Siri Imefichuka! Yesu Kristo sio Nabii Isa

Siri Imefichuka! Yesu Kristo sio Nabii Isa

Status
Not open for further replies.
Taarifa ikiwapendeza wanasema ndo ukweli na ispowapendeza wanasema ni uongo! ... Sisi tunawaambia Yesu/Issa mumempa sifa za uongo na badala yake sifa zake ni kadhaa, lakini wao wanasema huyo tunaemuongelea ni mtu tofauti. Clearly if they were to debate on validty ya wanachokisema na tunachokisema kumuhusu hawatokuwa na hoja ya kushinda hoja na ushahidi ulio katika Uislam. So the only solution is for them to say "hao ni watu wawili tofauti, bakini na sifa za Issa wenu na sisi tubaki na za Yesu wetu"

Tukiwaambia majini na malaika ni viumbe wawili tofauti bado wanang'ang'ania kwamba majini ni malaika walioasi, yani kwa maana nyengine ni kuwa tofauti kati yao ni maamuzi tu ya uhaini kati ya kundi moja na jengine, lakini bado naration zinaonesha utofauti mkubwa wa tabia wa viumbe hawa wawili.

Ukijaribu kumuelimisha mtu katika haya anaishia kusema "Imeandikwa ..." na hataki kujadili nani amendika na lini iliandikwa
Kumbe wewe unataka hoja yako ishinde na si kuelewashana? Kama ni hivyo no shida hapawezi kuwa na amani.

Tatizo lingine ni nyinyi kuamini wakristo wote wanamtazamo mmoja kuelekea maandiko matakatifu.
 
Kumbe wewe unataka hoja yako ishinde na si kuelewashana? Kama ni hivyo no shida hapawezi kuwa na amani.

Tatizo lingine ni nyinyi kuamini wakristo wote wanamtazamo mmoja kuelekea maandiko matakatifu.
Kushinda na kushindwa kwa hoja sijamaanisha mabishano bali majadiliano yenye tija, hoja yenye nguvu baada ya majadiliano ndo hapo panapopatikana maelewano.

Abadan siamini katika mabishano ya dini bila ya kuwa open kuukubali ukweli ikiwa mimi ndo nipo wrong katika ninachoamini
 
Biblia haitaji sehemu aliyozaliwa Yesu ila baada ya kuzaliwa inasema alilazwa kwenye hori/Manger.

Hori/Manger haimaanishi sehemu ya kunywea maji bali ni kifaa cha kulishia ng'ombe hasa kilicho zizini. Kwa wale wanaofuga ng'ombe wanafahamu pale yapowekwa majani.

Kwenye Biblia si kila kitu kimeandikwa hivyo yawezekana alizaliwa chini ya mtende au sehemu nyingine kwa kuwa walipokuwa katika kijiji hicho kuhesabiwa walikosa nyumba ya wageni ili kulala. Inawezekana kundi kubwa la watu walilala nje.
Ukisoma zaidi biblia,utaona wachungaji walishuhudia kazaliwa,na kwa majira ya palestine/israel halo hiyo ya kuchunga usiku na kuweza kuona umbali huo hutokea mid-summer, mid-summer tende huwa tayari zimeiva
 
Hakika ukristo ni ukichaa ..
Yesu mwana wa mungu
Yesu huyo huyo ndio mungu
Yesu huyo huyo anaomba msaada wa mungu akiwa msalabani
Hata kama ni Imani bhc ila iwe na uhalisia jmn
Na akishapaa atakaa mkono wa kuume wa Mungu awahukumu mataifa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom