Siri Imefichuka! Yesu Kristo sio Nabii Isa

Status
Not open for further replies.
Sawa, kwahy kisa Uturuki wanamuita Issa ndo iwe sababu ya Issa wa kuran awe Yesu wa Biblia?
Kinachoangaliwa ni kile kinachokusudiwa hata kama kuna utofauti, kinyume na hivyo basi labda kuwe na ushahidi wa kuwepo wawili hao kwa maana aliwahi kuwepo Yesu na akawepo Isa ili tujue kuwa ni kweli hao ni wawili tofauti.

Mfano wakristo wanawazungumzia majini kuwa ndio wale malaika waliyoasi ila waislamu wao huwazungumzia majini kama ni viumbe waliyoumbwa na Mungu ambao ni tofauti na malaika na binaadamu, utaona kuna utofauti hapo ila wote wanatumia hilo jina majini kukusudia hao viumbe pasina kujali hizo tofauti.
 
Kwa Jina la YESU Mapepo humtoka Mtu. Ndio Jina pekee ambalo hata Mapepo yanalitii. Hakuna Jingine.

Wala YESU haswaliwi maana yeye ni top!
Sio sahihi kusema jina pekee kwa sababu Yesu anaitwa kwa majina tofauti, mfano Yesu,Isa,Lesu,Yeshu,Jesus n.k
 
Wanaosema Waturuki wanatumia Jina Isa Kumtambua Yesu Kristu wafahamu kuwa Ni Yesu Kristo wa Biblia na Si Isa wa Kururuani.
Hata huyo Yesu wa biblia bado hata hao wakristo wanatofautiana baadhi ya mambo kuhusu huyo Yesu wa biblia, si kwamba wakristo wote wanamtambua na kuamini sawa kuhusu Yesu kuna utofauti.
 
Kuna watu wanafundisha kwamba jina jingine la Yesu ni Nabii Isa. Ukweli ni kwamba kuna tofauti kubwa kati ya Yesu Kristo na Nabii Isa.

Yesu Kristo ana sifa kuu zifuatazo:

Ni Mwana wa Mungu na pia ni Mungu.
Katika Mt 16:15-17 – Yesu alimwuliza Petro, "Nanyi mwanisema mimi kuwa ni nani?" Petro akajibu, "Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai." Yesu alimpongeza kwa kuujua ukweli huo, akamwambia kuwa amefunuliwa na Baba wa mbinguni.

Asiyeamini kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu hana uzima
Yohana 3:36
"Amwaminiye Mwana anao uzima wa milele; asiye mwamini Mwana hataona uzima, bali ghadhabu ya Mungu inamkalia."

1 Yohana 2:23
"Kila amkanaye Mwana, hana Baba; amkiriye Mwana anaye Baba pia."

Yesu alisulibiwa, alikufa msalabani na kufufuka siku ya tatu ili sisi tupate wokovu.
Ili mtu apate wokovu ni lazima akiri kama ilivyoandikwa katika
Warumi 10:9
"Ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka."

Yesu Kristo ni Alfa na Omega; ni wa milele.
Katika Ufunuo 22:13 – Yesu anasema, "Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho." Hakuna nabii yeyote anayeweza kusema maneno hayo.

Yesu Kristo ana mamlaka ya kusamehe dhambi
Katika Marko 2:5-7 – Yesu alimwambia mtu aliyepooza, "Mwanangu, umesamehewa dhambi zako." Mafarisayo walishangaa, wakisema, "Ni nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa Mungu peke yake?"

Katika Ufunuo 19:16 – Yesu anaitwa Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana, hadhi ambayo manabii wa kawaida hawakuwa nayo.

Wanaosema kwamba Yesu ni Nabii Isa, waulize: je, wanakubaliana na sifa hizo za Yesu? Watakujibu kwamba Nabii Isa sio Mwana wa Mungu...

Kwahiyo kama wewe ni Mkristo unayeongozwa na Maandiko ya Biblia, usimwite Yesu kwa jina la Isa, kwa sababu majina hayo mawili hayana maana sawa.

