Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,919
- 7,768
We we we! Aguse aungue! hataweza, anavyoweza tunavijua na ndo vinaisha isha ivo!Magufuli ataweza ku press button hizi za moto??
Au ataishia kutumbua kina Kabwe tu??
We we we! Aguse aungue! hataweza, anavyoweza tunavijua na ndo vinaisha isha ivo!Magufuli ataweza ku press button hizi za moto??
Au ataishia kutumbua kina Kabwe tu??
kodi peke yake wameshindwa kulipa, watawezaje kurudisha hiyo hela hawa wa kufungwa maisha au kufilisiwa waishi kama "mashetani" bana!Labda iundwe tume ya maridhiano kama iliyoundwa na Mandela baada ya apartheid,vinginevyo kazi ya kutumbua ni ngumu zaidi ya tunavyofikiria,iundwe tume waitwe hao mafisadi,wahojiwe, wanao kiri na kurudisha hazina fedha walizokwapua na kuwa tayari kufilisiwa wasamehewe na wapelekwe chuo cha maadili miezi kadhaa kwa ajili ya rehabilitation, wakionekana wamebadilika basi waendelee na kazi,watakaogoma basi wapelekwe mahakama ya ufisadi,vinginevyo ni overhaul ya system yote kwani karibu vigogo wote wanaguswa.Kama anavyosema Lisu,short of that tutaendelea kutumbua vidagaa tu
****Mnalalamika nchi imeoza, wakikamuliwa waliooza pia mnalalamika, kila kitu kwenu ni kulalamika, wanafiki wakubwa!
Wewe mwanamke una akili ndogo sana.Hii sentensi si kweli:
"madhehebu ya kidini", ukweli ni dhehebu moja tu tena ni la kanisa katoliki ndilo lililotumika.
Kwanini mpotoshe na kusema "madhehebu"?
Cc BAK![]()
![]()
Wewe mwanamke una akili ndogo sana.
It doesn't matter, mwizi mwizi tu.....sawa na JK
Hii sentensi si kweli:
"madhehebu ya kidini", ukweli ni dhehebu moja tu tena ni la kanisa katoliki ndilo lililotumika.
Kwanini mpotoshe na kusema "madhehebu"?
Mke wa Mahiga atakuwa fisadi papaMnalalamika nchi imeoza, wakikamuliwa waliooza pia mnalalamika, kila kitu kwenu ni kulalamika, wanafiki wakubwa!
****
#Tibaijuka alisema / watuhumiwa wa ufisadi wapo salama sana!/
wanaotumbuliwa ni visisimizi vya KAFARA,
""FUNIKA KOMBE, MWANAHARAMU APITE.....""
Rais alikiri kuwa aliyepewa fedha na serikali – PAP – hakuwa na sifa; serikali yake haikufanya uchunguzi yakinifu kuhusu historia, uhalali, sifa na uwezo wa kampuni ya PAP katika uwekezaji wa umeme, ununuzi wa mitambo na mtaji.
Hahahahaaaa hii signature ya faiza foxyNimesoma bandiko zima, hakuna "madhehebu" niliyoyaona isipokuwa dhehebu moja tu tena ni la Kanisa katoliki na maaskofu wake wawili na benki yao ya mkombozi ndiyo waliohusika. Sasa kwanini mjidai ni "madhehebu"?
Lakini mkumbuke siku hiyo anaongea na viongozi wa ccm wa mikoa na wilaya alisea...haina haja ya kufufua makabuli....sasa Escrow na mawahusika wake nalo ni kabuli hana haja ya kulifufua...
Kwani ni mwanamke? Uwe na lugha za stahaNilishasema kama magufuli amezaliwa mwanaume,akamate hawa wa escrow. Otherwise anaonea watu.
Wewe mwanamke una akili ndogo sana.
It doesn't matter, mwizi mwizi tu.....sawa na JK