Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,361
- 6,893
- Thread starter
- #61
Dj anaongeza chumviAcheche production kwa kushirikiana na kampuni ya Sony.
Pumbavu.
Dj anaongeza chumviAcheche production kwa kushirikiana na kampuni ya Sony.
Pumbavu.
Ujumbe ni kuhus siri iliyojificha kwenye Moviemkuu unataka kusema squid game inatisha? Mbona ni movie ya kawaida sana, anyway acha kuangalia movie utakuwa kichaa bure
🤫 🤫🤣🤣🤣🤣🤣 walokole bhana
You watch too many movies
🤫 🤫Kamtoa maada Ka mziwanda kanadeka hako
yhCha msingi ni kuwa makini wakati wa kuchagua movie ya kuangalia.
😅😅Acha kuangalia movies una phycology problem kubwa ......
Ndomanini hayo lo??
Ndoto...Ndomanini hayo lo??
Santo sana kwa mwongozo loNdoto...
Ndugu uko sahihi asilimia 100 na ngoja nikuelezee ndoto moja coz hii hali ndio inanitokea sana kwenye maisha yangu.Mod usichange chochote tafadhali