Siri ya 'upole' wa Rais Magufuli BOT

Siri ya 'upole' wa Rais Magufuli BOT

Mbona watu mna haraka sana subirieni mtaona mabadiliko yatakayofanyika kuweni wapole tu....
 
Kwa sisi tuliomuona akiongea hakika inachekesha kusema kuwa aliongea kwa upole
Wapi ameandika aliongea kwa upole? Itakua ni heri kama zingepigwa hesabu za pesa zilizopotea kwa kulipa hyo mishahara hewa na atuambie tutanunua madawati mangapi kuzidi ile pesa ya Ngolidoto halaf aseme ni kwann hajamtimua huyo Prof kwa hasara aliyoleta ukifananisha na yule mama wa WMA aliyetumbuliwa kwa sms ya waziri?
 
Jana,Rais alikuwa mpole alipotembelea na kujionea madudu BOT. Kikubwa ni wafanyakazi hewa. Zilipofanyika ziara za kushtukiza TRA,Bandarini na Muhimbili wapo waliokwenda na maji. Waliwajibishwa. Gavana Ndulu amepewa nafasi aondoe madudu yake BOT.

Jana,hakuna hata mmoja aliyewajibishwa BOT kwa madudu ya pale. Unajua kwanini? Gavana wa BOT,Prof. Benno Ndulu,kama alivyo Rais,ni 'watoto wa kisiasa' wa Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa. Ni wamoja. Ni ndugu. Hawana muda wala sababu ya kuumbuana au kutumbuana.

Ana heri Prof. Ndulu ambaye si TeamLowassa. Angekiona cha mtemakuni jana! Akachinje kuku,tena wa kienyeji.

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Haaa haaa Tupa Tupa bwana, sasa hata mambo ya utendaji kuna siasa, amepewa muda arekebishe kasoro zilizopo, akitumbua analalamikiwa ya kuwa watu hawasikilizwi naona sasa ameamua kuwasikiliza na kuwapa muda kidogo wa kufanya vizuri na kurekebisha , mambo madogo madogo
 
Mukubwa sitetei, lakini nimeambiwa wafanyakazi wengi wa BOT wamekuwa seconded sehemu mbalimbali wakiretain uajiri wao endapo watarudi baada ya kutumikia hizo sehemu nyingine. Ni utaratibu wa Central banks specificaly kama ilivyo "sabbatical leave" kwa vyuo vikuu. Mfanyakazi huyo anaweza kuondolewa jina lake endapo ataamua yeye kuopt kuhamia moja kwa moja kwenye hiyo institution nyingine.
Utaratibu huu ni tofauti na taratibu za Utumishi wa Umma tunazozifahamu na mishahara yao inabaki kama ilivyo kwa ajili ya mafao ya kustaafu na siyo kwamba wanapewa hiyo mishahara kila mwezi ilhali huko walipo nako wanalipwa, au kuna wafanyakazi hewa kama inavotafsiriwa sasa mitaani. Ingekuwa hivyo ni kesi ya jinai na Rais asingesita kutumbua jipu.
Kwa kuzingatia hayo, ninachoona ni kwamba mkuu anataka utaratibu huo ubadilike kwani Benki Kuu yetu siyo "closed shop" au too special kuwa na taratibu tofauti kabisa na utumishi wa umma.
Sijaelewa Mkuu hapa kwa hiyo kama haulipwi mshahara hiyo Pensheni inakuwaje?
 
Jana,Rais alikuwa mpole alipotembelea na kujionea madudu BOT. Kikubwa ni wafanyakazi hewa. Zilipofanyika ziara za kushtukiza TRA,Bandarini na Muhimbili wapo waliokwenda na maji. Waliwajibishwa. Gavana Ndulu amepewa nafasi aondoe madudu yake BOT.

Jana,hakuna hata mmoja aliyewajibishwa BOT kwa madudu ya pale. Unajua kwanini? Gavana wa BOT,Prof. Benno Ndulu,kama alivyo Rais,ni 'watoto wa kisiasa' wa Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa. Ni wamoja. Ni ndugu. Hawana muda wala sababu ya kuumbuana au kutumbuana.

Ana heri Prof. Ndulu ambaye si TeamLowassa. Angekiona cha mtemakuni jana! Akachinje kuku,tena wa kienyeji.

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Hakika umenena Mzee Tupatupa. Serikali hii imejaa kulindana na kuonea wasio na sauti
 
Mukubwa sitetei, lakini nimeambiwa wafanyakazi wengi wa BOT wamekuwa seconded sehemu mbalimbali wakiretain uajiri wao endapo watarudi baada ya kutumikia hizo sehemu nyingine. Ni utaratibu wa Central banks specificaly kama ilivyo "sabbatical leave" kwa vyuo vikuu. Mfanyakazi huyo anaweza kuondolewa jina lake endapo ataamua yeye kuopt kuhamia moja kwa moja kwenye hiyo institution nyingine.
Utaratibu huu ni tofauti na taratibu za Utumishi wa Umma tunazozifahamu na mishahara yao inabaki kama ilivyo kwa ajili ya mafao ya kustaafu na siyo kwamba wanapewa hiyo mishahara kila mwezi ilhali huko walipo nako wanalipwa, au kuna wafanyakazi hewa kama inavotafsiriwa sasa mitaani. Ingekuwa hivyo ni kesi ya jinai na Rais asingesita kutumbua jipu.
Kwa kuzingatia hayo, ninachoona ni kwamba mkuu anataka utaratibu huo ubadilike kwani Benki Kuu yetu siyo "closed shop" au too special kuwa na taratibu tofauti kabisa na utumishi wa umma.
Mkuu kidogo naanza kuwa pamoja na watu, mimi nilibaki nikiwa nimeduwaa nikijishangaa hivi mimi uwelewa wangu ndiyo upo chini au vipi! Nikiingia jf nakutana na vichwa "Wafanyakazi hewa" Magazetini leo nako ni mchanganyiko wa vichwa vya habari hadi magazeti mengine yanaandika eti hizo pesa zilikuwa zipigwe!
Mimi nachoelewa ni kwamba Rais amesema yaondolewe majina ya watu ambao hawafanyi kazi BoT yabaki ya wale wanaofanya kazi pale, kwa maana kwamba kuna wale ambao tayari hawapo pale kwa mfano huyo wa 91 yupo wizarani. Mimi nashindwa kuelewa aliye-edit ile clip ikaonesha pale tu ambapo Rais anamuongelea huyo mtu 91 na pale anaposema nitaje sijui alikuwa na maana gani!
Zile pesa Rais kaelekeza ufanyike tena uhakiki kama kweli wanaotaka kulipwa wote wanastahili kulipwa? Lakini magazeti yameenda mbali zaidi nakuandika eti kanusuru pesa ambazo zilikuwa zipigwe.!
 
Vema kama ni hivyo hayo siyo majipu. Secondment ni kitu cha kawaida sana, na siyo sahihi huyo mtumishi asitambulike hivyo, lazima abaki kama wa BOT na wala si wa labda wizara ya fedha. Lakini kama ndivyo ni maigizo labda kubadili upepo wa lugha ya malkia
 
Siku za beno Ndullu zinahesabika.. Hata yeye anajua kifuatacho ITV ni nini?
 
Kama ni hivyo mbona amewafukuza wawezeshaji wengine wa kisiasa wa Kikwete kama Dau?

Dau aliifanya NSSF kama mfuko wa bibi ambao serikali ya CCM ilikuwa inachukua pesa za wafanyakazi kufanya miradi isiyo na tija.
wewe naye! jpm ni wa ben ingawa ikwete inakomaa naye maslahi yake yalindwe. hawa wastaafu wanamyumbisha kweli magu
 
bahati mbaya tupatupa ni mmoja wa wahanga wa hapa kazi..

uzuri magufuli anafanya kazi anavotaka yeye sio mnavotaka ninyi...

hadi kaja na ile list maana ana info za kutosha kama utumbuaji unahitajika basi ni nani na wakati gani...
 
Jana,Rais alikuwa mpole alipotembelea na kujionea madudu BOT. Kikubwa ni wafanyakazi hewa. Zilipofanyika ziara za kushtukiza TRA,Bandarini na Muhimbili wapo waliokwenda na maji. Waliwajibishwa. Gavana Ndulu amepewa nafasi aondoe madudu yake BOT.

Jana,hakuna hata mmoja aliyewajibishwa BOT kwa madudu ya pale. Unajua kwanini? Gavana wa BOT,Prof. Benno Ndulu,kama alivyo Rais,ni 'watoto wa kisiasa' wa Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa. Ni wamoja. Ni ndugu. Hawana muda wala sababu ya kuumbuana au kutumbuana.

Ana heri Prof. Ndulu ambaye si TeamLowassa. Angekiona cha mtemakuni jana! Akachinje kuku,tena wa kienyeji.

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Kumbe wewe ni kiazi,hata huwezi kujiuliza home work alizoachiwa kuwa ni za mtego? Moja ameambiwa ataje idadi,mishahara,cv na majina ya watumishi wa BoT na pili ataje madeni yote ya BoT kwa kuainisha madeni halali na feki ambapo majibu ya yote hayo Rais anayo. Sasa ni kilichopo nyuma ya pazia endapo Nduru atapeleka riport tofauti?
 
Mkuu kidogo naanza kuwa pamoja na watu, mimi nilibaki nikiwa nimeduwaa nikijishangaa hivi mimi uwelewa wangu ndiyo upo chini au vipi! Nikiingia jf nakutana na vichwa "Wafanyakazi hewa" Magazetini leo nako ni mchanganyiko wa vichwa vya habari hadi magazeti mengine yanaandika eti hizo pesa zilikuwa zipigwe!
Mimi nachoelewa ni kwamba Rais amesema yaondolewe majina ya watu ambao hawafanyi kazi BoT yabaki ya wale wanaofanya kazi pale, kwa maana kwamba kuna wale ambao tayari hawapo pale kwa mfano huyo wa 91 yupo wizarani. Mimi nashindwa kuelewa aliye-edit ile clip ikaonesha pale tu ambapo Rais anamuongelea huyo mtu 91 na pale anaposema nitaje sijui alikuwa na maana gani!
Zile pesa Rais kaelekeza ufanyike tena uhakiki kama kweli wanaotaka kulipwa wote wanastahili kulipwa? Lakini magazeti yameenda mbali zaidi nakuandika eti kanusuru pesa ambazo zilikuwa zipigwe.!
Yeah may be kuna Watu ambao hawapo na wanalipwa pesa huo ni upigaji na kuna Watu pia madeni yao yalikuwa ya Magumashi Sasa Kwa hali hii Magumashi zitapungua
 
bahati mbaya tupatupa ni mmoja wa wahanga wa hapa kazi..

uzuri magufuli anafanya kazi anavotaka yeye sio mnavotaka ninyi...

hadi kaja na ile list maana ana info za kutosha kama utumbuaji unahitajika basi ni nani na wakati gani...
ILE list ilkuwa ina nini labda utuambie na sisi tujue
 
Hata mimi nilimuona, JPM alikuwa anagonga meza, sasa huo ndio upole?! Mimi kwa psychology yangu nilimuona Rais kachukia pasipo mfano. Nilimwambia mke wangu huyu Ndulu hana kazi na viongozi wengine kadhaa wa BOT. Tusubiri tuone kama kweli atapona mtu pale BOT.
Walitaka hadi arushe ngumi kwa gavana,wengine huanzisha tu thread ili maamuzi yakija chukuliwa mbelea aanze kujigamba kuwa bila yeye kuandika JF pengine wahusika wasingechukuliwa hatua.
 
Back
Top Bottom