Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,986
- 2,373
Sibishani na mtu asiyejua maana ya heading. Heading ndiyo inamaliza yale yoote yanayofuata baada yake. Na heading ya hii thread imeshasema kwamba huo ni uwongo. Wewe unataka kulazimisha nini sasa.
tunakoelekea magazeti yataachwa kusomwa,siku hizi wanaandika habari za umbea umbea tu..
Kauli kama hii ilishawahi kusemwa na JK "...simfahamu na wala sijawahi kumuona mmiliki wa DOWANS" wakati DOWANS ndo kaiangusha serikali yake nzma na cha ajabu aliye mahakamani kuishtaki serikali yake juu ya mkataba wa DOWANS ni yulyule aliyemuweka madarakani kwa hela za KAGODA - Rostam".tatizo lililopo ni kwamba,waandishi wanalazimisha swala hili lionekane ni lakweli,tangu awali Mh Zitto alishalisemea hili kuwa hajawahi onana na saanane na hata wakipishana barabarani watapishana,kwanini tunalazimisha mtu kumfahamu fukani?
watanzania tuache kuunganisha dots,tuache kulazimisha mambo,Zitto sio mjinga,anachokisema anamaanisha na tusilazimishe
Duh! nyinyi watu kwa spinning!
btw naona baada ya zoezi la kumchonganisha Zitto na viongozi wengine kushindwa mnataka kuanzisha Lissu na viongozi wake lakini hili ndio hamtafanikiwa kabisaaaa!!
hilo ni tatizo la mods kuruhusu upuuzi kukaa humu jamvini. Habari kama ile ilikuwa inaonekana wazi kuwa ni ya kipuuzi na kichonganishi na wanaoweka wanajulikana kwa majina na IDs lakini mambo yanaachwa tu yaende.Mtanzania hiyo habari wameitoa humu kwenye JF Mbona jf bado Maarufu?
Kwani Ludovick ni kiongozi wa CHADEMA?.Ludovick Joseph Rwezaura
Bibie mwisho wako utakuwa si mzuri.Haya mambo si ya kupuuzwa
Na wewe usitumie thread hii kuchochea fitina zako.Waache wenyewe wajenge chama chao.