Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

Asante Mkuu.

Naomba kama unaamini uliyoyasema humu usiishie hapo.Kuna haja ya kulitaka Gazeti la Mtanzania kukanusha habari hizi kwenye Ukurasa ule ule waliotumia kuandika.Uzushi wa namna hii kwenye jamii iliyojaa matatizo, watu wasiofikiri sawa tayari wamehitimisha na kuamini kilichoandikwa ndiyo ukweli wenyewe.Lakini haitoshi hata wale wanaozusha uongo huu kwa sasa wanatumia Gazeti hilo kama ndiyo ukweli wenyewe.

Naomba sana kwa faida ya ukweli na kuitendea Chama chako haki chukua hatua.

Watu wa mwanzo kabisa kushughulika nao ni hawa hapa: Charles Mulinda ambaye ni mhariri wa Mtanzania Jumatano. Haeleweki. Wa pili ni Ester Mbusi aliyeandika habari hiyo, kama hakupewa by line na Mulinda, na wa tatu ni William Shao ambaye ni mwandishi na mtunzaji wa website ya Mtanzania aliyeposti habari hiyo mtandaoni. Anzeni na hao watatu.
 
Kimtokacho mtu ndicho kilichomjaa kifuani pake, kama unavuta bangi we vuta utaona madhara yake. Mimi nime express my deep heart felt feelings kama wewe unaona ni bangi, basi bangi yaweza kuwa ni maneno mazuri na msimamo tabiti wa Zito Zuberi Kabwe (Mb) Kigoma kaskazini na sio bangi kama unavyovuta wewe.
kuwa na adabu. huwezi kum adress kiongozi kwa maneno yanayotokana na bangi unazovuta. achana na uvutaji bangi
 
Huyu ndiye Mheshimiwa wangu niliyemjua na kuvutiwa na siasa zake. Big up mh. Zitto Zuber Kabwe Mungu akubariki na azidi kukutia nguvu katika kutukomboa wanyonge, Utafika mbali. You have my YES vote
 
Watu wa mwanzo kabisa kushughulika nao ni hawa hapa: Charles Mulinda ambaye ni mhariri wa Mtanzania Jumatano. Haeleweki. Wa pili ni Ester Mbusi aliyeandika habari hiyo, kama hakupewa by line na Mulinda, na wa tatu ni William Shao ambaye ni mwandishi na mtunzaji wa website ya Mtanzania aliyeposti habari hiyo mtandaoni. Anzeni na hao watatu.
Habari hiyo imeanzia humu jamii forum kaka wewe si mgeni jukwaa la siasa utakuwa umeshapitia hivi karibuni!
 
Hakuna sheria ya kuwafikisha mahakamani hawa waandishi uchwara? Kwa habari kama hizi waandishi wa habari wanaendelea kujiweka hatarini kutokana na habari zao zinazochanganisha watu. Hapa naona kama wanabahati sana kwani Zitto angekuwa mtesaji wa kung'oa meno na kucha, wangeipata habari yao!!!!..

Nampongeza Zitto kwa ujasiri wa kukanusha hili ila nashauri kama anaweza kuwachukulia hatua za kisheria afanye hivyo. Gazeti la Mwanahalisi lilifungiwa kutokana na sababu za "uchonganishi", sasa wao Mtanzania wanapatanisha au wanachonganisha?? Na kwa nini na wao wasichukuliwe hatua kwa kosa la uchonganishi???
 
Kamanda umepanic,ila nshakusoma wewe nani mbona unapanic hiv.utajitaja muda si mrefu shauri yako.
Tangu Mbatia akurudishe umevimba kichwa kama nini acha ujinga wewe apanic nani teja wa Zitto wewe umekuwa reduced to zero unakuja hapa kujifanya unajua kujibu , au ni posti kilio chako hapa eti mama wewe mimi nitakuwa mgeni wa nani nirudishe simama mwenyewe kijana acha kutumika Zitto janga la siasa za mabadiriko
 
Ahsante sana kiongozi kwa kuwavua nguo waandishi wa vijarida uchwara, wanasiasa njaa wanajaribu kuwatumia waandishi kanjanja kama walivyofanya 2005, kwa sasa hawatafanikiwa, peoplessssss!!!!!
 
Hakuna sheria ya kuwafikisha mahakamani hawa waandishi uchwara? Kwa habari kama hizi waandishi wa habari wanaendelea kujiweka hatarini kutokana na habari zao zinazochanganisha watu. Hapa naona kama wanabahati sana kwani Zitto angekuwa mtesaji wa kung'oa meno na kucha, wangeipata habari yao!!!!..

