Siri ya jiji la Mwanza kuendelea bila msaada wa Serikali

wasukuma mwanza siyo eneo lao la kiasili, wao kwao ni shinyanga, wenyeji wa mwanza ni wazinza
Wewe tatizo lako unasumbuliwa na inferiority ya Wazinza ambao uwa wanasema " Nyanza ya Bazinza" wakimaanisha Ziwa Nyanza( Victoria) ni la Wazinza hii ni kutokana na ukweli kuwa Wazinza waliohamia mwanza kwenye visiwa vilivyopo wilayani Sengerema. Hata hivyo Ukweli ni kuwa Historia inaonyesha Mwanza ni ya Wasukuma tangu utawala wa Chief makongoro eneo la Mjini mika ya 1800.
 
Tangu tupate uhuru mwaka 1961 , mikoa ya Tanzania imeendelea kukua hatua kwa hatua. Mkoa wa Dares salaam ulikuwa mkoa wa kwanza kufikia hadhi ya kuwa jiji. Lakini nyuma ya mkoa wa Dar kuna uwekezaji mkubwa ulifanywa na serikali, mfano ujenzi wa wizara mbali mbali, ujenzi wa barabara za lami, ujenzi wa vyuo mbali mbali, ujenzi wa hospital kubwa etc.

Hali ni hiyo hiyo kwa majiji mengine yamekuja kufikia hadhi ya kuwa jiji baada ya sapoti kubwa sana ya serikali, angalia mfano jiji la Arusha imejengewa barabara, mahoteli makubwa, na kumbi mbali mbali za kimataifa na serikali.

Mkoa wa mwanza ulifikia hadhi ya kuwa jiji mwaka 2000 na kutangazwa rasmi kuwa jiji na rais wa awamu ya tatu William Mkapa.
Mpaka Mwanza inafikia hadhi ya kuwa jiji hamna la maana lolote serikali ilikuwa imefanya kuusaidia mkoa, mfano hamna vyuo vikubwa vya serikali, hakuna kumbi za kimataifa za serikali ,pia ni nadra kuona viongozi wa serikali wakifanya ziara na kuhamasisha shughuli za maendeleo mkoa wa mwanza.

Je pamoja na kutengwa kote huku kwa nini mwanza ilikuwa ya pili kuwa jiji na kimaendeleo na kuicha mikoa mingine ambayo imekuwa ikipendelewa tangu enzi za ukoloni??

Siri ni wakazi wake kufanya kazi kwa bidii na pia ni wakarimu sana .
Wageni kutoka nchi zingine na mikoa mingine hupokelewa na kuishi kwa amani kabisa bila kubaguliwa.
Kuna baadhi ya mikoa wenyeji wake ni wachoyo na wabinafsi kiasi kwamba mgeni akifungua biashara wanamfanyia vigisu mpaka afunge biashara yake.
Hali ni tofauti kabisa katika aridhi ya usukumani.
Hongereni sana Wasukuma na Mungu awabariki Sana.
Usisahu kuwa Sukumaland ina rasilimali nyingi sana zenye utajiri mkubwa kv dhahabu, mifugo, zao la pamba ambalo kwa miongo mingi baada ya uhuru lilikuwa nguzo ya uchumi wa nchi lakini pia kuna ziwa Victoria ambalo linazalisha ajira kwa maelfu ya wakazi wa Mwanza na kukuza sana mzunguko wa fedha ktk Jiji. Mwanza ndio kitovu au center ya biashara na huduma zote ktk Lake zone hivyo kufanya mzunguko wa fedha kuwa imara na mkubwa jijini Mwanza kuliko majiji mengi.
 
Mtoa post amejivua uelewa au ukabila umemtawala sana au usukuma (ushamba)unasehemu kubwa ya akili yake. ili kujua kiundani......

Utakapoitaja Moshi moja kwa moja tunajua wachagga, unapoitaja Iringa tunawafikiria wahehe, Mafinga tunawafikiria Wakinga, Dodoma wagogo n.k!...kabila linatambulisha maendeleo ya sehemu husika...Mwanza na Shinyanga lazima uwafikirie wasukuma kwanza ndo maana kuna kamsemo wasukuma wa Shinyanga wavivu na wa Mwanza wanajituma!!...

