Siri kubwa sana ya Squid Game, kuna kitu kilitokea

Siri kubwa sana ya Squid Game, kuna kitu kilitokea

Unatakiwa kuiangalia kama movie tu basi,,,si kila jambo lina fumbo behind la kuhangaika nalo utaiharibu pschology,watu wanatunga tu story ili tupate radha kutoka kwenye ubunifu mpya na ideas nyingi ni za kufikirika tu usijitese bro
sio kila idea analowaza mtu ni yeye alifikiria
Ukiingia ndani sana utagundua wengine wanatumia kuleta hizo story na kuzimu
 
Haitishi ila Njia hiyo hiyo na matukio hayo hayo yanatokea kwenye ulimwengu wa kiroho
mkuu unataka kusema squid game inatisha? Mbona ni movie ya kawaida sana, anyway acha kuangalia movie utakuwa kichaa bure
 
Itakusaidia, usitumbukie dhambini kwa kueneza huu uongo uliodanganywa na dj maki.
Tatizo ni elimu au? Jitahidi kupitia na majukwaa mengine mbali na JF
IMG_20250709_093345.jpg
 
Yaleyale tu, mtu anaangalia tamthilia au kusoma novel huku anabubujikwa machozi akidhani ni ya kweli.
 
Haitishi ila Njia hiyo hiyo na matukio hayo hayo yanatokea kwenye ulimwengu wa kiroho
Fikira zako tu, kwangu mimi nimeihusisha na matukio ya maisha ya kawaida ambayo watu wanapitia, kama vile tamaa, woga na betting life. Pia kuna watu wanavushwa na watu wengine katika matatizo yao, n.k
 
Kisa Pesa
 
Hivi ulimwengu wa kiroho sio mpaka mtu afe? utauthibitisha vipi ulimwenge wa kiroho ukiwa hai?
Sio lazima afe
Ushawahi kulala alafu ukajikuta kwenye mazingira fulani humo unahisi kama ukweli unatembea au unakimbia ila ukiamka unasema ah kumbe nilikuwa naota
Ishawahi kukutokea?
 
Vitu vya kutisha
Ulivyokuwa mdogo movie za mazombie si ulikuwa unaziogopa?
Mazombie unaogopaje na niuwongo bhana,
Labda za kina Shumileta.

Ila kwa sasa hata movie iwe na nn siwezi ogopa, si movie watu wanakufa uwongo
 
Mazombie unaogopaje na niuwongo bhana,
Labda za kina Shumileta.

Ila kwa sasa hata movie iwe na nn siwezi ogopa, si movie watu wanakufa uwongo
Ni mauongo hamna haja ya kuogopa
 
Point yangu ni hii
“Yanyotokea kwenye Ulimwengu wa Kiroho mengi tunayaona kwenye movie na hata kama mnasema ni story ya kweli whatever ila kwenye ulimwengu wa kiroho utathibitisha na kuona yamo kwenye movie “
 
Back
Top Bottom