master peace
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 1,450
- 444
Huko JWTZ Alijieleza vya kutosha na wanajeshi walimwonea huruma wakampa Tsh 10,000/=
Mmmmh!! 10,000/= aende bungeni???? Kutoka Mwanza???[/QUOTE]
Mkuu, kweli kuchakachua ni jadi yenu; Yaani hata taarifa tu unachakachua, huoni aibu hapa Jamvini;
Huko JWTZ Alijieleza vya kutosha na wanajeshi walimwonea huruma wakampa Nauli na Tsh 10,000/= ya kula njiani ilie aende Bungeni huku wakiwa wamemkabidhi namba za simu za wabunge 2 wa upinzani ili wamsaidie.