Sirudii kushika simu ya mwanaume


Huenda yeye ndio main chick


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Atleast unefanyika faraja asante n point taken

Usjali dear, hayo ni mapito tu kwenye maisha, jifunze kujipenda ww mwenyewe kwanza kabla hujampenda mtu mwengine, maana ukishajifunza SelfLove hutokubali mtu akuumize au kukupotezea mda wako, coz unajua wewe ni wa thamani. Usipojipenda hutojihurumia manyanyaso na Dharau kutoka kwa watu juu yako
 

Jamaa usipotoshe, mapenz gani yakupeana simu bana ? kila mtu akae na simu yake ful stop.....


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jamaa usipotoshe, mapenz gani yakupeana simu bana ? kila mtu akae na simu yake ful stop.....


Sent from my iPhone using JamiiForums

Ukiona hvyo wewe sio mwaminifu! Kama unajiamini Unampa tu kwani kuna shida gani? Na siku zote mapenzi ni mawasiliano na mawasiliano ni simu! Simu ndo kila kitu ukifanikiwa tu kuicontrol simu ya mpenzi wako basi umemaliza kila kitu! Usaliti unaanzia kwenye simu! Kama unataka kupima uaminifu wa mpenzi wako anza na simu, Mawasiliano ndio kila kitu kama mnaaminiana wewe na mpenzi wako hakuna sababu ya kuogopa kumpa simu yako ashike, kama mmoja wenu anaogopa simu yake kushikwa basi hakuna uaminifu hapo Mnapoteza time yenu[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] Na ndio 80% ya mahusiano ya kibongo yalivyo ndio maana Ndoa hazidumu siku hizi! Enzi za wazee wetu hakukuwa na Simu ilikuwa ni mwendo wa barua tu sasa mpaka utume barua imfikie mke wa mtu , dili lishabumburuka ila sasa hv simu imerahisisha usaliti ni simple tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ushauri mzuri sana!! Unakuta mabinti wengi hawana guts za kuvunja uhusiano!! mleta maada ulete mrejesho nini maamuzi yako?
 
Naunga mkono hoja....@feysher rudia kusoma hapa, hakika patakusaidia.

Maisha ni kuchagua.....kazi kwako bibie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna upotoshaji hapo.....jamaa yupo sahihi kabisa. Mapenzi hayana privacy...

Note:
Usichanganye contents za MAHUSIANO YA KIMAPENZI na MAHUSIANO YA KINDUGU/MARAFIKI. Kuna utofauti mkubwa sana....
Jamaa usipotoshe, mapenz gani yakupeana simu bana ? kila mtu akae na simu yake ful stop.....


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona una principle za kuanzisha vita ya tatu ya dunia wewe. Nina uhakika kila mtu akipewa acess ya simu ya mwenza wake kuanzia sasa hivi,ikifika jioni ndoa zote na mahusiano yatakuwa yamevunjika 75%.
 
Naona una principle za kuanzisha vita ya tatu ya dunia wewe. Nina uhakika kila mtu akipewa acess ya simu ya mwenza wake kuanzia sasa hivi,ikifika jioni ndoa zote na mahusiano yatakuwa yamevunjika 75%.
We acha kabisa wanaume tunatamaa hatar.mi mchepuko niliusevu vodacom,wife kashtuka uyu kila siku anachati na voda au kashinda mapene.siku kanitegea niko bathroom nliporudi balaa matusi na maneno kama yote dick haikusimama wiki.
Angalizo kama hutak kataa michepuko mana wanawake wanapenda kujumuisha yani kama kakupata na kamchepuko ako kamoja maisha yote anajua wew sio mwaminifu ata ubadilike vp

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…