Umeandika upuuzi mtupu, huwezi kuwa timamu ukasapoti ndege zikae tu just for prestige.
Narudia tena leo umeandika upuuzi mkubwa.
Nafurahi kuona muendelezo wa Kiuthibitisho kabisa wa ' Ufulu Ngenge ' wako hapa Jamvini.
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
31,115
Likes
39,860
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
31,115 39,860 280
Huenda ulimpigania ukidhani nae atakuwa kama watangulizi wake kwa kulipa fadhila.

Lakini sasa una hasira kwa sababu hakugeuka nyuma na alisema wazi hataki mazowea maana hakula cha mtu.

Miaka ijayo itapunguza wingi wa malori na tutatumia treni ya umeme.
Miaka ijayo meli zitakuwa zinarahisisha usafiri katika maziwa yetu makuu.

Mabarabara daresalaam hayatakuwa na misongamano tena.

Serikali itahamia dodoma na kuwaachia wastaafu jiji lao wale pensheni.

Miaka ijayo enzi za majaliwa malipo yote nchini online tu kwa POS
nyie endeleeni kulalama. Tu magufuli ameng'oa nanga hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyekuambia kuwa Mimi nina shida ya Vyeo au labda wakati nampamba na nampigia Kampeni Rais Dkt. Magufuli hapa Jamvini mwaka 2015 nilikuwa natafuta ' Uteuzi / Cheo ' Serikalini nani? Unadhani kila mwana CCM anashida na hizo ' Teuzi ' zenu? Kwani ambao hawajateuliwa huko CCM na Serikalini hawaendeshi maisha yao? Hawana maisha mazuri? Na aliyekuambia kuwa ili Mtanzania ufanikiwe unatakiwa ujiingize katika Siasa ni nani? Eti na Wewe kwa ' Uharo ' huu ni ' Kada ' wa CCM. Kweli CCM ya sasa imevamiwa na inahitaji Damu ya Yesu Kuikomboa.
 
Forum statistics

Threads 1,251,651
Members 481,811
Posts 29,778,891