Siri ya jiji la Mwanza kuendelea bila msaada wa Serikali

Ubashite mwingine wa mtoa post ni kushindwa kutofautisha kati ya maendeleo ya eneo na maendeleo ya wazawa wa eneo husika, mfano; unasema Mwanza imeendelea na kuwapongeza wasukuma, je ni miradi gani mikubwa au biashara gani kubwa inayomilikiwa na wasukuma? zaidi sana wasukuma wengi wa waliopo mwanza mjini ni vibarua kwenye miradi ya wachagga, au ni walinzi kwenye mageti ya wahaya capripoint, na wengi wanaishi maeneo duni kama mabatini igogo bugarika nk, kila siku wanauza maeneo ya pembezoni kwa wageni wao wanazidi kusogea mbali na mji, wenye umri kuanzia 50+ ndo wakoma na ombaomba waliojazana soko kuu.
Hao wachaga na wahaya mbona kwao ni manispaa tu mpaka leo
 
Ndo maana mnaambiwa muache UBASHITE kuna vigezo vinavyotumika kuunda jiji, kwa mfano siyo kwamba mkoa wote wa mwanza ni jiji, eneo la jiji limeundwa na halmashauri mbili tu za Ilemela na Nyamagana ila mkoa wa mwanza ni zaidi ya hizo wilaya mbili, ukienda Misungwi ni mkoa wa mwanza lakini kuna nyumba za tembe, na kuna maisha duni sana huwezi kuamini kama ni mwanza na hapo ki kama km 40 kutoka mwanza mjini.....
 
Hao wenye miguu ya mirefu kama sipido hivyo vigezo vya kuwa jiji kwa nini hawana??
 
Ila ni kweli, miradi mikubwa ambayo ingesaidia kunadili taswira ya mwanza kibiashara ni uwanja wa ndege wa mwanza, ujenzi wa ukumbi wa mikutano, ujenzi wa chuo cha umma (university) angalau moja, pamoja na upanuzi wa barabara ya musoma, barabara ya shinyanga mpaka maeneo ya buhongwa,
 
Mtoa post amejivua uelewa au ukabila umemtawala sana au usukuma (ushamba)unasehemu kubwa ya akili yake. Kwanza hajajua kuwa vigezo vya kuupa mkoa hadhi ya jiji siyo kumbi za mikutano au vyuo vikuu, watu wa wenye uelewa wa aina yako ndo wanaotuchagulia viongozi wabovu kwa kukaririshwa kauli mbiu tu. Wao wakiisha kariri neno (kauli mbiu)basi wamemaliza akili zao zumedumaa hapohapo hazijishughulishi na vyanzo vya taarifa ili kujua kiundani,..... mfano kama kigezo vingekuwa vyou basi Iringa lingekuwa jiji kabla ya Arusha...
Unapenda sana kushambulia watu badala ya kulinda hoja yako!? Hata ukiulizwa maana ya ushamba in its entirety unaweza usijibu. Physical and economic infrastucture ni moja ya vigezo, vigezo ni vingi ila kuna vya muhimu zaidi kama idadi ya watu!!
 
Ubashite mwingine wa mtoa post ni kushindwa kutofautisha kati ya maendeleo ya eneo na maendeleo ya wazawa wa eneo husika, mfano; unasema Mwanza imeendelea na kuwapongeza wasukuma, je ni miradi gani mikubwa au biashara gani kubwa inayomilikiwa na wasukuma? zaidi sana wasukuma wengi wa waliopo mwanza mjini ni vibarua kwenye miradi ya wachagga, au ni walinzi kwenye mageti ya wahaya capripoint, na wengi wanaishi maeneo duni kama mabatini igogo bugarika nk, kila siku wanauza maeneo ya pembezoni kwa wageni wao wanazidi kusogea mbali na mji, wenye umri kuanzia 50+ ndo wakoma na ombaomba waliojazana soko kuu.
Msiwaseme Wasukuma. Sehemu ikishakuwa na maendeleo yanafanya wazawa wanaondolewa na nguvu ya pesa. Mfano mzuri maeneo ya nyegezi,malimbe, swea na luchelele baada ya chuo cha Saut kufika gharama za maisha zimekuwa kubwa sana, kiasi kwamba kwa MTU ambae alishazoea maisha ya kijijini inabidi aamie, sehemu ambayo ni raisi kuishi na sio kwamba ni ushamba au vip?
Maeneo mengi kama Dar es salaam, Dodoma, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, Morogoro, Iringa kote uko wazaliwa wa sehemu husika wameondolewa na Miradi iyo na sio swala la ushamba. Gharama za maisha ndio zinazowakimbiza wazawa
 
Ubashite mwingine wa mtoa post ni kushindwa kutofautisha kati ya maendeleo ya eneo na maendeleo ya wazawa wa eneo husika, mfano; unasema Mwanza imeendelea na kuwapongeza wasukuma, je ni miradi gani mikubwa au biashara gani kubwa inayomilikiwa na wasukuma? zaidi sana wasukuma wengi wa waliopo mwanza mjini ni vibarua kwenye miradi ya wachagga, au ni walinzi kwenye mageti ya wahaya capripoint, na wengi wanaishi maeneo duni kama mabatini igogo bugarika nk, kila siku wanauza maeneo ya pembezoni kwa wageni wao wanazidi kusogea mbali na mji, wenye umri kuanzia 50+ ndo wakoma na ombaomba waliojazana soko kuu.
mbona biashara nyingi na uwekezaji mkubwa wa jiji la mwanza umeshikwa na wahindi na watu wa asia huko hebu nitajie mchagga mwenye kiwanda hapo mwanza wengi wana maduka tu ya kawaida kama walivyo wasukuma kutoka shinyanga na simiyu kwa mwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom