Sishauri Forker 50 na Forker 28 ziwe 'Branded' kama Ndege za Kibiashara za ATCL

GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
31,114
Likes
39,860
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
31,114 39,860 280
Hii ni ' dharau ' kubwa kwa Marais waliopita kuanzia Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete kwa Mtu mmoja leo kuamua kwa ' Kukurupuka ' tu kuwa Ndege za Rais Forker 50 na Forker 28 ziwe ' Branded ' kama ' Commercial Planes ' za ATCL.

Hili halipo na halijawahi kutokea nchi yoyote ile duniani na naamini hata tungekuwa Mbinguni Kwake Mwenyezi Mungu hata Yeye pia asingefanya hiki ' Kituko ' ambacho GENTAMYCINE nakiita ni cha Kufungulia mwaka huu ambao bado ni mbichi kabisa wa 2019.

Hoja kwamba zipakwe rangi kisha zichuke Abiria kwakuwa huwa zinakuwa ' grounded ' tu na kwamba hata mwenye Kuhusika nazo huwa hazitumii kwakuwa hasafiri mara kwa mara kutolewa na ' PhD Holder ' kidogo ni kutaka Kuwadhalilisha ' Intellectuals ' wote nchini Tanzania.

Wasaidizi wa Rais hebu fanyeni Kazi zenu vyema Kwake kwa Kumshauri mnaogopa nini? Hivi Sekta ya Anga ya leo au ATCL ya leo inahitaji kweli hadi hata Ndege za Marais nazo ziwe ' branded ' na zijumuishwe kama Ndege za Biashara na Kubeba Abiria? Je kuna hilo hitaji kweli?

Ningeambiwa au ningesikia Hoja kwamba labda Ndege hizo ziuzwe na ibaki moja kisha hizo Hela zitumike Kuimarisha Sekta ya Kilimo au nyinginezo ambazo zinahitaji msaada na ungalizi mkubwa ningemwelewa Mheshimiwa Rais na ningekubaliana nae kwa 100% ila kwa hii Hoja yake ya leo nampinga na naona ni kama vile ' Tusi ' kwa Watangulizi wake.

Wengine tumeumbwa kuwa wakweli na wawazi hivi hivyo mtusamehe tu na tuvumiliane. Tuache Kukurupuka na kuwa na ' Mihemko ' isiyo na Tija wala Mantiki. Halafu akina Donald Trump ' wakitutukana ' Waafrika huwa tunalalamika na kuona labda anatuonea wakati kumbe huwa yuko sahihi tena kwa 100% zote kutokana na ' Madhaifu ' yetu ya asili.

Nimesikitika!

Nawasilisha.
 
commonmwananchi

commonmwananchi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
2,916
Likes
1,122
Points
280
commonmwananchi

commonmwananchi

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
2,916 1,122 280
Wakati Mwenyezi Mungu anatupa na kutubariki Sisi wengine kwa kutupa ' Akili ' nyingi hizi na ' zilizotukuka ' kabisa Wewe Mwenzetu ulikuwa Maporini ' unakunya / unaukweka ' au?
Mbona hamuwashauri chadema wahame nyumba za kupanga nchi nzima.
Ikiwemo pia makao makuu ya UFIPA.

Mbona akili zenu zimebobea mkondo mmoja tu wa kujitoa akili na kujiona wasomi.
Je kama mna elimu na inafaa kutafuta na kukidhi vigezo, mbona hamuendi nje mkaaljiriwe muondokane na maudhi ya nchi hii?
Shame on you.
Mkishatumbuliwa mnajaa sumu kama spitting cobras!

Si mlikuwa mnajiita wajanja enzi hizo, hamkujua kila jiwe na zama zake.
Tangu olduvai hadi tanzania khe!

NASHAURI KESHO MKAMSALIMIE KITI.

acheni jembe afagie njia ya 2025

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lucas mobutu

lucas mobutu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Messages
8,855
Likes
15,623
Points
280
lucas mobutu

lucas mobutu

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2017
8,855 15,623 280
Naona unalaumu tu uamuzi wake, hujafafanua athari zake ni zipi endapo zitatumika kibiashara.
1 .kuchoka (kumbuka ile ya JK ununuzi wake ulikua expensive mno mpaka wabunge wakalalamika)

2.hatari kwa rais atakayekuja kama mfumo utabaki huo

3.maintanance. hizo bombadia tu zinategemewa kughalimu more than 5 billion kwenda marekani kwa service mwaka huu. Je hizo za rais

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
31,114
Likes
39,860
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
31,114 39,860 280
Mbona hamuwashauri chadema wahame nyumba za kupanga nchi nzima.
Ikiwemo pia makao makuu ya UFIPA.

Mbona akili zenu zimebobea mkondo mmoja tu wa kujitoa akili na kujiona wasomi.
Je kama mna elimu na inafaa kutafuta na kukidhi vigezo, mbona hamuendi nje mkaaljiriwe muondokane na maudhi ya nchi hii?
Shame on you.
Mkishatumbuliwa mnajaa sumu kama spitting cobras!

Si mlikuwa mnajiita wajanja enzi hizo, hamkujua kila jiwe na zama zake.
Tangu olduvai hadi tanzania khe!

NASHAURI KESHO MKAMSALIMIE KITI.

acheni jembe afagie njia ya 2025

Sent using Jamii Forums mobile app
Leo GENTAMYCINE amekuwa ni mwana CHADEMA? Rejea ' post ' yangu #131 tafadhali. Naona unanichosha na kunipotezea tu muda wangu hapa.
 
N

NOD

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Messages
606
Likes
440
Points
80
N

NOD

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2011
606 440 80
Mkuu uko serious au unatania? Mbona umekuwa muumini wa unyenyekevu kwa muda mrefu? Nchi nyingi sana dunia zimeutumia huu mtindo wa multuse ya vip planes kwa kuziweka chini ya mashirika yao. Uendeshaji wa ndege ni gharama kubwa sana. Ni kodi zetu hivyo maamuzi kama haya ni faida kwa wananchi. Labda ni swala la uelewa mdogo wa air transport. Ngosha pressed the right button.

Hii ni ' dharau ' kubwa kwa Marais waliopita kuanzia Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete kwa Mtu mmoja leo kuamua kwa ' Kukurupuka ' tu kuwa Ndege za Rais Forker 50 na Forker 28 ziwe ' Branded ' kama ' Commercial Planes ' za ATCL.

Hili halipo na halijawahi kutokea nchi yoyote ile duniani na naamini hata tungekuwa Mbinguni Kwake Mwenyezi Mungu hata Yeye pia asingefanya hiki ' Kituko ' ambacho GENTAMYCINE nakiita ni cha Kufungulia mwaka huu ambao bado ni mbichi kabisa wa 2019.

Hoja kwamba zipakwe rangi kisha zichuke Abiria kwakuwa huwa zinakuwa ' grounded ' tu na kwamba hata mwenye Kuhusika nazo huwa hazitumii kwakuwa hasafiri mara kwa mara kutolewa na ' PhD Holder ' kidogo ni kutaka Kuwadhalilisha ' Intellectuals ' wote nchini Tanzania.

Wasaidizi wa Rais hebu fanyeni Kazi zenu vyema Kwake kwa Kumshauri mnaogopa nini? Hivi Sekta ya Anga ya leo au ATCL ya leo inahitaji kweli hadi hata Ndege za Marais nazo ziwe ' branded ' na zijumuishwe kama Ndege za Biashara na Kubeba Abiria? Je kuna hilo hitaji kweli?

Ningeambiwa au ningesikia Hoja kwamba labda Ndege hizo ziuzwe na ibaki moja kisha hizo Hela zitumike Kuimarisha Sekta ya Kilimo ambayo inahitaji msaada na ungalizi mkubwa ningemwelewa Mheshimiwa Rais na ningekubaliana nae kwa 100% ila kwa hii Hoja yake ya leo nampinga na naona ni kama vile ' Tusi ' kwa Watangulizi wake.

