Siri za kifo cha Kamanda Barlow zavuja, kamanda wa Polisi Muna atajwa! Taarifa zamfikia Pinda

Mimi sijasema kitu,ila tunaongea once atakapowekwa wa majina yanayoanza na nanii kumreplace sabas
 
Kwa maana ya Lowassa? Nilishasema wapumbavu wote wanasema Jamhuri ni la Lowassa! Weledi wanajua ni la Manyerere na Balile. Nenda Brela kama unabisha! Kuletea habari za uzushi sitaki!

Kampuni zooooooote za Rostam Aziz hakuna hata moja jina lake linaonekana!
Hongereni kwa kumiliki gazeti mkuu!
 
Kampuni zooooooote za Rostam Aziz hakuna hata moja jina lake linaonekana!
Hongereni kwa kumiliki gazeti mkuu!


JF ni jukwaa la waungwana. Inachukiza sana unapokuta watu wazima wenye weledi wakiibua uongo na kutaka kuuaminisha umma. Hii kampuni iko wazi kuanzia kwa wamiliki hadi mikataba yote. Hivi ofisi ya Lowassa kweli inaweza kuwa na kompyuta na viti used? Jamani, mimi nadhani kauli za aina hii za kusingiziana wamiliki ni kukatishana tamaa.
 
nani ajuaye ya mwenzie.mbona mwajifanya wanajimu wakatia hamna fani hiyo. hebu niwaulize enyi wanajimu ni nani mmiliki wa wa PUMA TANZANIA ama ni nani mmiliki wa harbour view hotel ama jengo jmall tower.Basi enyi vizazi vya welevu kuweni mna uwezo wa kufiri kabla hamjatenda.kwa mfano: shamba moja lilomilikiwa na mkuma mmoja, mkulima akapanda mbeguu katika shamba hilo na mazao yakakua na kuwa mfano kwa wakulima je? atakaye vuna mazao hayo ni nani ni mamvi( lowasa ama ni yule mwenye shamba aliyelima kwa usitadi mkubwa. heli yenu mmupongezae balile na manyerere huku mkimg'ong'a kwa nyuma ipo siku mtauumbuka.
 
Kwa maana ya Lowassa? Nilishasema wapumbavu wote wanasema Jamhuri ni la Lowassa! Weledi wanajua ni la Manyerere na Balile. Nenda Brela kama unabisha! Kuletea habari za uzushi sitaki!

inabidi ujiulize mkuu kwanini wapumbavu wote wafikirie hivyo
 
Sasa ni wazi kwamba aliyekuwa kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza ameuawa na genge ndani ya Polisi akiwemo Kamanda Polisi anayejulikana kwa jina la Muna, gazeti la Jamhuri limeripoti katika ukurasa wa Mbele kabisa (Nimesoma kwenye website yao Deo Balile akilalamika gazeti kununuliwa kwa jumla na watu wasiojulikana)

Kuvuja kwa siri hiyo kumetokana na mmoja wa jambazi sugu ajulikanaye kwa jina la Edward Malele kujisalimisha ktk vyombo vya ulinzi na kutoa siri zote.

Jambazi huyu aliombwa wa genge ndani ya polisi kushiriki katika mpango wa kumwua kamanda Barlow. Akakataa kwa kuwa aliwahi kumfahamu kwa karibu kamanda Barlow.

Baada ya kukataa kutekeleza agizo hilo baada ya siku chache alishtakiwa kwa kosa la ujambazi na kuswekwa Rumande.

Akiwa huko ndani ya wiki moja alisikia habari za kifo cha kamanda Barlow. Akajua akina na Muna aliowakatalia wamefanya kazi aliyoikataa yeye. Na alijua yuko mahabusu kwa sababu ya kukataa mradi huo.

Baada ya kukaa huko muda mrefu bila shitaka kueleweka wala mshataki wake huko Lupango walimua kumwaichia. Akagoma kutoka kwa sababu anajua kuwa, kwa kuwa amepelekwa huko ili kuficha siri hivyo, akitoka lazima atauawa. Baada ya muda akaamua kukubali kutoka lupango na kukimbilia kituo cha JWTZ huko Mwanza.

Huko JWTZ Alijieleza vya kutosha na wanajeshi walimwonea huruma wakampa Nauli na Tsh 10,000/= ya kula njiani ilie aende Bungeni huku wakiwa wamemkabidhi namba za simu za wabunge 2 wa upinzani ili wamsaidie.

Kutokana na kutokuelewa kwake alipokuwa anashangaa shangaa katika eneo la Bunge, alikamatwa na polisi wanalinda eneo hilo. Polisi hao wakapiga simu Dodoma central na Mwanza. Haraka haraka mwanza wakataka arudishwe mwanza kwa kuwa ni jambazi sugu.

Hata hivyo, kwa katika kurupushani hiyo taarifa zimeshameshamfikia Pinda na Nchimbi ambapo gazeti linaripoti kuwa Pinda ameagiza kijana huyo apewe ulinzi na asirudishwe Mwanza.

Hata hivyo amepelekwa kusiko julikana.

Kwa mapana zaidi soma gazeti la Jamhuri KAMA zinanunuliwa kwa kasi na watu wasiofahamika.

My take;
CCM inaua waandishi na polisi ambao imetofautiana nao. Huo ndio ukweli, watake wasitake. CCM ni janga la kitaifa. na Imeshindwa kuongoza nchi.
From this generation Bilionea.

huyo jamaa anatakiwa akapimwe akili kwanza atuwezi kuamini anachosema kirahisi hivyo,
 
Kweli hii habari imebamba. 5334 Users following the thread at per.
Kitendo cha kuzinunua copy ili zisifikie wasomaji na kutopatikana kwa site ya gazeti kwa
net ni ushaidi tosha hii habari ni ya kweli la sivyo watuhumiwa wasingetumia nguvu zote hizi
kama ingekuwa ni ya kutunga.

There are currently 5334 users browsing this thread. (148 members and 5186 guests)


Ningekuwa Muna ,huu ni utajiri unamnyemelea,shitaki ilo gazeti upate hela
 
Ningekuwa Muna ,huu ni utajiri unamnyemelea,shitaki ilo gazeti upate hela

Ashitaki akalie msumari wa moto,unafikiri watu wanakuja hapa hawana ushahidi? Yalitoandikwa hapo naamini ni sehemu tu ya ukweli woote,mengine hayajaandikwa kwa ajili ya kujilinda.
 
Kwa maana ya Lowassa? Nilishasema wapumbavu wote wanasema Jamhuri ni la Lowassa! Weledi wanajua ni la Manyerere na Balile. Nenda Brela kama unabisha! Kuletea habari za uzushi sitaki!

Hongereni sana kama mmeweza kusimama na kuanzisha gazeti lenu. Tunakushukuru pia kwamba umeweka kila kitu clear kwamba wewe na Balile ndio wamiliki.
 
Hongereni sana kama mmeweza kusimama na kuanzisha gazeti lenu. Tunakushukuru pia kwamba umeweka kila kitu clear kwamba wewe na Balile ndio wamiliki.

Siyo makubaliano au mikataba yote lazima iwe wazi! Kuna SILENT PARTNERS siyo lazima wawemo kwenye Memorundum of Association so Manyerere asifikiri wote hawajui taratibu za kuanzisha makampuni! Kuna kampuni ukizifuatila majina yaliyoko BRELA na SIGNATORIES WA BENKI ni tofauti!
 
HALAFU WALIVYO WANAFIKI MSIBANI HUWA WANAKAA VITI VYA MBELE WAKIJIFANYA ETI IMEWAUMA KWELI, NGOJA DAWA YENU IKICHEMKA MTAINYWA HATA KAMA NI CHUNGU...ccm haikubaliki tanzania.
 
Kuna conspiracy theory moja ilikuwa inaendelea kichinichini kwamba, Marehemu Barlow ndio alikuwa next in line to be IGP. Na wakubwa hawakuwa wanamtaka hivyo ilikuwa inatafuta njia yakumpotezea e.g. kumpa nafasi nyingine, au kumuondoa kabisa uhai wake, au kumkaukia tu pasipo kumpa kifuta machozi. Whether this is true or not, I do not know. Lakini naanza kupata picha halisi kwamba marehemu alikuwa na maadui wengi ndani ya jeshi la polisi, usalama wa taifa, na obsviously nje ya mzunguko huo. I hope it is just a matter of time kila kitu kitakuwa clear.

Issue ya Barlow kuwa IGP huo sio ukweli. Sasa hivi sera ya serikali mkuu wa polisi tanzania IGP lazima awe Muslim
 
Ningekuwa Nchimbi, Pinda au Kawamba kweli ningejihudhuru nafasi yangu kama waziri; Sehemu zenu nyote mmeshindwa vibaya, ingekuwa kidato cha nne basi mna division ZERO wote.
 
Ningekuwa Nchimbi, Pinda au Kawambwa kweli ningejihudhuru nafasi yangu kama waziri; Sehemu zenu nyote mmeshindwa vibaya, ingekuwa kidato cha nne basi mna division ZERO wote.
 
Back
Top Bottom