How mzee? Hii ndio naisikia leo toka nizaliweππClassmate ndo adui namba kwenye maisha yako polee maan umejua kwa maumivu
ni kama marafik tu unakuta wastan wa uchumi wao upo saw.How mzee? Hii ndio naisikia leo toka nizaliwe
Tabia yako ya kulia Lia hivyoUkiona mwanaume mzima analia ujue kweli kimempata.
Leo(maana saa 6 tayari) nimemwaga chozi... Sio utani kwakweli..
Nime enda kwenye event fulani hivi,
Watu wanapiga stori fresh tu(nao ni classmates)
Katika kuwapa hai, yaani ni kama I was just disturbing and killing the vibe..
Yaani ni kama kero kwao, like what the hell.. Just because sijafikia level ya kuwa na gari, ama maisha mazuri ndo niwe outcast? Walahi nimetoka pale na fedheha ya hali ya juu sana
Nika fika magetoni nakuanza kulia, maana ni kama nilikuwa nimeji disappoint mwenyewe kwenda kwa event ambayo najua fika wale sio watu wa kaliba yangu, kama mtu mwenye maono makubwa.. Kuwa na gari au kuwa na shinny objects sio kitu kwangu as long as na malengo makubwa ya maisha..
Chozi lilimwagika, ila nikakumbuka jana tu nilikuwa zangu town, nikaona kijana mmoja mdogo anatembea na mama wa makamo ambaye alikuwa kipofu, na yule kijana aliniangalia kwa kunidadisi sana na akaja moja kwa moja kwangu. Akaniomba msaada, na nilivyo mwanga lia tu usoni nikapatwa na huzuni, niliwasaidia japo wakale chakula..
So, baada ya hii event ya leo na kilicho tokea, nilipatwa na gadhabu, ila nikakumbuka despite hayo yote, kitendo cha mimi kuwa msaada kwa wengine it's a blessing... Hawa wanaotapa na shinny things ambao wengine ukute wanadrive ndinga za baba zao, na kumiliki iPhone 18, kumbe hawana issue ni ulimbukeni tu
So, baada ya tafakari nikajawa na amani since maisha hayo sio yangu in the first place.
Hii dunia, kuna watu wanaishi kwa ajili ya validation.. Na huo ndo mwanzo wa kuishi unfulfilling life.
Nimegundua ukiwa na malengo makubwa usikae in the wrong environment.. Ni rahisi sana kuchanganywa na kupoteza na watu wasio na kujali wala maono au malengo maishani.
Kuna kitu nikwambie kwenye hii dunia unaweza ukawashangaza wengi sababu unao uwezo mkubwa wa kuishi vyovyote na kufanya chochote cha kuwashangaza hata ambao hawakutarajia km utawashangaza, nimewahi kufanya hivyo halafu mimi ni bingwa wa kukata midomo, nakata na ulimi wa kila mshenzi kisha nautia mfukoni na nikimaliza hapo namshona mdomo wake ili siku zingine asiwe anaongea ongea sana, kuna mpuuzi hapa katikati alikua ananiongelea shit sana nikasema what the fucks is this? Nikazama ndichi nikafanya kitu changu fulani fulani ili kumuonyesha kua unachokiongea wewe haukijui na mimi haunijui sasa nitakuonyesha mimi ni nani, kilichomshangaza maana yake nikamkata mdomo, nikamkata ulimi kisha nikalishona domo lake ili next time asiropoke ujinga tenaHii dunia, kuna watu wanaishi kwa ajili ya validation.. Na huo ndo mwanzo wa kuishi unfulfilling life.
Nimegundua ukiwa na malengo makubwa usikae in the wrong environment.. Ni rahisi sana kuchanganywa na kupoteza na watu wasio na kujali wala maono au malengo maishani.
I think mkuu unatatizo la insecurity!Ukiona mwanaume mzima analia ujue kweli kimempata.
Leo(maana saa 6 tayari) nimemwaga chozi... Sio utani kwakweli..
Nime enda kwenye event fulani hivi,
Watu wanapiga stori fresh tu(nao ni classmates)
Katika kuwapa hai, yaani ni kama I was just disturbing and killing the vibe..