NB: usukuma sio ushamba!..heshimu kabila za watu
 
Kila siku mnaisakama mwanza mlikuwa wapi kusakama zamani tumechoka sasa tufike hatua tufanye kazi kwa maendeleo ya taifa zima
 
Mwanza inaweza kuwa logistic hub.pia usisahau ni port city..logistics hub kwa maana ya kuunganisha great lakes region kupitia air port,bandari na railway..problem ni vision ya mipango ya economy inapangwa dar kwa mtizamo finyu kwamba mwanza lazima I develop kwa mfano was dar.
 
Wewe tatizo lako unasumbuliwa na inferiority ya Wazinza ambao uwa wanasema " Nyanza ya Bazinza" wakimaanisha Ziwa Nyanza( Victoria) ni la Wazinza hii ni kutokana na ukweli kuwa Wazinza waliohamia mwanza kwenye visiwa vilivyopo wilayani Sengerema. Hata hivyo Ukweli ni kuwa Historia inaonyesha Mwanza ni ya Wasukuma tangu utawala wa Chief makongoro eneo la Mjini mika ya 1800.
Mweleze mburula huyo
 
Mtatoka bovu sana hadi miaka kumi iishe. Na msipokwa makini mwaka 2025 ataingia ngosha tena kwa sababu tuna wapiga kura 1/3 ya watanzania wote.
 
Tangu tupate uhuru mwaka 1961 , mikoa ya Tanzania imeendelea kukua hatua kwa hatua. Mkoa wa Dares salaam ulikuwa mkoa wa kwanza kufikia hadhi ya kuwa jiji. Lakini nyuma ya mkoa wa Dar kuna uwekezaji mkubwa ulifanywa na serikali, mfano ujenzi wa wizara mbali mbali, ujenzi wa barabara za lami, ujenzi wa vyuo mbali mbali, ujenzi wa hospital kubwa etc.

Hali ni hiyo hiyo kwa majiji mengine yamekuja kufikia hadhi ya kuwa jiji baada ya sapoti kubwa sana ya serikali, angalia mfano jiji la Arusha imejengewa barabara, mahoteli makubwa, na kumbi mbali mbali za kimataifa na serikali.

Mkoa wa mwanza ulifikia hadhi ya kuwa jiji mwaka 2000 na kutangazwa rasmi kuwa jiji na rais wa awamu ya tatu William Mkapa.
Mpaka Mwanza inafikia hadhi ya kuwa jiji hamna la maana lolote serikali ilikuwa imefanya kuusaidia mkoa, mfano hamna vyuo vikubwa vya serikali, hakuna kumbi za kimataifa za serikali ,pia ni nadra kuona viongozi wa serikali wakifanya ziara na kuhamasisha shughuli za maendeleo mkoa wa mwanza.

Je pamoja na kutengwa kote huku kwa nini mwanza ilikuwa ya pili kuwa jiji na kimaendeleo na kuicha mikoa mingine ambayo imekuwa ikipendelewa tangu enzi za ukoloni??

Siri ni wakazi wake kufanya kazi kwa bidii na pia ni wakarimu sana .
Wageni kutoka nchi zingine na mikoa mingine hupokelewa na kuishi kwa amani kabisa bila kubaguliwa.
Kuna baadhi ya mikoa wenyeji wake ni wachoyo na wabinafsi kiasi kwamba mgeni akifungua biashara wanamfanyia vigisu mpaka afunge biashara yake.
Hali ni tofauti kabisa katika aridhi ya usukumani.
Hongereni sana Wasukuma na Mungu awabariki Sana.
avatar_banned_l.png
WELL DONE
 
... wasukuma bhana, wanapenda kulazimisha mambo, ndo maana mwanzo walitaka kutuaminisha kuwa na maggu ni msukuma kumbe masikini mzee wa watu hata yeye mwenyewe hajui asili yake ni wapi....
UNAITWA CENTRAL
 
Hongereni ila ni nyie nyie ndie mliyetuletea bashite
 
Ubashite mwingine wa mtoa post ni kushindwa kutofautisha kati ya maendeleo ya eneo na maendeleo ya wazawa wa eneo husika, mfano; unasema Mwanza imeendelea na kuwapongeza wasukuma, je ni miradi gani mikubwa au biashara gani kubwa inayomilikiwa na wasukuma? zaidi sana wasukuma wengi wa waliopo mwanza mjini ni vibarua kwenye miradi ya wachagga, au ni walinzi kwenye mageti ya wahaya capripoint, na wengi wanaishi maeneo duni kama mabatini igogo bugarika nk, kila siku wanauza maeneo ya pembezoni kwa wageni wao wanazidi kusogea mbali na mji, wenye umri kuanzia 50+ ndo wakoma na ombaomba waliojazana soko kuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom