Mnondwe
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 4,012
- 3,683
Kwahiyo wewe umekuja kushabikia ujwapuaji unaofanywa na warumi na taasisi zao?Haaaaaaaaaa naona umetoka upande ule wa itikadi kaliiiii!!!!
Kwahiyo wewe umekuja kushabikia ujwapuaji unaofanywa na warumi na taasisi zao?Haaaaaaaaaa naona umetoka upande ule wa itikadi kaliiiii!!!!
Unaandika kama yule mama aliyepewa mil 10 za mboga vile! Naye alisema anamfahamu sana huyo mtoa pesa. Nawe naona unamfahamu saaana!
Acha hadithi. Unayemfahamu siyo huyo! Hadithi za BoT na nyingine zimeelezwa sana hapa JF. Naona ulikuwa hujajiunga na sasa unadhani una jipya la kueleza. Hapa JF mtu wako alishavuliwa nguo. siyo mgeni kwetu.
Padri akipewa pesa ya aina hiyo ni nini? Ada ya nini? Mbinguni? au zaka? Labda ukisema ilikuwa indulgence (kama unaijua) nitasema sawa ingawa enzi hizo zilishapita.
Hii sentensi si kweli:
"madhehebu ya kidini", ukweli ni dhehebu moja tu tena ni la kanisa katoliki ndilo lililotumika.
Kwanini mpotoshe na kusema "madhehebu"?
Cc BAK![]()
![]()
Shekhe wangu ucku mwemaaKwahiyo wewe umekuja kushabikia ujwapuaji unaofanywa na warumi na taasisi zao?
Hata awe baba wa kambo kwako sisi haitusaidii. Nakushauri urejee thrd za JF kabla hujajiunga. Wewe ni mpya sana hapa. Usihangaike kuunda historia mpya.Huyo jamaa ni Jirani yangu tangu Miaka ya 80 hadi Leo, we hujui lolote tuliaaaa
Kwa imani hiyo sina cha kukushawishi lakini kama ni hivyo, MUngu angezidisha uhusiano wake na Lucifer na kuyaacha mambo yake binafsi.Mkuu, huwez kutenganisha padre na kanisa au shekhe na msikiti kwa kosa la huyo kiongozi maana yangu ni kwamba askofu yeye ni kiongoz wangu na sina mamlaka ya kumuhukumu kwa matendo hasa kuhusu mambo yke binafsi na cyo ya DINI!!!
Pia hiyo benk inafanya kaz km benk zingne kumbe km wafanyakazi wamefanya makosa au viongozi ndo wakulaumiwa na cyo kanisa km taasisi
Nikimkumbuka Mzee was msoga natamani ardhi ipasuke,hili deni la SCHB atalipa yeye na familia yakeEscrow sio pesa za umma!
zimeshaliwa....Mkuu BAK tunashukuru kwa taarifa makini iliyo jitosheleza.
Wahisika bilashaka wapo wemeona na kufuatilia maoni ya wadau!
Labda waendelee kuzuia mikutano, makongamano na kufukuza wapinzani bungeni na kuzuia kuonyesha bunge live!!
Vinginevyo watachukua hatua hata zile fedha zilizo bebwa na masandarusi kupelekwa huko zitaridishwa!!
Hapa kazi waungwana!
F.a.l.a ww dhehebu limehusika vp hao ni watu binafsi
Umefanya vyema kuambatanisha kanisa katoliki na huu ufisadi. Lakini kumbuka pia watu wanapouambatanisha uislamu na mambo flani flani usitoe mapovu.
[HASHTAG]#ISIS[/HASHTAG]
[HASHTAG]#ALQUEDA[/HASHTAG]
......
.....
.....
Kumbe FaizaFoxy bado upo...! Naona ESCROW imekutoa pangoni, duh, pesa za Umma zinauma au siyo?
MAGUFULI KUMBE ALICHUKUA HUU USHAURI WA HUYU JAMAALabda iundwe tume ya maridhiano kama iliyoundwa na Mandela baada ya apartheid,vinginevyo kazi ya kutumbua ni ngumu zaidi ya tunavyofikiria,iundwe tume waitwe hao mafisadi,wahojiwe, wanao kiri na kurudisha hazina fedha walizokwapua na kuwa tayari kufilisiwa wasamehewe na wapelekwe chuo cha maadili miezi kadhaa kwa ajili ya rehabilitation, wakionekana wamebadilika basi waendelee na kazi,watakaogoma basi wapelekwe mahakama ya ufisadi,vinginevyo ni overhaul ya system yote kwani karibu vigogo wote wanaguswa.Kama anavyosema Lisu,short of that tutaendelea kutumbua vidagaa tu
KweliMAGUFULI KUMBE ALICHUKUA HUU USHAURI WA HUYU JAMAA