Nampongeza Zitto kwa ujasiri wa kukanusha hili ila nashauri kama anaweza kuwachukulia hatua za kisheria afanye hivyo. Gazeti la Mwanahalisi lilifungiwa kutokana na sababu za "uchonganishi", sasa wao Mtanzania wanapatanisha au wanachonganisha?? Na kwa nini na wao wasichukuliwe hatua kwa kosa la uchonganishi???
Kakanusha au anajiserve na aibu aitishe press conference tumuone na unafiki wake ,gazeti limemchana chana, yeye kaja hapa kaposti uzi wenye mbwembwe kujifanya ni aidi ya viongozi wa chadema hana kitu huyo mission failed aibu aibu aibu rafiki Kipenzi chake kimemsababishia kuanikwa mbele ya jamii,swali hili ataulizwa milele, kila anakokwenda swali litakuwa unadhani kwanini Dr Slaa anataka kukuua majibu anayajua yeye ,labda atawaambia mimi ni kigagula nitamaliza na mapanya yote
 
Heshima ya Upande mmoja! Hapa Zitto utapongezwa kwakuwa tu 'umem-save' 'nabii' SLAA. Hawa hawa ndio wanaokuporomoshea matusi kila siku! Lengo lao wakutumie tu kama 'kile kifaa' kisha waku-dump! Sijui kama hulijui hili!

na nyie ndo wale wana ccm mnaompampu kama pampu ili mradi tu akivuluge chama chake! huku hata akipitishwa kama mgombea ,rais hao hao ccm ndo mtaanza kumchafua tena na sizan hata kama kura mtampa,,hongera kaka zito achana na hawa wanga
 
Kimtokacho mtu ndicho kilichomjaa kifuani pake, kama unavuta bangi we vuta utaona madhara yake. Mimi nime express my deep heart felt feelings kama wewe unaona ni bangi, basi bangi yaweza kuwa ni maneno mazuri na msimamo tabiti wa Zito Zuberi Kabwe (Mb) Kigoma kaskazini na sio bangi kama unavyovuta wewe.

kumuita dogo....nk.... sidhani kama kichwani kwako pamekaa vizuri
 
Siku zote Zitto anatabia ya kinyonga: Zitto ni muongo, mzandiki, mpashikuna asiye soni. Najua kwa Mbowe na Dr. Slaa wanamfahamu Zitto vilivyo hawezi kuwadanganya kwa kanusho hili.
 
Huyu ndiye Mheshimiwa wangu niliyemjua na kuvutiwa na siasa zake. Big up mh. Zitto Zuber Kabwe Mungu akubariki na azidi kukutia nguvu katika kutukomboa wanyonge, Utafika mbali. You have my YES vote

umependa manake kamtetea mumeo mama yangu si ndio? Unganeni na kamanda wenu kivitendo si kiunafiki na chuki mtafiki mbali.
 
Huyu ndiye Mheshimiwa wangu niliyemjua na kuvutiwa na siasa zake. Big up mh. Zitto Zuber Kabwe Mungu akubariki na azidi kukutia nguvu katika kutukomboa wanyonge, Utafika mbali. You have my YES vote

Kuna jamaa alifukuzwa na BAVICHA amesema uliwahi kumtisha Zitto kwa sms...ni ya kweli haya? But wameshamfutilia mbali na sredi yake!
 
hahahaaaa, wapi papaa Bensaanane na mamaa Josephine ? majuzi mlikuwa biiize kumsemgenya kamanda wa ukweli akiwa mafunzoni JKT. Haya sasa kiboko yenu amerudi kama mna ubavu jitokezeni hahahaa
 
Last edited by a moderator:
Siku zote Zitto anatabia ya kinyonga: Zitto ni muongo, mzandiki, mpashikuna asiye soni. Najua kwa Mbowe na Dr. Slaa wanamfahamu Zitto vilivyo hawezi kuwadanganya kwa kanusho hili.

Kati ya hizo sifa ya kwako ni ipi....???
Acha maneno ya Mzee Yusufu.
 
Btw, wengi mliochangia huu uzi sijui kama mmemsoma Zitto kinagaubag na kuelewa anachomaanisha
 
Tatu, nawashauri watu ambao wamehama CHADEMA na kuhamia vyama vingine watumie muda wao kujenga vyama vyao badala ya kila siku kuzungumzia masuala ya chama ambacho wao sio wanachama tena. Kama mtu kaamua kuhama CHADEMA anapoteza haki ya kujadili masuala ya CHADEMA maana kama angekuwa anapenda kuyajadili asingehama. Naonya mtu yeyote ambaye anatumia jina langu ili kufanikisha malengo yake ya kisiasa. CHADEMA sio pango la watesaji wala wauaji. Kama kuna mwanachama wa chama kingine cha siasa anayedhani kuna mtu ndani ya CHADEMA anapanga mipango ovu aende kwenye vyombo vya sheria kumshtaki. Matendo ya mtu mmoja yasifanyiwe propaganda kama ni malengo ya taasisi.

Much respect Mkuu ZZK...I can read u btw the lines, Tunajua kuwa kazi iliyombele yetu ni ngumu sana kutokana na ukweli kuwa MNC's zinazokwapua rasilimali zetu kwa niaba ya serikali zao wamejipanga na wanahakikisha kuwa CCM inaendelea kuwa madarakani kwa gharama yoyote ile. wametenga mabilioni ya dolla kwaajili ya kuchakachua chaguzi na kununua baadhi ya wanasiasa wenye njaa. Haishangazi kusikia kuwa kuna baadhi ya wanachama wa CDM kusikia kuwa wamenunuliwa na wako mstari wa mbele kuihujumu CDM hususan baada ya kugundulika kwa hazina kubwa ya gesi na mafuta! Thanks Allah kuwa nyakati hizi yeyote atakaegeuka nyuma haraka sana tutagundua si mwenzetu tena ... Amandaaaaaa....
 
Back
Top Bottom