Nimekufunulia siri hiyo, usidanganyike tena!
Ni kweli,kwa sababu Yesu,alimuomba Mungu wake,kikombe cha umauti,kimuepuke,lakini Mungu wa,Yesu,alishindwa kumuokoa kwenye kikombe cha Umauti.Lakini Nabii Issa,alipomuomba Mungu wake,amuokoe kwrnye kikombe cha umauti,akamuokoa,hakusulubiwa,wala kuuliwa,ila miongoni mwa waliotaka kumuua,alifananishwa,sura na Nabii Issa,akasulubiwa Yeye na kufariki.Ila Nabii Issa,alipaishwa,Mbinguni na Mungu wake.
 
Kwa Jina la YESU Mapepo humtoka Mtu. Ndio Jina pekee ambalo hata Mapepo yanalitii. Hakuna Jingine.

Wala YESU haswaliwi maana yeye ni top!
Lakini hata waganga wanaotumia biblia nao wanatoa majini mfano manabii wetu. Nb usilazimishe watu wengine waamini unachoamini au ulichokalilishwa.Yesu anaweza kuwa ni Mungu au asiwe inategemea wewe unaamini nini na upeo wako wakiimani ni wakukalili au kutumia akili, Mungu ni mmoja na hawezi kugawanyika . Amani na salama
 
Kwa Jina la YESU Mapepo humtoka Mtu. Ndio Jina pekee ambalo hata Mapepo yanalitii. Hakuna Jingine.

Wala YESU haswaliwi maana yeye ni top!
Ameen
 
Kinachoangaliwa ni kile kinachokusudiwa hata kama kuna utofauti, kinyume na hivyo basi labda kuwe na ushahidi wa kuwepo wawili hao kwa maana aliwahi kuwepo Yesu na akawepo Isa ili tujue kuwa ni kweli hao ni wawili tofauti.

Mfano wakristo wanawazungumzia majini kuwa ndio wale malaika waliyoasi ila waislamu wao huwazungumzia majini kama ni viumbe waliyoumbwa na Mungu ambao ni tofauti na malaika na binaadamu, utaona kuna utofauti hapo ila wote wanatumia hilo jina majini kukusudia hao viumbe pasina kujali hizo tofauti.
YESU NI MUNGU ISAYA 9:6 nabii isa baba yake mtume Muhammad
 
Kuna watu wanafundisha kwamba jina jingine la Yesu ni Nabii Isa. Ukweli ni kwamba kuna tofauti kubwa kati ya Yesu Kristo na Nabii Isa.

Yesu Kristo ana sifa kuu zifuatazo:

Ni Mwana wa Mungu na pia ni Mungu.
Katika Mt 16:15-17 – Yesu alimwuliza Petro, "Nanyi mwanisema mimi kuwa ni nani?" Petro akajibu, "Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai." Yesu alimpongeza kwa kuujua ukweli huo, akamwambia kuwa amefunuliwa na Baba wa mbinguni.

Asiyeamini kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu hana uzima
Yohana 3:36
"Amwaminiye Mwana anao uzima wa milele; asiye mwamini Mwana hataona uzima, bali ghadhabu ya Mungu inamkalia."

1 Yohana 2:23
"Kila amkanaye Mwana, hana Baba; amkiriye Mwana anaye Baba pia."

Yesu alisulibiwa, alikufa msalabani na kufufuka siku ya tatu ili sisi tupate wokovu.
Ili mtu apate wokovu ni lazima akiri kama ilivyoandikwa katika
Warumi 10:9
"Ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka."

Yesu Kristo ni Alfa na Omega; ni wa milele.
Katika Ufunuo 22:13 – Yesu anasema, "Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho." Hakuna nabii yeyote anayeweza kusema maneno hayo.

Yesu Kristo ana mamlaka ya kusamehe dhambi
Katika Marko 2:5-7 – Yesu alimwambia mtu aliyepooza, "Mwanangu, umesamehewa dhambi zako." Mafarisayo walishangaa, wakisema, "Ni nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa Mungu peke yake?"

