Siri za kifo cha Kamanda Barlow zavuja, kamanda wa Polisi Muna atajwa! Taarifa zamfikia Pinda

Yericko Nyerere

Verified Member
Dec 22, 2010
16,775
2,000
Huu ni udaku ambao umevunja rekodi ya udaku uliowahi kutokea duniani,Hii ni habari mbovo ya uongo ya kijinga na yakizandiki na nafikiri mtoa taarifa na mwandishi wakapimwe ubongo
Lete ukweli uliovunja rekodi ya kweli zote!
 

Chesty

JF-Expert Member
Aug 30, 2009
5,458
2,000
Kaka hapa unaharibu. Aliyewateua maaskofu waliolawiti watoto kule Marekani na kwingine kwenye shida kama hizo ni Pope. Kumbe naye alaumiwe? Hao ni wahalifu tu, wamefanya kwa utashi wao na adhabu inawahusu wao. Tushughulike uhalifu tuache siasa. Siasa zina mahali pake si hapa. Ahukumiwe aliyetenda kosa, hiyo ndiyo haki.
Kwani yeye Pope akilaumiwa kuna ubaya gani, yaani unatuletea issue ya Pope ili tusiilaumu serikali ya CCM
 

COPPER

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
2,116
2,000
Gazeti nimelisoma zaidi ya mara mbili sijaamini macho yangu. Hata hivyo, kilichoandikwa hapo kimefupishwa sana. Kwa kuwa kina wahariri wazoefu sina haja ya kuhofia taarifa yake. Ukweli nchi yetu iko pabaya. Wakituhumiwa kuwa wanaua waandishi wanalalamika.
Mkuu, hii inanikumbusha yule jambazi aliyetoa ushahidi kuwa wao ndio waliopora fedha za BIDCO na sio wale marehemu
waliouliwa na akina Zombe. Hii nchi ina mambo ya ajabu sometimes.
 

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
34,934
2,000
Watu wanabishana bure tu hapa,hiyo habari inajulika Mwanza mapema mno ila haikupata mtu wa ku confess openly. Kuna kamtandao kabaya ka elimination of peoples whose are obstacles ya maslahi ya watu. Kupinga kila kisemwacho ni sawa na kujifunika blanket wakati wa jua kali. Tujiulize kwa nini matukio ya ujambazi hata kama wanakamatwa wakiwa hai baadae tunaambiwa wote wamekufa wakiwa njiani kupelekwa hospitali? Nchi imeingia katika wimbi la mauaji mabaya sana,ila kwa ajili ya kujifunika blanketi tunaona sawa tuu. Hao majambazi wanauawa ili wasiseme mtandao wao unaohusisha wateule.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: HT

jack biko

Member
Apr 20, 2013
24
0
Gazeti nimelisoma
zaidi ya mara mbili sijaamini macho yangu. Hata hivyo, kilichoandikwa
hapo kimefupishwa sana. Kwa kuwa kina wahariri wazoefu sina haja ya
kuhofia taarifa yake. Ukweli nchi yetu iko pabaya. Wakituhumiwa kuwa
wanaua waandishi wanalalamika.
kumbe hata na huyu amehusika? wakiuana wenyewe safi tu, ila wasiue raia innocent.
 

kichangaa

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
689
0
Soma gazeti la mawio alhamisi halafu uniambie kama kiu yako itakuwa imekatika au la. Kifupi gazeti la mwanahalisi liko mtaani kwa jina la mawio. Waandishi wote wa mwanahalisi wako Mawio.
mwanahalisi lilikuwa jembe jamani.!!!!!!!!!tukubaliiiiiiiiiiii
 

Konya

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
918
250
huyo jamaa(jambazi sugu) atakapo potelea haitajulikana, na tutaambiwa na yeye ni mchochezi na mtu ambaye anataka kulichafua jeshi la polisi kisa tu amefichua siri
 

mtotowamjini

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
4,531
0
Kuna conspiracy theory moja ilikuwa inaendelea kichinichini kwamba, Marehemu Barlow ndio alikuwa next in line to be IGP. Na wakubwa hawakuwa wanamtaka hivyo ilikuwa inatafuta njia yakumpotezea e.g. kumpa nafasi nyingine, au kumuondoa kabisa uhai wake, au kumkaukia tu pasipo kumpa kifuta machozi. Whether this is true or not, I do not know. Lakini naanza kupata picha halisi kwamba marehemu alikuwa na maadui wengi ndani ya jeshi la polisi, usalama wa taifa, na obsviously nje ya mzunguko huo. I hope it is just a matter of time kila kitu kitakuwa clear.
Mh...that is one hell of a conspiracy theory....kama ni kweli itakua nomaa
 

diso

Member
May 15, 2013
20
20
Mmmmh!! 10,000/= aende bungeni???? Kutoka Mwanza???

Sorry, walimpa nauli yote na Tsh 10,000/= ya chakula cha njiani. Nitaedit[/QUOTE]

Je hii hela ni typing error au ni kiasi halisi maana hiyo amount sidhani hata kama shinyanga unafika..
 

kisugujira

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
773
195
According to Majimoto, nchi hii ilikuwa inaongozwa kwa nguvu za giza hadi sept. 2009. Wakati huo mambo yalifichika, lakini hivi sasa kila uovu unajianika hadharani kweupe. Nguvu za giuza zimeshindwa.
Mkuu Mfamaji, ina maana jamaa wameacha kwenda kwa babu mlingotini kule Bwagamoyo? Kumbe ndio maana siku hizi wanacheza madogori!!
 

Mtanzanika

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
2,391
2,000
Huko JWTZ Alijieleza vya kutosha na wanajeshi walimwonea huruma wakampa Tsh 10,000/=
Mmmmh!! 10,000/= aende bungeni???? Kutoka Mwanza???[/QUOTE]
HUJAELEWA.SOMA TENA
Huko JWTZ Alijieleza vya kutosha na wanajeshi walimwonea huruma wakampa NAULI na Tsh 10,000/= ya KULA njiani ilie aende Bungeni
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom