Siri ya jiji la Mwanza kuendelea bila msaada wa Serikali

Tangu tupate uhuru mwaka 1961 , mikoa ya Tanzania imeendelea kukua hatua kwa hatua. Mkoa wa Dares salaam ulikuwa mkoa wa kwanza kufikia hadhi ya kuwa jiji. Lakini nyuma ya mkoa wa Dar kuna uwekezaji mkubwa ulifanywa na serikali, mfano ujenzi wa wizara mbali mbali, ujenzi wa barabara za lami, ujenzi wa vyuo mbali mbali, ujenzi wa hospital kubwa etc.

Hali ni hiyo hiyo kwa majiji mengine yamekuja kufikia hadhi ya kuwa jiji baada ya sapoti kubwa sana ya serikali, angalia mfano jiji la Arusha imejengewa barabara, mahoteli makubwa, na kumbi mbali mbali za kimataifa na serikali.

Mkoa wa mwanza ulifikia hadhi ya kuwa jiji mwaka 2000 na kutangazwa rasmi kuwa jiji na rais wa awamu ya tatu William Mkapa.
Mpaka Mwanza inafikia hadhi ya kuwa jiji hamna la maana lolote serikali ilikuwa imefanya kuusaidia mkoa, mfano hamna vyuo vikubwa vya serikali, hakuna kumbi za kimataifa za serikali ,pia ni nadra kuona viongozi wa serikali wakifanya ziara na kuhamasisha shughuli za maendeleo mkoa wa mwanza.

Je pamoja na kutengwa kote huku kwa nini mwanza ilikuwa ya pili kuwa jiji na kimaendeleo na kuicha mikoa mingine ambayo imekuwa ikipendelewa tangu enzi za ukoloni??

Siri ni wakazi wake kufanya kazi kwa bidii na pia ni wakarimu sana .
Wageni kutoka nchi zingine na mikoa mingine hupokelewa na kuishi kwa amani kabisa bila kubaguliwa.
Kuna baadhi ya mikoa wenyeji wake ni wachoyo na wabinafsi kiasi kwamba mgeni akifungua biashara wanamfanyia vigisu mpaka afunge biashara yake.
Hali ni tofauti kabisa katika aridhi ya usukumani.
Hongereni sana Wasukuma na Mungu awabariki Sana.
Ni factors gani zinatumika kutangaza mji kuwa Jiji?
 
Mtoa post amejivua uelewa au ukabila umemtawala sana au usukuma (ushamba)unasehemu kubwa ya akili yake. Kwanza hajajua kuwa vigezo vya kuupa mkoa hadhi ya jiji siyo kumbi za mikutano au vyuo vikuu, watu wa wenye uelewa wa aina yako ndo wanaotuchagulia viongozi wabovu kwa kukaririshwa kauli mbiu tu. Wao wakiisha kariri neno (kauli mbiu)basi wamemaliza akili zao zumedumaa hapohapo hazijishughulishi na vyanzo vya taarifa ili kujua kiundani,..... mfano kama kigezo vingekuwa vyou basi Iringa lingekuwa jiji kabla ya Arusha...
 
nipimwe nini?
Kapimwe akili hao unaosema wenyeji wa mwanza lbd kama ilikuwa sehem ya Uganda au Rwanda hapo ntakuelewa lkn hako kakabila kadogo kakina tizeba asili yake wavuvi ,lkn pia walikuja kama manamba walikuwa wakitafuta vibarua vya kulima ,kichunga ng'omba na kazi zingine za kibarua wanakaeneo kadogo huko maeneo ya sengerema ndani huko kuelekea diwani mpaka kijiji kimoja kinaitwa itabagumba na baadhi ya visiwa ndilo makazi yao yaliko ss sjui umetumia kigezo gani kusema mwanza ni eneo la wanziza ki asili.
 
... wasukuma bhana, wanapenda kulazimisha mambo, ndo maana mwanzo walitaka kutuaminisha kuwa na maggu ni msukuma kumbe masikini mzee wa watu hata yeye mwenyewe hajui asili yake ni wapi....
 
Shauli yako mm simo utayamaliza mwenyewe,tatizo la wasukuma humuamini mtu kwa muda mfupi sana matokeo yake ndo hivyo na ni kati ya kabila linaloonewa sana.
 
Mtoa post amejivua uelewa au ukabila umemtawala sana au usukuma (ushamba)unasehemu kubwa ya akili yake. Kwanza hajajua kuwa vigezo vya kuupa mkoa hadhi ya jiji siyo kumbi za mikutano au vyuo vikuu, watu wa wenye uelewa wa aina yako ndo wanaotuchagulia viongozi wabovu kwa kukaririshwa kauli mbiu tu. Wao wakiisha kariri neno (kauli mbiu)basi wamemaliza akili zao zumedumaa hapohapo hazijishughulishi na vyanzo vya taarifa ili kujua kiundani,..... mfano kama kigezo vingekuwa vyou basi Iringa lingekuwa jiji kabla ya Arusha...
1. Katibu mkuu wa chadema ni msukuma.

2. Wewe utakuwa unatokea kule wenye miguu ya vigimbi na mirefu kama spido ,ndio Una wivu wa kike
 
Mtoa post amejivua uelewa au ukabila umemtawala sana au usukuma (ushamba)unasehemu kubwa ya akili yake. Kwanza hajajua kuwa vigezo vya kuupa mkoa hadhi ya jiji siyo kumbi za mikutano au vyuo vikuu, watu wa wenye uelewa wa aina yako ndo wanaotuchagulia viongozi wabovu kwa kukaririshwa kauli mbiu tu. Wao wakiisha kariri neno (kauli mbiu)basi wamemaliza akili zao zumedumaa hapohapo hazijishughulishi na vyanzo vya taarifa ili kujua kiundani,..... mfano kama kigezo vingekuwa vyou basi Iringa lingekuwa jiji kabla ya Arusha...
Tulia wewe Sindano ikuingie...
Unaliiiiaaaa
 
Vigimbi vinapendeza sana kwa aliyevaa kaptula!
Kwa kina dada ni vitambi na makalio bapa yaani mpaka raha.
 
Back
Top Bottom