Siri gani mwanamke hawezi kusema mpaka kaburini?

Siri gani mwanamke hawezi kusema mpaka kaburini?

Wewe usiendekeze mambo ya wanawake, take it from me! Hukawii kumsikia anakuambia ooh huyo mtu aliniharibia zipu ya handbag yangu! Women can be really strange nkt!

Hahahahahahaha, umenichekesha sana.
 
Kukuambia kama yeye ni mchawi mpaka siku utagundua mwenyewe.
 
Atakuwa anakudanganya kila siku hadi ushike adabu
 
Pagumu hapo. Ila wake kwa waume kuna siri katu hazisemwi mtu unaingia nazo kaburini.
 
Kutembea nje ya ndoa, kuzaa nje ya ndoa, kutembea na rafiki wa bwana, kupigwa mande na kukutajia idadi ya wanaume aliolala nao mara nyingi atapunguza idadi

hapo idadi ya mabwana lazima udanganywe,mimi mwenyewe nimejaza youtong kitambi sana ila wa sasa anajua yeye wa 5 tuu
 
Mwanamke atakuambia yote isipokua kuliwa tigo na kufanya mapenzi na shemeji yake.
 
Kama ni kufanana tu, mtoto ni photocopy ya jamaa, nilitaka niconfirm kwa DNA.
Kawaida mimi enzi hizo nachepuka nilipozaa na binti fulani niliwatuma shangazi zangu na mama wakamcheki wakakuta kitu photocopy na ukoo wetu, we kama unaamini DNA za kwenda kupima utachemka maana mama mtu akikomaa utapewa tu. CHa muhimu watume ndugu zako wa kike wakamchunguze.
 
Katika hili siri ni siri ya mtu,unaweza ambiwa kitu mtu anaita siri ukaona ni cha kawaida lkn mtu anaweza kukwambia jambo we ukaona ni siri kumbe kwake ni la kawaida.hivyo mi naona siri inategemeana na mwenye nayo anaona ina uzito gani.
Hapo unaweza kuumiza kichwa na siku moja ukaambiwa kitu cha ajabu ukashangaa.
 
Wana MMU,

Wanawake kwa wanaume naombeni msaada, ni siri gani mwanamke hawezi kusema hadi kaburini. Rafiki yangu wa kike, anayeishi Moshi, ambaye tumedumu kwenye uhusiano kwa miaka 2, katika maongezi nilimuuliza ni jambo gani hawezi kulisahau akasema kuna mtu hawezi kumsamehe kwa kuwa alimfanyia kitendo kibaya. Nimembembeleza aniambie ni kitu gani na nani alimtendea lakini amegoma katu. Nahisi huenda alibakwa. Je, ni jambo gani mwanamke hawezi kulisema?

Nimekosa amani kufikia kumchukia jamaa ambaye simfahamu wala sijui alimtendea nini.

Labda alimwamin mtu akampa zawadi ya kuutoa ujana wake kwa ahadi ya kumuoa, then akaingia
Mitini
 
Wanawake semeni, mnaweza kutunza siri kweli? Mkiwaamini mashoga wenzene mnawapa siri zote mkigombana tu siri zote HADHARANI.

Na wengine hutoa siri hata bila kugombana. Utakuta wqnapiga stori wakiishiwa tu hiyo lazima itolewe. Hatari sana.
 
kugegedana ndani ya ndoa ni noma, Malafyale. by the way vipi mafuriko yamepungua? lol

Ndiyo tumeanza kupata maiti na hadi jana tulikuwa tumefanikiwa kuzipata maiti 7 na dozens hasa wazee;watoto na akina Mama hawajukikani walipo!
Pia wale 2 walio anguka na mtumbwi pale Kiwira-Ibungu bado hatujawapata! Ni siku za huzuni ktk historia ya Kyela
 
Hamna siri wala nini hapo, huyo anavimeo vingi kiasi kwamba siku kinajulikana kimoja anakwambia si unakumbuka kuna kitu nilikua nakwambia sisemi? Ndio hicho, unafanyaje sasa.
 
Ndiyo tumeanza kupata maiti na hadi jana tulikuwa tumefanikiwa kuzipata maiti 7 na dozens hasa wazee;watoto na akina Mama hawajukikani walipo!
Pia wale 2 walio anguka na mtumbwi pale Kiwira-Ibungu bado hatujawapata! Ni siku za huzuni ktk historia ya Kyela
poleni sana Malafyale. Butolwe bwitu twesa!
 
Back
Top Bottom