VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Jana,Rais alikuwa mpole alipotembelea na kujionea madudu BOT. Kikubwa ni wafanyakazi hewa. Zilipofanyika ziara za kushtukiza TRA,Bandarini na Muhimbili wapo waliokwenda na maji. Waliwajibishwa. Gavana Ndulu amepewa nafasi aondoe madudu yake BOT.
Jana,hakuna hata mmoja aliyewajibishwa BOT kwa madudu ya pale. Unajua kwanini? Gavana wa BOT,Prof. Benno Ndulu,kama alivyo Rais,ni 'watoto wa kisiasa' wa Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa. Ni wamoja. Ni ndugu. Hawana muda wala sababu ya kuumbuana au kutumbuana.
Ana heri Prof. Ndulu ambaye si TeamLowassa. Angekiona cha mtemakuni jana! Akachinje kuku,tena wa kienyeji.
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam