NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,898
ndio maana t-shirt yake imeandikwa ubwege -----.Huyo wa kushoto si ndo mwanachama wa ule mtandao wa 0657?
ndio maana t-shirt yake imeandikwa ubwege -----.Huyo wa kushoto si ndo mwanachama wa ule mtandao wa 0657?
vidole viwili nani alikwambia ni alama ya chadema, tafuta wanaharakati wote utaona hiyo alama, kama sio hiyo utaona wamekunja ngumi...wakati mwingine vidole viwili vinamaanisha amani 'peace'
Mwanamke mmoja na wanaume wawili.Hawa akinadada ni wa wapi?
Asante mkuu wale wa jicho la ng'ombe...ndio maana kumbe wanabwata sana shauri ya ile kitu inawaathiri...Huyo wa kushoto si ndo mwanachama wa ule mtandao wa 0657?
Mtu yoyote anaweza kutumia, hiyo inamaanisha peace ipo kabla ya chadema kuundwa.Kwa Tanzania hizo alama ulizozitaja zinatumiwa na nani?