BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 7,946
- 18,056
Nadhani ni mazungumzo na ushawishi sio mikwara. Putin sio TshisekediNimeiona BBC pia. Ila inaonekana haya mazungumzo yamesaidia kwa kiasi kikubwa mpaka leo Urusi hajatumia Nyuklia.
Sasa kuna muda Urus alipiga mkwara wa kutumia Nyuklia, badae Urus akapotozea!
Je, USA alitumia mbinu gani za kumzuia Urus asitumie Nyuklia? Ilikuwa ni ushawishi tu au USA alimpiga mkwara Urusi?