Wengine tumeumbwa kuwa wakweli na wawazi hivi hivyo mtusamehe tu na tuvumiliane. Tuache Kukurupuka na kuwa na ' Mihemko ' isiyo na Tija wala Mantiki. Halafu akina Donald Trump ' wakitutukana ' Waafrika huwa tunalalamika na kuona labda anatuonea wakati kumbe huwa yuko sahihi tena kwa 100% zote kutokana na ' Madhaifu ' yetu ya asili.

Nimesikitika!

Nawasilisha.
 
commonmwananchi

commonmwananchi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
2,916
Likes
1,122
Points
280
commonmwananchi

commonmwananchi

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
2,916 1,122 280
Aliyekuambia kuwa Mimi nina shida ya Vyeo au labda wakati nampamba na nampigia Kampeni Rais Dkt. Magufuli hapa Jamvini mwaka 2015 nilikuwa natafuta ' Uteuzi / Cheo ' Serikalini nani? Unadhani kila mwana CCM anashida na hizo ' Teuzi ' zenu? Kwani ambao hawajateuliwa huko CCM na Serikalini hawaendeshi maisha yao? Hawana maisha mazuri? Na aliyekuambia kuwa ili Mtanzania ufanikiwe unatakiwa ujiingize katika Siasa ni nani? Eti na Wewe kwa ' Uharo ' huu ni ' Kada ' wa CCM. Kweli CCM ya sasa imevamiwa na inahitaji Damu ya Yesu Kuikomboa.
Kama hutaki siasa unafanya nini sasa hivi?
Tangu asubuhi hadi JIONI kila siku wewe humu tu.
Nadhani moja ya laptop zile walizoleta kudukua system ya NEC kupitia mgongo wa kijo bisimba na wewe uliambulia moja.
Nchi hii ni kubwa, usidhani kukaa humu JF ukijificha I'D, basi wewe ni mjanja pekee.
No....wako watu wengi tena smart wanafanya mambo yao na kusonga mbele na maisha nafamily zao.
Kwa ujumla unaposoma ukahitimu halafu ukatafuta short cuts za siasa ujuwe ume BET future yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
N

Ngapulila

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2013
Messages
312
Likes
181
Points
60
N

Ngapulila

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2013
312 181 60
Hii ni ' dharau ' kubwa kwa Marais waliopita kuanzia Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete kwa Mtu mmoja leo kuamua kwa ' Kukurupuka ' tu kuwa Ndege za Rais Forker 50 na Forker 28 ziwe ' Branded ' kama ' Commercial Planes ' za ATCL.

Hili halipo na halijawahi kutokea nchi yoyote ile duniani na naamini hata tungekuwa Mbinguni Kwake Mwenyezi Mungu hata Yeye pia asingefanya hiki ' Kituko ' ambacho GENTAMYCINE nakiita ni cha Kufungulia mwaka huu ambao bado ni mbichi kabisa wa 2019.

Hoja kwamba zipakwe rangi kisha zichuke Abiria kwakuwa huwa zinakuwa ' grounded ' tu na kwamba hata mwenye Kuhusika nazo huwa hazitumii kwakuwa hasafiri mara kwa mara kutolewa na ' PhD Holder ' kidogo ni kutaka Kuwadhalilisha ' Intellectuals ' wote nchini Tanzania.

Wasaidizi wa Rais hebu fanyeni Kazi zenu vyema Kwake kwa Kumshauri mnaogopa nini? Hivi Sekta ya Anga ya leo au ATCL ya leo inahitaji kweli hadi hata Ndege za Marais nazo ziwe ' branded ' na zijumuishwe kama Ndege za Biashara na Kubeba Abiria? Je kuna hilo hitaji kweli?

Ningeambiwa au ningesikia Hoja kwamba labda Ndege hizo ziuzwe na ibaki moja kisha hizo Hela zitumike Kuimarisha Sekta ya Kilimo ambayo inahitaji msaada na ungalizi mkubwa ningemwelewa Mheshimiwa Rais na ningekubaliana nae kwa 100% ila kwa hii Hoja yake ya leo nampinga na naona ni kama vile ' Tusi ' kwa Watangulizi wake.

