Setfree
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 6,125
- 8,047
- Thread starter
- #61
Point kubwa sio kwenye jina bali kwenye utambulisho wake. Wakristo wanajua kuwa Yesu ni zaidi ya Nabii. Yesu ni Mwana wa Mungu na Mwokozi wa ulimwengu.Point ni kwamba anayekusudiwa ndio huyo huyo mmoja kwa maana hakuna ushahidi kwamba aliwahi kuwepo Yesu na akawepo Isa, maana hata hao wakristo wenyewe hutofautiana kuhusu Yesu na ndio hutumia hiyo hiyo biblia.
“Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai” (Mathayo 16:16).