Katika Ufunuo 19:16 – Yesu anaitwa Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana, hadhi ambayo manabii wa kawaida hawakuwa nayo.

Wanaosema kwamba Yesu ni Nabii Isa, waulize: je, wanakubaliana na sifa hizo za Yesu? Watakujibu kwamba Nabii Isa sio Mwana wa Mungu...

Kwahiyo kama wewe ni Mkristo unayeongozwa na Maandiko ya Biblia, usimwite Yesu kwa jina la Isa, kwa sababu majina hayo mawili hayana maana sawa.

Nimekufunulia siri hiyo, usidanganyike tena!
Kuongezea hapo mahali alipozaliqa Yesu na Nabii issa ni sehem mbili tofauti kwa hyo haiwezekani.mtu mmoja akazaliwa sehem mbili tofauti Yesu kwenye holi la ng'ombe na Nabii Issa chini ya mtende.
 
Mungu was kweli Ni yule ajazaa Wala ajazaliwa unaposema yesu Ni mwana wa mungu ni wazi kwamba mungu ana mke au

Na Kwanini awe mwana wa mungu alafu awe mungu
 
Kua na mwana lazima uzae au ulale na mwanamke?
Kwani miti ya machungwa na maembe hua yanakua mke na mume mpaka yazae?

Hiyo logic yenu haina mantiki Mungu hazai wala hana mke ila ana mwana ambaye ni Yesu Kristo kama hutaki kuamini hatukulazimishi kwanza tunakuambia ukweli ukikataa go to hell maana aaminiye ameaokoka anayekataa amekwisha hukumiwa hivyo hatubishani na watu walio hukumiwa Jehanam go to hell nigga!
😁😁
 
Kuna watu wanafundisha kwamba jina jingine la Yesu ni Nabii Isa. Ukweli ni kwamba kuna tofauti kubwa kati ya Yesu Kristo na Nabii Isa.

Yesu Kristo ana sifa kuu zifuatazo:

Ni Mwana wa Mungu na pia ni Mungu.
Katika Mt 16:15-17 – Yesu alimwuliza Petro, "Nanyi mwanisema mimi kuwa ni nani?" Petro akajibu, "Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai." Yesu alimpongeza kwa kuujua ukweli huo, akamwambia kuwa amefunuliwa na Baba wa mbinguni.

Asiyeamini kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu hana uzima
Yohana 3:36
"Amwaminiye Mwana anao uzima wa milele; asiye mwamini Mwana hataona uzima, bali ghadhabu ya Mungu inamkalia."

1 Yohana 2:23
"Kila amkanaye Mwana, hana Baba; amkiriye Mwana anaye Baba pia."

Yesu alisulibiwa, alikufa msalabani na kufufuka siku ya tatu ili sisi tupate wokovu.
Ili mtu apate wokovu ni lazima akiri kama ilivyoandikwa katika
Warumi 10:9
"Ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka."

Yesu Kristo ni Alfa na Omega; ni wa milele.
Katika Ufunuo 22:13 – Yesu anasema, "Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho." Hakuna nabii yeyote anayeweza kusema maneno hayo.

Yesu Kristo ana mamlaka ya kusamehe dhambi
Katika Marko 2:5-7 – Yesu alimwambia mtu aliyepooza, "Mwanangu, umesamehewa dhambi zako." Mafarisayo walishangaa, wakisema, "Ni nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa Mungu peke yake?"

Katika Ufunuo 19:16 – Yesu anaitwa Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana, hadhi ambayo manabii wa kawaida hawakuwa nayo.

Wanaosema kwamba Yesu ni Nabii Isa, waulize: je, wanakubaliana na sifa hizo za Yesu? Watakujibu kwamba Nabii Isa sio Mwana wa Mungu...

Kwahiyo kama wewe ni Mkristo unayeongozwa na Maandiko ya Biblia, usimwite Yesu kwa jina la Isa, kwa sababu majina hayo mawili hayana maana sawa.

