jike la simba
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 494
- 348
Bado tunahakikiHata mishahara siku hizi ni tarehe 40,yaani embu wataalam mtujuze wenzenu tunaangamia huku!
Bado tunahakikiHata mishahara siku hizi ni tarehe 40,yaani embu wataalam mtujuze wenzenu tunaangamia huku!
Watalaam tusadieni binafsi sifahamu undani wa namba hii ambayo tunaitumia sana mtaaniJe, ni nini siri ya namba arobaini(40)?
- Na mengine mengi yanayoihusu namba arobaini (40)
- Kipindi cha Musa wana wa Israeli walisafiri toka Misri kwa miaka arobaini(40).
- Kipindi cha Nuhu mvua ilinyesha siku arobaini(40).
- Yesu alifunga miaka siku(40).
- Goliati aliwapiga wana wa Israeli kwa siku arobaini (40) kabla hajauwawa na Daudi.
- Musa alipanda mlimani kupewa amri kumi za Mungu kwa siku arobaini(40).
- Mtu akifa kunakuwa na arobaini yaani siku arobaini baada ya kufa(40).
- Mtoto akizaliwa anatolewa nje baada ya siku arobaini(40).
- Hata mwizi zake ni arobaini(40)
Wale wataalamu wa kusoma namba naombeni msaada wenu kuhusu hii namba.
Cc: Mshana Jr
Namba 40 ni ni majaribio na ukamilifu wa jambo fulani, suala la sekunde, dakika, masaa, siku, wiki na miaka yote yana sadifu ukamilifu fulani. Mfano ukimtazama mtu kwa nukta 40 huwezi kumsahau hata ukikutana naye popote lazima akili yako itatambua kuwa ulikwisha kumuona.Je, ni nini siri ya namba arobaini(40)?
- Na mengine mengi yanayoihusu namba arobaini (40)
- Kipindi cha Musa wana wa Israeli walisafiri toka Misri kwa miaka arobaini(40).
- Kipindi cha Nuhu mvua ilinyesha siku arobaini(40).
- Yesu alifunga miaka siku(40).
- Goliati aliwapiga wana wa Israeli kwa siku arobaini (40) kabla hajauwawa na Daudi.
- Musa alipanda mlimani kupewa amri kumi za Mungu kwa siku arobaini(40).
- Mtu akifa kunakuwa na arobaini yaani siku arobaini baada ya kufa(40).
- Mtoto akizaliwa anatolewa nje baada ya siku arobaini(40).
- Hata mwizi zake ni arobaini(40)
Wale wataalamu wa kusoma namba naombeni msaada wenu kuhusu hii namba.
Cc: Mshana Jr
Mara saba = siku zote katika wiki,kila siku yakupasa kusamehe ndugu na jamaaNi lugha ya picha tu. hata ingesemwa siku tisa ungeuliza. Sasa mbona huuliizi kwa nini biblia maandiko yanasema msamehe ndugu yako mara saba wala si mara arubaini?
Tena yesu alisema msamehe ndugu yako saba mara sabini
SIJUI MZEE BABA
Siri gani ipo nyuma ya namba 40(arobaini)? - JamiiForumsUkipata muda nijibu(kwanini) Nuhu alitengeneza safina kwa muda wa miaka 40, Mvua ya Garika ilinyesha siku 40, Waisrael walikaa utumwani Misri kwa miaka 40. Pia Waisrael walisafiri Nyikani kwa muda wa Miaka 40, mnara wa Babeli ulijengwa kwa miaka 40, BWANA YESU KRISTO, alifunga kwa Siku 40, pia alipaa Mbinguni baada ya siku 40, Pasaka inaadhimishwa baada ya Siku 40. Hata watu wakifiwa, humaliza msiba kwa kuondoa matanga baada ya siku 40, pia watu husema za mwizi 40, hata mtoto hutolewa nje baada ya siku 40. "kwa nini ni 40?"
nachotaka tufahamishane kwa anayejua...
Israel walikaa utumwani Misri miaka 40?Ukipata muda nijibu(kwanini) Nuhu alitengeneza safina kwa muda wa miaka 40, Mvua ya Garika ilinyesha siku 40, Waisrael walikaa utumwani Misri kwa miaka 40. Pia Waisrael walisafiri Nyikani kwa muda wa Miaka 40, mnara wa Babeli ulijengwa kwa miaka 40, BWANA YESU KRISTO, alifunga kwa Siku 40, pia alipaa Mbinguni baada ya siku 40, Pasaka inaadhimishwa baada ya Siku 40. Hata watu wakifiwa, humaliza msiba kwa kuondoa matanga baada ya siku 40, pia watu husema za mwizi 40, hata mtoto hutolewa nje baada ya siku 40. "kwa nini ni 40?"
nachotaka tufahamishane kwa anayejua...
Waisraeli walikaa Misri kwa muda gani? Ile miaka 430 inayotajwa hapa inatia ndani wakati ambapo wana wa Israeli walikaa katika nchi ya Misri na katika nchi ya Kanaani. Abrahamu mwenye umri wa miaka 75 alivuka Mto Frati mwaka wa 1943 K.W.K. akielekea Kanaani. (Mwanzo 12:4) Kuanzia wakati huo hadi Yakobo mwenye umri wa miaka 130 alipoingia Misri, miaka 215 ilikuwa imepita. (Mwanzo 21:5; 25:26; 47:9) Hiyo inamaanisha kwamba baada ya hapo Waisraeli walikaa Misri kwa miaka mingine 215.Israel walikaa utumwani Misri miaka 40?