Wengine tumeumbwa kuwa wakweli na wawazi hivi hivyo mtusamehe tu na tuvumiliane. Tuache Kukurupuka na kuwa na ' Mihemko ' isiyo na Tija wala Mantiki. Halafu akina Donald Trump ' wakitutukana ' Waafrika huwa tunalalamika na kuona labda anatuonea wakati kumbe huwa yuko sahihi tena kwa 100% zote kutokana na ' Madhaifu ' yetu ya asili.

Nimesikitika!

Nawasilisha.
Raisi wa Chinà kitambo tundee yake inatumika kubeba abiria na akihitaji inawekwa mpango wa VIP anaitumia na akimaliza inabeba abiria
 
N

NOD

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Messages
606
Likes
440
Points
80
N

NOD

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2011
606 440 80
Acha uongo mkuu. Matengenezo ya ndege ni sehemu ya gharama za uendeshaji. Bombardier zinaweza kutengenezwa hapa sio lazima wapeleke marekani (canada)1 .kuchoka (kumbuka ile ya JK ununuzi wake ulikua expensive mno mpaka wabunge wakalalamika)

2.hatari kwa rais atakayekuja kama mfumo utabaki huo

3.maintanance. hizo bombadia tu zinategemewa kughalimu more than 5 billion kwenda marekani kwa service mwaka huu. Je hizo za rais

Sent using Jamii Forums mobile app
 
commonmwananchi

commonmwananchi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
2,916
Likes
1,122
Points
280
commonmwananchi

commonmwananchi

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
2,916 1,122 280
1 .kuchoka (kumbuka ile ya JK ununuzi wake ulikua expensive mno mpaka wabunge wakalalamika)

2.hatari kwa rais atakayekuja kama mfumo utabaki huo

3.maintanance. hizo bombadia tu zinategemewa kughalimu more than 5 billion kwenda marekani kwa service mwaka huu. Je hizo za rais

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ni kwa ajili hiyo, serikali inanunua vifaa kwa ajili ya ile hangar ya KIA.
Ili kupunguza gharama za uendeshaji.
Ndio maana serikalini inasomesha aircraft engineer's kwa bidii ili kuongeza ajira na kuwawezesha vijana wazalendo kuitumikia nchi yao pia.

Yoote haya serikali inayajua na usidhani wanakurupuka kama mbavyo mna jidanganya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waberoya

Waberoya

Platinum Member
Joined
Aug 3, 2008
Messages
12,680
Likes
5,089
Points
280
Waberoya

Waberoya

Platinum Member
Joined Aug 3, 2008
12,680 5,089 280
Hii ni ' dharau ' kubwa kwa Marais waliopita kuanzia Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete kwa Mtu mmoja leo kuamua kwa ' Kukurupuka ' tu kuwa Ndege za Rais Forker 50 na Forker 28 ziwe ' Branded ' kama ' Commercial Planes ' za ATCL.

Hili halipo na halijawahi kutokea nchi yoyote ile duniani na naamini hata tungekuwa Mbinguni Kwake Mwenyezi Mungu hata Yeye pia asingefanya hiki ' Kituko ' ambacho GENTAMYCINE nakiita ni cha Kufungulia mwaka huu ambao bado ni mbichi kabisa wa 2019.

Hoja kwamba zipakwe rangi kisha zichuke Abiria kwakuwa huwa zinakuwa ' grounded ' tu na kwamba hata mwenye Kuhusika nazo huwa hazitumii kwakuwa hasafiri mara kwa mara kutolewa na ' PhD Holder ' kidogo ni kutaka Kuwadhalilisha ' Intellectuals ' wote nchini Tanzania.

Wasaidizi wa Rais hebu fanyeni Kazi zenu vyema Kwake kwa Kumshauri mnaogopa nini? Hivi Sekta ya Anga ya leo au ATCL ya leo inahitaji kweli hadi hata Ndege za Marais nazo ziwe ' branded ' na zijumuishwe kama Ndege za Biashara na Kubeba Abiria? Je kuna hilo hitaji kweli?

Ningeambiwa au ningesikia Hoja kwamba labda Ndege hizo ziuzwe na ibaki moja kisha hizo Hela zitumike Kuimarisha Sekta ya Kilimo ambayo inahitaji msaada na ungalizi mkubwa ningemwelewa Mheshimiwa Rais na ningekubaliana nae kwa 100% ila kwa hii Hoja yake ya leo nampinga na naona ni kama vile ' Tusi ' kwa Watangulizi wake.

Wengine tumeumbwa kuwa wakweli na wawazi hivi hivyo mtusamehe tu na tuvumiliane. Tuache Kukurupuka na kuwa na ' Mihemko ' isiyo na Tija wala Mantiki. Halafu akina Donald Trump ' wakitutukana ' Waafrika huwa tunalalamika na kuona labda anatuonea wakati kumbe huwa yuko sahihi tena kwa 100% zote kutokana na ' Madhaifu ' yetu ya asili.

Nimesikitika!

Nawasilisha.
haujaweka sababu mkuu!!!
 
Kinoamiguu

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Messages
445
Likes
556
Points
180
Kinoamiguu

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2018
445 556 180
Mkuu hayo ni mawazo yako, ila wwengine tunamuunga mkono, afadhali zitumike kuwabeba watanzania zifanye biashara nchi ipate pesa kuliko kuzipaki pale airport. Bado kuna ndege moja ya rais. Itatumiaka hiyo kwa safari zake

Sent using Jamii Forums mobile app
unaujua mpango kazi wa shirika kwa miaka 5 hii ya magufuli? je haya ayafanyayo walkubaliana? yapo kwenye mpango wa shirika?
 
lucas mobutu

lucas mobutu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Messages
8,855
Likes
15,623
Points
280
lucas mobutu

lucas mobutu

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2017
8,855 15,623 280
Na ni kwa ajili hiyo, serikali inanunua vifaa kwa ajili ya ile hangar ya KIA.
Ili kupunguza gharama za uendeshaji.
Ndio maana serikalini inasomesha aircraft engineer's kwa bidii ili kuongeza ajira na kuwawezesha vijana wazalendo kuitumikia nchi yao pia.

Yoote haya serikali inayajua na usidhani wanakurupuka kama mbavyo mna jidanganya

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka uniambie before magufuli hakukua na hao Aircraft engineers tanzania ?

2.emu nambie kama hizo pesa za kukarabati hiyo hangar zimeshatoka.

3.je unadhani hizo pesa serikali itazitoa wapi kama tu imeshindwa kulipa wafanyakazi ?

NAOMBA UJE TUJADILIANE KISOMI.WITH FACTS AND LOGIC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
commonmwananchi

commonmwananchi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
2,916
Likes
1,122
Points
280
commonmwananchi

commonmwananchi

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
2,916 1,122 280
Unataka uniambie before magufuli hakukua na hao Aircraft engineers tanzania ?

2.emu nambie kama hizo pesa za kukarabati hiyo hangar zimeshatoka.

3.je unadhani hizo pesa serikali itazitoa wapi kama tu imeshindwa kulipa wafanyakazi ?

NAOMBA UJE TUJADILIANE KISOMI.WITH FACTS AND LOGIC

Sent using Jamii Forums mobile app
Tusikae kujadili historia, mimi nimetoa facts, kinachojiri sasa hivi.
Historia subiri tuzeeke. Ni suala la muda na pia ndio maana sasa tuna magufuli na haya yanatokea. Subiri hizi zipakwe rangi kwanza.
tapatalk_1547239041066-jpeg.992183
tapatalk_1547239015576-jpeg.992184

