Kwa maono ya imani yangu na niliyo ona wakati nasali
Lissu hata yeye hajui lakini anatumika na Mungu narudia hata yeye hajui hili.
Sasa wakati wa Magufuli msije kufikiria alikuwa kichaa kukataa dawa za covid, kutukana na kukebehi ma Padre kwa kutaka watu wajihadhari na covid. Yale yalikuwa njia tu ya kuyimiza ya Mungu kwa manufaa ya wengi.
Sasa Raisi Samia tunampa ovyo kama Magu akiendelea hivi itaonekana ni kitu kingine tena kama Magu atashinda Uraisi kwa kuiba iba lakini Mungu ataonyesha kwamba yeye ni mkubwa kuliko lolote ya yatatokea kama yale yake.
Kikwete naye atanyamazishwa tutaona tu soon