Yaani ni kama kero kwao, like what the hell.. Just because sijafikia level ya kuwa na gari, ama maisha mazuri ndo niwe outcast? Walahi nimetoka pale na fedheha ya hali ya juu sana
Nika fika magetoni nakuanza kulia, maana ni kama nilikuwa nimeji disappoint mwenyewe kwenda kwa event ambayo najua fika wale sio watu wa kaliba yangu, kama mtu mwenye maono makubwa.. Kuwa na gari au kuwa na shinny objects sio kitu kwangu as long as na malengo makubwa ya maisha..
Chozi lilimwagika, ila nikakumbuka jana tu nilikuwa zangu town, nikaona kijana mmoja mdogo anatembea na mama wa makamo ambaye alikuwa kipofu, na yule kijana aliniangalia kwa kunidadisi sana na akaja moja kwa moja kwangu. Akaniomba msaada, na nilivyo mwanga lia tu usoni nikapatwa na huzuni, niliwasaidia japo wakale chakula..
So, baada ya hii event ya leo na kilicho tokea, nilipatwa na gadhabu, ila nikakumbuka despite hayo yote, kitendo cha mimi kuwa msaada kwa wengine it's a blessing... Hawa wanaotapa na shinny things ambao wengine ukute wanadrive ndinga za baba zao, na kumiliki iPhone 18, kumbe hawana issue ni ulimbukeni tu
So, baada ya tafakari nikajawa na amani since maisha hayo sio yangu in the first place.
Hii dunia, kuna watu wanaishi kwa ajili ya validation.. Na huo ndo mwanzo wa kuishi unfulfilling life.
Nimegundua ukiwa na malengo makubwa usikae in the wrong environment.. Ni rahisi sana kuchanganywa na kupoteza na watu wasio na kujali wala maono au malengo maishani.
Muda mwingine unajikuta unaumia Bure kumbe watu wanafake life.
Kuna watu nlikuwa nawaonea wivu kumbe ni kufake,Wana Maisha magumu kuliko mie nsie na kitu.
Kikubwa ishi kwenye uhalisia wako,Kuna watakaokuona useless mzembe,lakini wapo wanaokuona wa maana,msaada kwao.
Thamani ya mtu haibebwi Kwa vitu anavyomiliki.
ππ Anahitaji mabadilikoKwanza mm naona Jamaa ana insecurity.
Na pia alitaka alivyofika kwa hao classmates basi center of attention iwe kwake, na ndio maana ame-notice haraka kuwa watu hawajamshobokea alivyofika kama anavyotaka iwe.
Sasa hilo nalo ni la Kulia?. πππ.
Mwanaume unalia kisa watu hawajakunotice?.
Hii ni motivation tosha kuwa unatakiwa upandishe thaman yako. Na ku-level up.
Na sio kujifariji kuwa eti umesaidia omba omba na kuwa ww una maono makubwa.
maono Makubwa yafanye yaonekane. Kama yako tu kichwan na bado hayana matokeo. Ni kazi bure.
Mipango sio matumizi.
Lamomy hebu pitia kumbembeleza Chiwawa kabla hujaanza mishe zako. Nadhan bado anabubujikwa na machozi kama yale ya Lucas
Hapana, hii ipo kwenye jamii fulani fulani na huko hufanywa km mila na desturi, nimewahi kushuhudia kwenye hio jamii ukifika km wewe huna nyumba huwezi kukaa ukafanya mazungumzo na wale wanaomiliki nyumba, km wewe huna gari huwezi ukakaa chini ufanye mazungumzo na wale wenye magari, huna mtoto huwezi ukakaa unafanya mazungumzo na wenye watoto, huwezi kuongea na waliooa sababu wewe bado hujaoa, hio imekua km hamasa kwamba kwa mfano utasema sasa nataka kuongea na fulani na mimi sina mtoto nafanyaje?Na pia alitaka alivyofika kwa hao classmates basi center of attention iwe kwake, na ndio maana ame-notice haraka kuwa watu hawajamshobokea alivyofika kama anavyotaka iwe.
Lakini huyu mbona ni kama mtu anayeangamia for attention and recognition?mbaya zaidi Kwa watu asiowajua?
Wanamliza? Analia?
Ataweza kweli kuwa baba wa familia na mume wa mtu?