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lucas mobutu

lucas mobutu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Messages
8,855
Likes
15,623
Points
280
lucas mobutu

lucas mobutu

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2017
8,855 15,623 280
Tusikae kujadili historia, mimi nimetoa facts, kinachojiri sasa hivi.
Historia subiri tuzeeke. Ni suala la muda na pia ndio maana sasa tuna magufuli na haya yanatokea. Subiri hizi zipakwe rangi kwanza. View attachment 992183 View attachment 992184

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kuwa ndege huwa zina retire ? Yaani kustafu ?
Sasa ngoja mshangilie tu.hizo ndege ni za zamani zikiangusha watu ndio mtaelewa kuwa "kichaa ni kichaa"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
31,114
Likes
39,860
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
31,114 39,860 280
Kama hutaki siasa unafanya nini sasa hivi?
Tangu asubuhi hadi JIONI kila siku wewe humu tu.
Nadhani moja ya laptop zile walizoleta kudukua system ya NEC kupitia mgongo wa kijo bisimba na wewe uliambulia moja.
Nchi hii ni kubwa, usidhani kukaa humu JF ukijificha I'D, basi wewe ni mjanja pekee.
No....wako watu wengi tena smart wanafanya mambo yao na kusonga mbele na maisha nafamily zao.
Kwa ujumla unaposoma ukahitimu halafu ukatafuta short cuts za siasa ujuwe ume BET future yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Siasa ni nini Kwanza? Labda tuanzie hapo ili nithibitishe rasmi ' Upumbavu ' wako. Kuhusu Mimi kuwepo hapa wala hujakosea na huwa nipo hapa kwa Masaa Saba ( 7 ) ndani ya Masaa yote 24 ya Siku ambapo Saa 1 Kamili hadi Saa 2 Kamili asubuhi huwa nakuwepo. Kisha Saa 4 Kamili asubuhi hadi Saa 6 Kamili mchana huwa nakuwepo. Halafu tena Saa 1 Kamili usiku hadi Saa 3 Kamili usiku huwa nakuwepo na Saa 4 Kamili usiku hadi Saa 6 Kamili usiku huwa nakuwepo nimejaa tele hapa JamiiForums.

Kuhusu Laptop yangu ukisema nimepewa kwa Mgongo wa Kijobi Simba utakuwa unakosea ila ukweli ni kwamba hii Laptop niliiokota tena ni ya Mtumba kabisa halafu ni Mbovu kiasi kwamba kila Siku huwa inanisumbua hivyo kama labda utakuwa na nyingine unaweza ukaniazima ili niwe natiririka na kuserereka nayo hapa Jamvini.

Kuhusu sijui Kujificha na hii ' ID ' yangu huku ukionyesha dhahiri kuwa unanitishia labda nijue Wewe ni Mtu wa ' System ' nadhani Vitisho vyako hivi vielekeze kwa mwingine kwani Kwangu Mimi unaweza ukayapata yale ambayo hukuyatarajia kabisa na ukashangaa kuwa pamoja na kwenda Kwako Kote Kozi lakini nimekuweza na nimekumaliza vile vile. Wengine ' Umafia ' hatujauanza leo hivyo usitafute makubwa kisha ukawapa bure ' Majonzi ' ya Milele wana Familia wako na hasa hasa Mkeo na ukajuta na wakajuta pia.

Unposema kuwa kuna Watu wapo ' Smart ' na wanafanya Maisha yao unataka kumaanisha nini? Nani aliyekuambia kuwa kuwepo hapa Jamvini kunamzuia Mtu kufanya Mambo yake ya Kimaendeleo? Aliyekuambia ukiwa huonekani hapa JF ndiyo Mfanyakazi bora ni nani? Hivi ni lazima kila Mtu afanye Kazi unayoifanya ' Fungulu Ngenge ' Wewe uliyetukuka? Halafu ulivyo ' CERTIFIED FOOL ' hujui pia kuwa Mtandao huu huu wa JamiiForums kwa wengine kutokana na ' nature ' za Fani zao tayari ni sehemu ya Ajira tosha Kwao? Halafu nikiwa ' nawadharau ' kuwa hamna ' Akili ' huwa mnanilaumu na kukasirika wakati kumbe huwa nipo sahihi kwa 100%.

