Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,508
- 14,226
Kweli wewe ni domokayaAidha huelewi au umeamua kusema uongo. Muktadha aliouzungumzia pale ulikuwa wa kichama tena mahsusi pilikapilika za uchaguzi na kampeni zake. Uongo mwingine, ashkumsi matusi, ni kama kujitia kidole sehemu fulani halafu ukanusa ilhali harufu ya kule unaijua ikoje.Uzandiki haujengi.