Kutembea nje ya ndoa, kuzaa nje ya ndoa, kutembea na rafiki wa bwana, kupigwa mande na kukutajia idadi ya wanaume aliolala nao mara nyingi atapunguza idadi
Mhhhhhh mbonaa mi hua sipunguzi idadii yaan najaza boda boda mbili tuuuuu!!
Ahahahaha, amenikumbusha ndugu yangu mmoja alinunia miaka 2 hata nikimsalimia haitiki. Kisa alinipa nguo zake (2, chafu)nimpitishie kwake na mie nikiwa ndo naanza safari ya mkoa. Sikupitisha ila kesho yake zikatumwa kwa courier na akakataa kuzipokea. Genuinely nilisahau. Basi mie nikazihifadhi to date (7yrs?). Na ndo keshakufa sasa. Nimewaambia nduguze wananiambia zichome moto, nimegoma watachoma wenyewe.
kila siku akinivutia mdomo nilikuwa najiuliza hivi huyu akiulizwa nimemuudhi nini atajibuje? Sie wanawake bwana, ahahahha.
Wana MMU,
Wanawake kwa wanaume naombeni msaada, ni siri gani mwanamke hawezi kusema hadi kaburini. Rafiki yangu wa kike, anayeishi Moshi, ambaye tumedumu kwenye uhusiano kwa miaka 2, katika maongezi nilimuuliza ni jambo gani hawezi kulisahau akasema kuna mtu hawezi kumsamehe kwa kuwa alimfanyia kitendo kibaya. Nimembembeleza aniambie ni kitu gani na nani alimtendea lakini amegoma katu. Nahisi huenda alibakwa. Je, ni jambo gani mwanamke hawezi kulisema?
Nimekosa amani kufikia kumchukia jamaa ambaye simfahamu wala sijui alimtendea nini.
Sioni ni kitu gani mwanamke anaweza asikwambie, ni suala la muda tu ila usilazimishe saana mpk ukajikuta unaonesha hasira kwa jambo ambalo hulijui. Nakumbuka mi x wangu alikuwa rafiki yangu sana kiasi kwamba akawa ananiambia mambo mengi sana mazito na mojawapo ni la kubakwa akiwa mdogo na houseboy wao....na hili jambo ni siri ndani ya family yao
Labda akiwa ameenda kwa mganga kukuroga, na hata hili pia siku ukimzunguka zunguka basi atakwambia ukweli wote na kukuomba msamaha.
Kukubambikia mtoto. Hapo kijana mpaka wakutatulie wataalam wa DNA.
We bodaboda mbili tu...mmi nikiwapanga foleni kutoka ubungo mataa wanafika Msata
We bodaboda mbili tu...mmi nikiwapanga foleni kutoka ubungo mataa wanafika Msata