Siri za kifo cha Kamanda Barlow zavuja, kamanda wa Polisi Muna atajwa! Taarifa zamfikia Pinda

Huko JWTZ Alijieleza vya kutosha na wanajeshi walimwonea huruma wakampa Tsh 10,000/=

Mmmmh!! 10,000/= aende bungeni???? Kutoka Mwanza???[/QUOTE]

Mkuu, kweli kuchakachua ni jadi yenu; Yaani hata taarifa tu unachakachua, huoni aibu hapa Jamvini;


Huko JWTZ Alijieleza vya kutosha na wanajeshi walimwonea huruma wakampa Nauli na Tsh 10,000/= ya kula njiani ilie aende Bungeni huku wakiwa wamemkabidhi namba za simu za wabunge 2 wa upinzani ili wamsaidie.
 
Mmmmh!! 10,000/= aende bungeni???? Kutoka Mwanza???

Mkuu, kweli kuchakachua ni jadi yenu; Yaani hata taarifa tu unachakachua, huoni aibu hapa Jamvini;


Huko JWTZ Alijieleza vya kutosha na wanajeshi walimwonea huruma wakampa Nauli na Tsh 10,000/= ya kula njiani ilie aende Bungeni huku wakiwa wamemkabidhi namba za simu za wabunge 2 wa upinzani ili wamsaidie.[/QUOTE]


Huo ndio ukweli ccm wanaua waandishi na watanzania kwa ujumla mfano Barlow. Huo ni ukweli mchungu.
 
Sawa lakini humo kwenye gazeti huyo Malele kawataja hata Madiwani wa CCM na CDM kwenye hii Scanner itabidi uZOOM hadi 100% kuweza kuisoma vizuri au mwenye msaada (Mod) amsaidie Billionea One kuiweka vizuri maana hii ni kwa idhini ya yeye mwenyewe Manyerere Jackton namuomba aridhie na pia akishirikiana na Balile watuwekee kwenye link gazeti lao la Jamhuri maana hata gazeti la wiki iliyopita tulilikosa hivihiviView attachment 94650
attachment.php
Shukarani Mkuu, JF oyee!
 
Nimejaribu kuscan gazeti lenye habari yenyewe, tafadhali check here
 

Attachments

  • IMG-20130521-00429.jpg
    IMG-20130521-00429.jpg
    100.4 KB · Views: 101
  • IMG-20130521-00430.jpg
    IMG-20130521-00430.jpg
    122 KB · Views: 88
  • IMG-20130521-00431.jpg
    IMG-20130521-00431.jpg
    127.6 KB · Views: 78
  • IMG-20130521-00432.jpg
    IMG-20130521-00432.jpg
    118.3 KB · Views: 80
sasa polisi walitaka huyo bosi wao auwawe kwa sababu ipi? alikua kawafanyia nini?

Kuna conspiracy theory moja ilikuwa inaendelea kichinichini kwamba, Marehemu Barlow ndio alikuwa next in line to be IGP. Na wakubwa hawakuwa wanamtaka hivyo ilikuwa inatafuta njia yakumpotezea e.g. kumpa nafasi nyingine, au kumuondoa kabisa uhai wake, au kumkaukia tu pasipo kumpa kifuta machozi. Whether this is true or not, I do not know. Lakini naanza kupata picha halisi kwamba marehemu alikuwa na maadui wengi ndani ya jeshi la polisi, usalama wa taifa, na obsviously nje ya mzunguko huo. I hope it is just a matter of time kila kitu kitakuwa clear.
 
Anataka kutueleza kuwa Jeshi letu JWTZ ni la wapinzani na Polisi ni wa CCM. Ukikubaliana na hilo, taarifa yake ina mvuto. Usipokubaliana na hilo Taarifa hii ni maji TAKA.

Uchaguzi ni wako!!!!!!!!!

Inawezekana pia JWTZ hakukuwa na wakumfunga paka kengele, au pia inawezekana hawakutaka kuonekana ndio waliotoa habari kwa umma hivyo wakaona CDM watakuwa good whistle blowers. Just a different thought!
 
Umakini unatakiwa hapo maana walionunua nakala zote (au nyingi) ili kuepusha habari hiyo kuwafikia walio wengi, wanaweza kumnunua mwandishi au mhariri wa gazeti hilo kwa bei ya kung'olea meno na kucha pasi na ganzi
 
Hata hili policcm watalitafutia tukio la kufunika tu within this week ngoja liendelee kusambaa mtackia tukio jingine,chezea magamba wewe

Ni kweli kabisa sasa hivi wanaplani kitu cha kufunika hii issue, kwa wenye akili tumegundua lile tukio la kulipua kanisa ni mpango wao ili kuzima issue ya JANGILI KINANA dhidi ya MENO YA TEMBO, hata kipindi kile cha kashfa ya ufisadi wa EPA,MEREMETA,DEEP GREEN, na vyote vilivyomweka ------ magogoni vilizimwa na BABU WA LOLIONDO
 
Mnalifanyia promo tu hilo gazeti mbona hata siyo story? waandishi njaa wanatafuta jina, eti linanunuliwa kama nguju for what?? marketing zingine bana....

Tueleze ukweli wewe basi, unaonekana unayajua yoote yaliyompata Barlow kuliko mwandishi wa gazeti hilo.
 
Huko JWTZ Alijieleza vya kutosha na wanajeshi walimwonea huruma wakampa Tsh 10,000/=

Mmmmh!! 10,000/= aende bungeni???? Kutoka Mwanza???[/QUOTE]

Taarifa inasema wakampa Nauli na sh.10,000 ya kula njiani.kwa hiyo elf 10 ni pesa ya kula njiani tu. Soma vizuri mkuu
 
Huu ni udaku ambao umevunja rekodi ya udaku uliowahi kutokea duniani,Hii ni habari mbovo ya uongo ya kijinga na yakizandiki na nafikiri mtoa taarifa na mwandishi wakapimwe ubongo
 
Kaka hapa unaharibu. Aliyewateua maaskofu waliolawiti watoto kule Marekani na kwingine kwenye shida kama hizo ni Pope. Kumbe naye alaumiwe? Hao ni wahalifu tu, wamefanya kwa utashi wao na adhabu inawahusu wao. Tushughulike uhalifu tuache siasa. Siasa zina mahali pake si hapa. Ahukumiwe aliyetenda kosa, hiyo ndiyo haki.

Na alie mteua yule mwanzilishi wa imani alieoa katoto ka miaka 6! Alaumiwe!!!!
....msirushe mawe ilhali mko kwenye nyumba ya vioo!!
 
Back
Top Bottom