Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,978
- 32,387
Hata mshirika mwenzako Rejao atatoka kapa. Wenye upeo tumeshaelewa kitambo, na huo ndio ukweli. Chezea Deo wewe!
Mungi hivi uwa unaenda hata Church nenda basi JF ipo tu.
Hata mshirika mwenzako Rejao atatoka kapa. Wenye upeo tumeshaelewa kitambo, na huo ndio ukweli. Chezea Deo wewe!
Wewe nenda kwa mama muuza ukazimue migongo uliyokunywa Jana thread inaeleweka kabisa unaleta migamba hapaMkuu ebu tafuta chai unywe uende Church Jumapili leo.
Hivi unawajua viongozi madikteta wewe au unaropoka tu kwa sababu umepata nafasi ya kuandika JF..ebu tufahamishe udikteta wa Kikwete ni upi?
Viongozi madikteta km kikwete dawa yao kuwaangusha,maana tayari wamelaaniwa.
hata wewe ritz una mawazo ya kidikteta, kama kikwete! Wabunge wa ccm wanaona uozo wa serikali ya JK, lakini wewe huoni. JK anaujua umakini wa Chadema, na mkakati wake ni kubaka hoja za Chadema, na kuzifanya za ccm bado huoni tu!
Wewe nenda kwa mama muuza ukazimue migongo uliyokunywa Jana thread inaeleweka kabisa unaleta migamba hapa
Mkuu nimejaribu kusoma hii thread yako zaidi ya mara kumi lakini nimetoka kapa sijaona hiyo siri.
Viongozi madikteta km kikwete dawa yao kuwaangusha,maana tayari wamelaaniwa.
Santesandy,
Hivi Rais Kikwete asingempa CAG meno wewe ungeyajua haya JK ndio alikuwa wa kwanza kuipitia hiyo ripoti kabla ya bunge, karuhusu hiyo ripoti ijadiliwe na sasa hivi Rais anaifanyia kazi anavunja baraza la mawaziri kuna dikteta uwa anakuwa hivi?
Viongozi madikteta km kikwete dawa yao kuwaangusha,maana tayari wamelaaniwa.
wewe umelogwa? ama ndio yule mpiga pasi wa rais, unatetea ulaji wako, eeh?Mie mbona naenda kwenye thread zote tu wewe nitafute utanipata au takuwa naku-tag
Mkuu nimejaribu kusoma hii thread yako zaidi ya mara kumi lakini nimetoka kapa sijaona hiyo siri.