Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO


Unaisikiliza kumbe? Haa haa mnaipiga vita afu ndo mnaisikiliza zaidi...
 

Kama una nia nzuri na chama...tumia muda wako kujenga chama na kuhimiza umoja...
Huwezi kujenga chama kwa kubagua au kuwabagua viongozi wa chama....
"Sio vyema kwa wanandoa kuonyesha tofauti zao kwa watu wa nje" this applies also to a party!
 
...kuna watu wameanza kupanic hapa, ata baada ya miezi kadhaa ya thread nyingi za kumchafua Zitto wanashangaa kuona uchafu wao wote huo unapukutishwa kwa thread ya maneno machache tu, ndio siasa mkuu, kua uyaone...


...Kwenye picha, wa kwanza kushoto ni Chege wa Wanaume TMK, unless unataka utuambie na Chege sikuhizi ni mwanasiasa, kwa kuwa Zitto ni muhimu kwa Chadema kuliko nyie, ni rahisi kwa Chadema kukubali kumkana na kumpoteza Ben and Co kuliko kumpoteza Zitto, so tafuteni tu nafasi ya kufanya mazungumzo ya amani na Zitto, atawasamehe tu bila shaka, otherwise mwisho wa siasa wa hawa vijana wafitini unaenda kuisha ata kabla hawajauanza...
 
Asante Kamanda Zitto Kwa majibu yako

Hata akipanda mlima KIlimanjaro kukanusha lakini paint ya usaliti na masalia imemjaa usoni hana nyimbo huyo ni spinner katuma watu gazeti limemuweka pabaya mno akathibitishe mahakamani sumu alitotaka kupewa mission yake inajulikana anamchafua Dr Slaa akifanikiwa hata kwa nchi moja kwake mgao na mama yake umeshafika
 
Wenye moyo ya kunguru ni wachache sana kama wakina Chris Lukosi, zemarcopolo,majebere wanasikia aibu lakini wamo

Kwenye post kama hizi huwezi kuwaona watu kama Mwampamba, Shonza na Mwigulu. Hawazipendi kabisa kwa sababu zinawakosesha posho za Lumumba
 
Last edited by a moderator:
penye ukweli uongo hujitenga,Big up sana zito kwa kuwaumbua hawa wajinga CCM ni mipango yao ya kuharibu mshikamano wa chama chetu.
 
Mkuu siyo waongo tu wako zaidi ya hapo,

Kama kauli hii ya Mh.Zitto na Ben Saanane zinavyotofautiana na kushutumiana, bali pia wanafanya siasa za kuviziana. Mmoja akisinzia anatandikwa kofi la kisiasa. Na hapo harakati za uchaguzi wa viongozi wa chama hazijapamba moto.

Hii statement inaonyesha kuwa CHADEMA kimeondoka nje ya misingi ya uanzishwaji na uendeshaji wake.

Wananchi hawawezi kutoa dola kwa chama chenye mifarakano. Tusiruhusu kugawanywa kwa matakwa ya watu wachache. Tusimamie misingi ya kuanzishwa chama chetu.

 
asante zitto kwa kufunguka! hope kesho habari kwenye magazeti zitakua nzuri
 
Kwa mara ya kwanza nakubaliana na wewe uzi wenyewe kaumwaga hapa na matusi kibao ndani yake enclosed unatakiwa kusoma between the line
Mkuu wangu Lwesye,
Ili jamii ikamilike, ni laima pawepo kutofautiana na kukubaliana na hakika hiyo ndiyo faraja ya yeyote mpenda maendeleo.....ikiwa kila siku tutatofautiana au kukubaliana kwa kila kitu basi itakuwa tunawakilisha jamii iliyojaa unafiki....Mimi/wewe na yeyote katu hatuwezi kutofautiana na kukubaliana kwa kila kitu, jambo la msingi ni nidhamu ya kutofautiana ama ile inayosemwa kuwa tayari kukubaliana kutofautiana. Twende mbele mkuu wangu...
 
Last edited by a moderator:

Ameweka press release kwenye blog yake na facebook na twitter for information. Media are free to publish or ignore it. Yeye anasema pale anapoweza kusema. Huko mtanzania hana mamlaka napo.
 
Mhe. Zitto tunaomba uwapeleke mahakamani hao wazushi wakaeleze vizuri huko huo uzushi wao
 
Ningekuwa mwanachadema Mimi ningekula sahani moja na Zitto ningekutana naye ama zingekuwa zake ama zangu ,huyu kijana hafai kwa unafiki wake na kujikweza na kujifanya anaweza kuvuruga chama ambacho wengine ndio tunaona wanaweza kunusulu wizi wa rasimali za nchi zetu ,ningeshauri hao wenziwe kwenye chama wamuanike kwa hila zake wakiweza wakate kipande cha gazeti wabandike juu ya uso wake azunguke nacho nchi nzima aone kama chadema itakufa kwa sababu ni mfitini I am proud kwa sababu ya kuwa kwenye mageuzi yasiyo na chama lakini nashabikia chadema
 
Kwanza gazeti hujalielewa vizuri. Pili, sijaona bado mtu mwenye ubavu ndani na nje ya CHADEMA wa kumpeleka Mh. Zitto mahakamani zaidi ya kupiga kelele hapa JF kwa IDs ambazo siyo VERIFIED.

Waki THUBUTU, huo ndiyo utakuwa mwisho wako wa kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…