Nimekufunulia siri hiyo, usidanganyike tena!
Unatamani ndani ya nafsi yako kuwa Yesu asiwe ndio Isa wa ndani ya Quran
Ila unajidanganya Quran imeletwa Ili kuwakosoa wale waliopindisha maandiko ya Mungu

NABII MIKA ANATABIRI UJIO WA YESU
Mika 5:2
Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumbe wa Yuda; Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu wangu Israeli.

YESU ANATHIBISHA KUWA UTABIRI UMETIMIA

Mathayo 15:24
Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.

NABII MUHAMMAD ANAPIGILIA MSUMALI KUWA YESU ALITUMWA NA MUNGU

Quran 61:6
Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati,

Nabii Mika Yesu mwenyewe na nabii Muhammad wote wanasema Yesu ni mtume wa Mungu Kwa Wana wa Israel

Huyu sasa ndio Isa bin Mariam

Huyo wa kwenu sijui Mungu sijui mwana wa Mungu hilo ni galasa mliotengenezewa na Wazungu hakuwahi kuwepo hapa Duniani
 
Kuna watu wanafundisha kwamba jina jingine la Yesu ni Nabii Isa. Ukweli ni kwamba kuna tofauti kubwa kati ya Yesu Kristo na Nabii Isa.

Yesu Kristo ana sifa kuu zifuatazo:

Ni Mwana wa Mungu na pia ni Mungu.
Katika Mt 16:15-17 – Yesu alimwuliza Petro, "Nanyi mwanisema mimi kuwa ni nani?" Petro akajibu, "Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai." Yesu alimpongeza kwa kuujua ukweli huo, akamwambia kuwa amefunuliwa na Baba wa mbinguni.

Asiyeamini kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu hana uzima
Yohana 3:36
"Amwaminiye Mwana anao uzima wa milele; asiye mwamini Mwana hataona uzima, bali ghadhabu ya Mungu inamkalia."

1 Yohana 2:23
"Kila amkanaye Mwana, hana Baba; amkiriye Mwana anaye Baba pia."

Yesu alisulibiwa, alikufa msalabani na kufufuka siku ya tatu ili sisi tupate wokovu.
Ili mtu apate wokovu ni lazima akiri kama ilivyoandikwa katika
Warumi 10:9
"Ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka."

Yesu Kristo ni Alfa na Omega; ni wa milele.
Katika Ufunuo 22:13 – Yesu anasema, "Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho." Hakuna nabii yeyote anayeweza kusema maneno hayo.

Yesu Kristo ana mamlaka ya kusamehe dhambi
Katika Marko 2:5-7 – Yesu alimwambia mtu aliyepooza, "Mwanangu, umesamehewa dhambi zako." Mafarisayo walishangaa, wakisema, "Ni nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa Mungu peke yake?"

Katika Ufunuo 19:16 – Yesu anaitwa Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana, hadhi ambayo manabii wa kawaida hawakuwa nayo.

Wanaosema kwamba Yesu ni Nabii Isa, waulize: je, wanakubaliana na sifa hizo za Yesu? Watakujibu kwamba Nabii Isa sio Mwana wa Mungu...

Kwahiyo kama wewe ni Mkristo unayeongozwa na Maandiko ya Biblia, usimwite Yesu kwa jina la Isa, kwa sababu majina hayo mawili hayana maana sawa.

Nimekufunulia siri hiyo, usidanganyike tena!
Sasa maelezo yote ya nini hayo? Yesu alizaliwa kwenye holi la ng'ombe. Nabii Issa alizaliwa chini ya mtende! Si tiyari hao ni watu wawili tofauti?
 
Unajua kwa kituruki Yesu anaitwaje?
Ndiyo, kwa kituruki Yesu ni "İsa"
Lakini hiyo ni tafsiri tu ya jina "Yesu" kwa lugha hiyo, linalotokana na lugha za Kiarabu.