Mwisho kabisa sikusoma ili nije nitafute ' short cut ' maishani bali nimesoma ili Elimu yangu iweze kunisaidia Kupambanua Changamoto za Kijamii, niwasaidie ambao hawakupata fursa hii ya Elimiu ili kwa pamoja tuweze kufikia Kilele cha Maendeleo kama siyo Mafanikio. Sina haja ya Kutambia Elimu yangu au Vyeti vyangu bali ninachojua tu ni kwamba hata hii Mimi kuwepio hapa mara kwa mara pia ni sehemu ya Kuchangia na Kuigawa Elimu yangu kwa wengine na ndiyo maana unaona GENTAMYCINE ni ' brand ID ' na ' talk of the forum / platform ' hapa tena pengine hata kuliko Wewe.

Halafu unanipangia Mimi kuwepo hapa Wewe kama nani labda? Umeshanichangia hata Siku moja Hela ya ' Bando ' langu? Je nimeshawahi kuja na Kukupigia hodi kukuomba Hela ya ' Bando ' hapa? Kama unajua humpendi au unachukizwa na Mimi GENTAMYCINE hivi ninapoanzisha ' threads ' mbalimbali hapa Jamvini huwa nakuita au nawaiteni? Ni Nyege Nyege zenu na Kuwashwawashwa Kwenu nami huku Mioyoni mwenu mkiwa mnanikubali kabisa ndiyo huwa vinawafanya mnifuatilie. Mnafiki mkubwa Wewe.

Nimemaliza na usisahau ' Kuwafowadia ' ujumbe na wale ' Mafulu Ngenge ' wenzio tafadhali.

This is GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE.
 
commonmwananchi

commonmwananchi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
2,916
Likes
1,122
Points
280
commonmwananchi

commonmwananchi

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
2,916 1,122 280
Unajua kuwa ndege huwa zina retire ? Yaani kustafu ?
Sasa ngoja mshangilie tu.hizo ndege ni za zamani zikiangusha watu ndio mtaelewa kuwa "kichaa ni kichaa"

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani unadhani sisi wote ni wapumbavu kama wewe na hatuelewi sheria za udhibiti wa vyombo vya anga?

Kwanza ndege hizo, ni moja ya ndege ambazo kwa ujumla zimeruka masaa machache sana kulinganisha na umri wake.
Na kwa aina ya kazi na majukumu zilizokuwa zikifanya zilikuwa ni jicho la serikali.
So... kila General aircraft maintenance ilipokuwa ikifika zilikuwa zinafanyika.

Usipindishe hoja hapa, zitto kishawaambukiza uzito.
tapatalk_1546618366899-jpeg.992189
tapatalk_1547239041066-jpeg.992190
tapatalk_1547239015576-jpeg.992192

Sent using Jamii Forums mobile app
 
K

kakolaki

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Messages
452
Likes
362
Points
80
K

kakolaki

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2017
452 362 80
GENTAMYCINE nikitoa ' Critical Observations ' zangu hapa naambiwa ' Msaliti ' au ' Mpinzani ' au ' Natumika ' ila kama kuna ' Presidential Blunder ' hasa ya Kimaamuzi aliyowahi kuifanya Rais JPM ni hii ya leo. Nimesikitika na Kushangaa mno na hadi sasa najiuliza je JPM ana ' Washauri ' wake kweli? Je wanamsaidia?
Nchi ilizoea kuendeshwa kisiasa ndio maana kuna vitu vilishindikana kwa almost 30 years, ndio maana unaona hata watu wanaendelea kujaribu kuvusha dhahabu sababu zamani ukimjua hata mnikulu Mambo yanaenda. Hakukua na mtu anaefanya decisions kwa faida ya wote, mara mia ukosee lakini kwa good intentions sio kila mahali unasikia Rais na mwanawe wanatajwa kwa mali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,251,651
Members 481,811
Posts 29,778,891