Siri gani mwanamke hawezi kusema mpaka kaburini?

Siri gani mwanamke hawezi kusema mpaka kaburini?

We unaangalia kupima tu je kama mtoto siyo wakohafu mama yake hajui baba wa mtoto alipo au uchumi wake hamfanyi aweze kutunza mtoto hujui kuwa itakula kwako wataalam watasema ni wako kumbe siyo.
Huu ndio tunaita usaliti wa kitaaluma, yaani wanakiongopesha kipimo maksudi!!
Sasa si wangesema tu kuwa hatupimi DNA kwa ajili ya kutambua mzazi halisi wa mtoto kwa kuhofia kuparanganyisha familia kuliko kutoa majibu ya uongo?
 
hapo suala siyo wanasayansi wanasosholojia ndo kazi zao kuchakachua majibu ili mtoto au ndoa isivurugike maana daktari kabla hajakupeni majibu lazima aombe ushauri wa wataalam wa ustawi wa jamii.
Sasa hawa wanasosholojia watajifanya wana akili sana, kumbe ndio wanaharibu mambo, ***** zao, mfano hai mkuu ni mimi binafsi, kuna mtoto nahisi nimebambikwa, amezaliwa copyright na sura ya mfanyakazi mwenzangu, huyo jamaa nahisi kanyimwa tu,

na huwa anatamani kweli mtoto, kwa sababu nilishawahi ambiwa kuwa mchumba wangu huyo alikuwa anachepuka na huyu jamaa ambae ni rafii yangu, nataka baadae niconfirm kwa DNA halafu nimshtue jamaa kwamba bro una mtoto, ili achukue mtoto wake apeleke kwao, maanake huyo bi ti sijamuoa yuko kwao, sasa katika mazingira haya, huoni kuwa wakidanganya vipimo watakuwa ndio wameharibu?
 
Kuzaa nje ya ndoa anaweza akakuambia kabla ajaenda hukoo.ila inategemea kama ni kabla ya ndoa anaweza akasema bana ila atakwambia ilikuwa kabla cjaanzana na wewe.Ila mengi alosema mamndenyi,FaizaFoxy wako sahihi.
 
Hahhhahhha aisee 16 idadi ya Kim Kardashian hiyo lol,we mbona unajazaa Kile kivuko cha kigamboni mi sisemiii nimeuchunaa tu, kwa hiyo 16 lazima mtu apwayee etii nomaa sanaaaa

D mama ishu sio idadi ishu ni mara ngapi? Unaweza kugonga 40 kati ya hao 20 mara 1, 10 mara 2 na 7 mara3, 2 x4 na mmoja mara 14...lakini mtu ana 3 halafu kila siku mzigoni sometimes kwa siku size 2 tofauti, k.ma inachoka? Hata rubber inaisha.
 
Kiukweli kuna ishu nyingine ni amani zaidi kutokuzijua kuliko kuzijua KWANI SI WANAUME TUNAFICHA MANGAPI, KUNA ISHU HUWEZI SEMA AISEE IENDE IRUDI NOMAA
 
Hivi hawa wanawake walivyo wambea na mioyo yao isivyoweza kutunza siri hivi wanaweza kubaki na siri peke yao bila hata kumwambia shoga yake??? Wenyewe wanaitana BFF
 
Kawaida mimi enzi hizo nachepuka nilipozaa na binti fulani niliwatuma shangazi zangu na mama wakamcheki wakakuta kitu photocopy na ukoo wetu, we kama unaamini DNA za kwenda kupima utachemka maana mama mtu akikomaa utapewa tu. CHa muhimu watume ndugu zako wa kike wakamchunguze.

Sasa hawa wanasosholojia watajifanya wana akili sana, kumbe ndio wanaharibu mambo, ***** zao, mfano hai mkuu ni mimi binafsi, kuna mtoto nahisi nimebambikwa, amezaliwa copyright na sura ya mfanyakazi mwenzangu, huyo jamaa nahisi kanyimwa tu,

na huwa anatamani kweli mtoto, kwa sababu nilishawahi ambiwa kuwa mchumba wangu huyo alikuwa anachepuka na huyu jamaa ambae ni rafii yangu, nataka baadae niconfirm kwa DNA halafu nimshtue jamaa kwamba bro una mtoto, ili achukue mtoto wake apeleke kwao, maanake huyo bi ti sijamuoa yuko kwao, sasa katika mazingira haya, huoni kuwa wakidanganya vipimo watakuwa ndio wameharibu?
 
ndiyo maana waswahili husema 'kitanda hakizai haramu' hakika hawakukosea

Back
Top Bottom