Siri gani mwanamke hawezi kusema mpaka kaburini?

Siri gani mwanamke hawezi kusema mpaka kaburini?

Sasa unafikiri kwa michango ya wana MMU ndio utajua kilichomsibu?
Yeye tu ndio wa kukwambia.
 
kwamba one day alilewa chakali wahuni wakampiga kolabo hii hawezi kusema mpaka kufa
 
Wana MMU,

Wanawake kwa wanaume naombeni msaada, ni siri gani mwanamke hawezi kusema hadi kaburini. Rafiki yangu wa kike, anayeishi Moshi, ambaye tumedumu kwenye uhusiano kwa miaka 2, katika maongezi nilimuuliza ni jambo gani hawezi kulisahau akasema kuna mtu hawezi kumsamehe kwa kuwa alimfanyia kitendo kibaya. Nimembembeleza aniambie ni kitu gani na nani alimtendea lakini amegoma katu. Nahisi huenda alibakwa. Je, ni jambo gani mwanamke hawezi kulisema?

Nimekosa amani kufikia kumchukia jamaa ambaye simfahamu wala sijui alimtendea nini.

huyo mtu ni wewe, na hicho kitu ulichomtendea lazima atakulipa.
 
duh,kuna mambo huwezi kusema,yanaweza kuleta madhara makubwa katika mahusiano au ndoa,tena husemi hata kwa shoga wala ndugu,wala jamaa,wala jirani wala rafiki,its a deep and trully secret
 
We unaangalia kupima tu je kama mtoto siyo wakohafu mama yake hajui baba wa mtoto alipo au uchumi wake hamfanyi aweze kutunza mtoto hujui kuwa itakula kwako wataalam watasema ni wako kumbe siyo.

Sasa wanamaana gani kuwa na kipimo cha DNA?
 
hapo suala siyo wanasayansi wanasosholojia ndo kazi zao kuchakachua majibu ili mtoto au ndoa isivurugike maana daktari kabla hajakupeni majibu lazima aombe ushauri wa wataalam wa ustawi wa jamii.

Hayo ni mawazo duni na kutowaamini wana sayansi wetu.
 
Back
Top Bottom