My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
Na ukifikisha miaka 40 hujafanikiwa maishani, ukifanikiwa baada ya hapo huwezi tena kufilisika
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ukifikisha miaka 40 hujafanikiwa maishani, ukifanikiwa baada ya hapo huwezi tena kufilisika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nyama ya ini ama kongosho?na mie hula nyama kilo 40.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]hata hapa kazini kwang mshahara tarehe 40
Hii #3 tuchague MIAKA au SIKU?Je, ni nini siri ya namba arobaini(40)?
- Na mengine mengi yanayoihusu namba arobaini (40)
- Kipindi cha Musa wana wa Israeli walisafiri toka Misri kwa miaka arobaini(40).
- Kipindi cha Nuhu mvua ilinyesha siku arobaini(40).
- Yesu alifunga miaka siku(40).
- Goliati aliwapiga wana wa Israeli kwa siku arobaini (40) kabla hajauwawa na Daudi.
- Musa alipanda mlimani kupewa amri kumi za Mungu kwa siku arobaini(40).
- Mtu akifa kunakuwa na arobaini yaani siku arobaini baada ya kufa(40).
- Mtoto akizaliwa anatolewa nje baada ya siku arobaini(40).
- Hata mwizi zake ni arobaini(40)
Wale wataalamu wa kusoma namba naombeni msaada wenu kuhusu hii namba.
Cc: Mshana Jr
mmmmh
Heshma kwenu wadau.
Nimekuwa nikijiuliza maswali meng ni kipi kilicho katika namba 40. Najiuliza hvo kwa kuwa inasadikiwa(sina uhakika) kuwa huwez kuwa rais wa tanzania hadi uwe na umri wa kuanzia miaka 40 na kuendelea
Pia, wazungu wana msemo wao wanasema LIFE STARTS AT 40, pia waislam wanaamini kuwa mtume muhammad(s.a.w.) alipewa utume akiwa na miaka 40,pia wakristo wanaamini bwana yesu alifunga bila kula chochote kwa siku 40
Mtu akifa zikipita siku 40 anafanyiwa kumbukumbu ya kumwombea dua,pia inasadikiwa mvua ya gharika enzi za nabii nuhu zilidumu kwa sku 40.
Mwana Jf hebu rusha events zinazohusisha namba 40 na utupe nini unaelewa katka hlo.
Nawasilisha