Siri gani mwanamke hawezi kusema mpaka kaburini?

Siri gani mwanamke hawezi kusema mpaka kaburini?

DNA mara nyingi watakudanganya tu kwani watu wa ustawi wa jamii hawapendi kuona mvurugano kwenye ndoa au wakisema baba yake si yule aliyepima mtoto anaweza akakosa matunzo.

Hayo ni mawazo duni na kutowaamini wana sayansi wetu.
 
Wewe usiendekeze mambo ya wanawake, take it from me! Hukawii kumsikia anakuambia ooh huyo mtu aliniharibia zipu ya handbag yangu! Women can be really strange nkt!

Hahah,,kwel kwa stail hyo u can be really strange asee! Ila usemalo ni kwel kabisa
 
Hakuna kitu ambacho hakiwezi kusemwa na sioni sababu ya hicho kitu kutokusemwa.
Watu wamesema hadi kwamba mfalme ana masikio makubwa kama ya punda, sembuse hiyo tu ya kuliwa tigo sijui kubambika mtoto...
 
DNA mara nyingi watakudanganya tu kwani watu wa ustawi wa jamii hawapendi kuona mvurugano kwenye ndoa au wakisema baba yake si yule aliyepima mtoto anaweza akakosa matunzo.
Sasa wanamaana gani kuwa na kipimo cha DNA?
 
kaka bata ukimchunguza sana hutaweza kumla kila mwanamke kama umemuoa au utayemuoa jua ana madudu yake i think its not worth trying to find out!!! hujajiuliza kwa nn watu waliokulia mtaa mmoja huwez kuta wameoana? mara nyingi kila mtu anaoa au kuolewa na mtu wa sehem tofauti kabisa na mitaa uliyokulia kwa sababu kila mdada ana idadi yake ya kutosha tu ya wanaume aliokua nao au alishawai pigwa mtungo au mostly alikua na kijamaa cha ajabu may b enzi izo uyo jamaa alikua poa ila baadae akaja kuchoka, hawez kukwambai haya hadi anakufa au jamaa aliyemtoa bikra nk sasa ww muoaji kuanza kujua du hata huyu jamaa alikua anampumulia mkeo noma!!!

kwa kifupi its not worth digging her past unajitafutia presha za bure hasa kwa wanawake wa cku izi majority tunaoa tayari ni mitumba (hawana bikra).
 
Aliacha na boy wake wa kwanza aliye mtoa bk.....
 
Wana MMU,

Wanawake kwa wanaume naombeni msaada, ni siri gani mwanamke hawezi kusema hadi kaburini. Rafiki yangu wa kike, anayeishi Moshi, ambaye tumedumu kwenye uhusiano kwa miaka 2, katika maongezi nilimuuliza ni jambo gani hawezi kulisahau akasema kuna mtu hawezi kumsamehe kwa kuwa alimfanyia kitendo kibaya. Nimembembeleza aniambie ni kitu gani na nani alimtendea lakini amegoma katu. Nahisi huenda alibakwa. Je, ni jambo gani mwanamke hawezi kulisema?

Nimekosa amani kufikia kumchukia jamaa ambaye simfahamu wala sijui alimtendea nini.
Hapo sijui unataka kujua nini maana ashakwambia sasa ukishajua itakusaidia nini??
 
Mhhhhhh mbonaa mi hua sipunguzi idadii yaan najaza boda boda mbili tuuuuu!!

Nasikia wewe umri miaka 29 lakini uliotembea nao unajaza hiace level seat watu 16 na kwenu unaheshika sana kuwa mwanamke aliyetulia na familia imeomba ufanywe mtakatifu sasa najiuliza wanaume 16 at age of 29 na ufanywe mchakato wa kuwa mtakatifu na waliobaki wengine wakoje? lol
 
Wewe usiendekeze mambo ya wanawake, take it from me! Hukawii kumsikia anakuambia ooh huyo mtu aliniharibia zipu ya handbag yangu! Women can be really strange nkt!

Pia migogoro mingi ya wanawake kwa wanawake ni kuwa makini utakuta anakwambia yule dada si mpendi kama nini ukiuliza sababu za msingi hazipo na maelezo hayaeleweki fungua macho utakuta walichukuliana mabwana. Pia hii ya kusema yule kaka ana mashauzi kweli simpendi na maringo yake angekuwa mwanamke yule sijui ingekuwaje hapa napo ni kuangalia sana utakuta jamaa alisha tembea naye akamtosa chuki ya kutoswa inapelekwa na kwako muwe timu dhidi ya mme mwenza. Pia anaweza kuwa anatembea naye akiwa na wewe wanajifanya hawajuani na anamchukia jamaa kumbe ndio hukulia mkeo au demu wako pale bar au club wanakuwa wanaongea kwa signals. ukienda kudance,ukienda msalani yanapigwa maongezi ya chapchap
 
Nasikia wewe umri miaka 29 lakini uliotembea nao unajaza hiace level seat watu 16 na kwenu unaheshika sana kuwa mwanamke aliyetulia na familia imeomba ufanywe mtakatifu sasa najiuliza wanaume 16 at age of 29 na ufanywe mchakato wa kuwa mtakatifu na waliobaki wengine wakoje? lol

Hahhhahhha aisee 16 idadi ya Kim Kardashian hiyo lol,we mbona unajazaa Kile kivuko cha kigamboni mi sisemiii nimeuchunaa tu, kwa hiyo 16 lazima mtu apwayee etii nomaa sanaaaa
 
Umesha sema jambo la siri itakuwaje tena waseme hapa wakati ni siri, unampango wa kujua siri zao??
 
Back
Top Bottom