Waturuki wengi Wakristo wanapotumia “İsa Mesih” wana maanisha Yesu Kristo, sio “Nabii Isa” wa imani ya Kiislamu.

Na Waislamu wa Kituruki wakisema “İsa,” wana maana ya “Nabii Isa” wa Qur'an.

Nabii Isa katika Uislamu sio sawa na Yesu Kristo katika Ukristo — wanafanana katika baadhi ya mambo ya kihistoria (kama kuzaliwa na Mariamu), lakini tofauti zao za msingi ni kubwa sana kiimani.

Yesu Kristo ni zaidi ya Nabii kwa Wakristo
“Petro akajibu, akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.” (Mathayo 16:16)
 
Kuna watu wanafundisha kwamba jina jingine la Yesu ni Nabii Isa. Ukweli ni kwamba kuna tofauti kubwa kati ya Yesu Kristo na Nabii Isa.

Yesu Kristo ana sifa kuu zifuatazo:

Ni Mwana wa Mungu na pia ni Mungu.
Katika Mt 16:15-17 – Yesu alimwuliza Petro, "Nanyi mwanisema mimi kuwa ni nani?" Petro akajibu, "Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai." Yesu alimpongeza kwa kuujua ukweli huo, akamwambia kuwa amefunuliwa na Baba wa mbinguni.

Asiyeamini kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu hana uzima
Yohana 3:36
"Amwaminiye Mwana anao uzima wa milele; asiye mwamini Mwana hataona uzima, bali ghadhabu ya Mungu inamkalia."

1 Yohana 2:23
"Kila amkanaye Mwana, hana Baba; amkiriye Mwana anaye Baba pia."

Yesu alisulibiwa, alikufa msalabani na kufufuka siku ya tatu ili sisi tupate wokovu.
Ili mtu apate wokovu ni lazima akiri kama ilivyoandikwa katika
Warumi 10:9
"Ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka."

Yesu Kristo ni Alfa na Omega; ni wa milele.
Katika Ufunuo 22:13 – Yesu anasema, "Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho." Hakuna nabii yeyote anayeweza kusema maneno hayo.

Yesu Kristo ana mamlaka ya kusamehe dhambi
Katika Marko 2:5-7 – Yesu alimwambia mtu aliyepooza, "Mwanangu, umesamehewa dhambi zako." Mafarisayo walishangaa, wakisema, "Ni nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa Mungu peke yake?"

Katika Ufunuo 19:16 – Yesu anaitwa Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana, hadhi ambayo manabii wa kawaida hawakuwa nayo.

Wanaosema kwamba Yesu ni Nabii Isa, waulize: je, wanakubaliana na sifa hizo za Yesu? Watakujibu kwamba Nabii Isa sio Mwana wa Mungu...

Kwahiyo kama wewe ni Mkristo unayeongozwa na Maandiko ya Biblia, usimwite Yesu kwa jina la Isa, kwa sababu majina hayo mawili hayana maana sawa.

Nimekufunulia siri hiyo, usidanganyike tena!
Kweli SIri imefichukaa😂😂
 
YOHANA 17:3(NA UZIMA WA MILELE NDO HUU WAKUJUE WW MUNGU WA KWELI NA WAPEKEE NA YESU ULIYEMTUMA(Mtume). Waislamu Tuna UZIMA WA MILELE. Ww endelea kusema YESU ni Mungu au mwana unakosa UZIMA WA MILELE.
 
Hizi dini nyengine sijui zina lengo gani!? majamaa wamekopy kila kitu kwenye bible kisha wamechenji kidogo story ionekane hawajacopy. Yesu na isa ni characters wawili tofauti sababu wamezaliwa sehemu tofauti na mmoja alikufa akafufuka mwengine wa upande wa pili hakufa!

Ukija kwenye uhalisia, Kwenye mapepo ukitaja jina YESU yatapepesuka na kuchapa mwendo hatari! Ila yatajie jina la isa! Jibu unalo.

YESU NI JINA LIPITALO MAJINA YOTE!.
YESU NI NI JINA LINALOISHI!.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom