Nimezisikia hizi habari zikishabikiwa na kiredio fulani kama sikosei ni clouds fm wameishabikia hii mada utadhani siyo professionals, as if ni wamama fulani wamekaa kibarazani wanajadiri umbea. Clouds FM inajipotezea sana status yake kushupalia uzushi tena kwa upendeleo, uzushi unaokichafua CCM wanakuwa kimya ila uzushi wa kuichafua CHADEMA utamsikia Geladi Hando, Kibonde na watu wa level hiyo jinsi wanavyo ishupalia kimbea,
Namshukuru Mungu kwa kuniepusha na aibu ya kutumika na wanasiasa.
paragraph ya kwanza inaleta shaka kama ISO majungu na majigambo,hakika kuna kareflection ka hulka ya jeykey na ZZK(zana za kilimo)))
Mkuu angalia, naona umetikisha mzinga wa nyuki wa matusi
Hawa jamaa wameisha kuwa proved failures tayari.
Chama gani kinachohubiri demokrasia lakini mwenyekiti na makamanda wa JF wanampigia debe mtu mmoja
Au mmesahau zile kura zilizokuwa zinapigwa hapa kati Ya hao wawili?
Chadema ni chama ambacho hakifuati demokrasia na inawezekana hata mleta mada moyoni akawa na yake lakini imemlazimu aandike haya ili kumaliza mjadala.
Sio vizuri kujadili uhai wa mtu au kumzushia mtu kesi kubwa na mbaya kama ya mauaji, lakini tukiacha hayo ya hiyo kesi ambayo sie wengine hayatuhusu, kuna suala la hawa makamanda wa keyboard wasioweza hata kumaliza mafunzo ya wiki tatu tu jkt , Kwa sie tulio hapa JF muda mrefu tunakumbuka matusi aliyokuwa akiporomoshewa humu Mheshimiwa.
Na sio siri kwamba hapa ukitaka utukanwe matusi ambayo yanaweza kukufanya ufikirie kutwanga mtu na nyundo utosini wewe andika tu Zito anafaa kuwa mgombea urais.....
Clouds kwani kuna mwanaume pale wewe.Wale wote si ni Wapaka kucha Rangi?Yani kwa mwanaume mwenye akili timamu kushabikia magamba,lazima umuangalie mara mbilimbili.Yani hii redio siku hizi sisikilizagi kabisa.Kwanza it seems they dont know which big group of the community they are representing and they dont link that with that big populations's perception.Kama unajua msimamo wa vijana currently ambao ndio wengi ,na ndio your biggest fun, then ukafanya against their wishes ujue watakudis ,utajikuta alone.ndo hao majamaa.Sasa hivi mtu yeyote ukimuuliza Clouds FM atakwambia wababaishaji,waganga njaa,hamna lolote.
Wewe ndio Ben nini umekuja na ID hiyo uliyoambiwa uje nayo? Bado you need to prove your allegations kwa sababu mwingine anaweza kuja na kusema mwongo ni Ben!
Bottomline: Viongozi wa CHADEMA ni waongo?
Kweli mission accomplished Kiongozi mmoja wapo muongo huyu hapa anasema hajawatuma wapeleke habari Mtanzania anafanya nini na mtindi wa huyu dada hapo pembeni
Asante Zitto kamwe tusimpe
nafasi mtu atugawe. Tunaelekea wakati mujimu sana katika historia ya
Taifa letu, nao ni ukombozi wa nchi yetu kwa nguvu ya umma. 2015
Yes.
mmeona mafunzo ya jkt yalivyo na manufaa?
Kijana fresh from jkt huyo...
Mkuu angalia, naona umetikisha mzinga wa nyuki wa matusi
Hawa jamaa wameisha kuwa proved failures tayari.
Chama gani kinachohubiri demokrasia lakini mwenyekiti na makamanda wa JF wanampigia debe mtu mmoja
Au mmesahau zile kura zilizokuwa zinapigwa hapa kati Ya hao wawili?
Chadema ni chama ambacho hakifuati demokrasia na inawezekana hata mleta mada moyoni akawa na yake lakini imemlazimu aandike haya ili kumaliza mjadala.
Sio vizuri kujadili uhai wa mtu au kumzushia mtu kesi kubwa na mbaya kama ya mauaji, lakini tukiacha hayo ya hiyo kesi ambayo sie wengine hayatuhusu, kuna suala la hawa makamanda wa keyboard wasioweza hata kumaliza mafunzo ya wiki tatu tu jkt , Kwa sie tulio hapa JF muda mrefu tunakumbuka matusi aliyokuwa akiporomoshewa humu Mheshimiwa.
Na sio siri kwamba hapa ukitaka utukanwe matusi ambayo yanaweza kukufanya ufikirie kutwanga mtu na nyundo utosini wewe andika tu Zito anafaa kuwa mgombea urais.....
kwa hiyo unakubali kuwa jamaa alitaka kumwua Zitto,maana unalazimisha kuwa wanafahamiana na kumbuka zitto alisema haya kitambo sana kuwa yawezekana kwa sura hawajawahi onana,ukiacha mawasiliano ya kupigiana simuKauli kama hii ilishawahi kusemwa na JK "...simfahamu na wala sijawahi kumuona mmiliki wa DOWANS" wakati DOWANS ndo kaiangusha serikali yake nzma na cha ajabu aliye mahakamani kuishtaki serikali yake juu ya mkataba wa DOWANS ni yulyule aliyemuweka madarakani kwa hela za KAGODA - Rostam".
Hata kama ni kweli Rais alitaka kutuaminisha kuwa hajui kama DOWANS ni mali ya Rostam lakini kitendo cha kuiangusha serikali yake kilitosha kumpa interest ya kumtafuta na kumjua.
Leo Zitto anatuambia hanjui Ben Saanane. Hata kama kweli alikuwa hamjui mwanzoni, lakini kitendo cha Ben kuangusha serikali yake ya masalia ingempa interest ya kuonana na Ben na kumfahamu. Ikumbukwe kuwa Zitto hawezi kuwakimbia masalia akina Shonza na Stella Mwampamba. Zitto hajawahi kuwakana kiuwazi masalia wenzake wote. amekuwa akisema kwa kumeza maneno tu. angalia thread yake ya kuomba radhi mwishoni mwa mwaka jana hayupo specific, anaomba radhi kiujumlajumla tu. Leo pia anasema WALIOHAMA sio WALIOFUKUZWA kama akina Shonza na Mtella. Kwa nini anaongea kiujanjaujanja, Ataje majina ya anaotaka waache kuizungumzia CDM, mbona wao wako wazi sana? wanamtaja mbaya wao Dr Slaa waziwazi, wanamtaja Mbowe waziwazi. (HAWAJAWAHI KUMTAJA ZITTO KWA UBAYA - Hili linathibitisha alichokisema Ben kuwa Zitto ndo alikuwa prezo wao). Zitto come out! ongea kwa kufungua kinywa vizuri na sio kumung'unyamung'unya maneno.
wameliaibisha gazeti lao vibaya sana...bado hawajui tu kuipigia domo ccm ni sawasawa na kumlazimisha bibi kizee akimbie mbio za marathoni na hapo hapo uwe na mategemeo ya kushinda