Siri gani ipo nyuma ya namba 40(arobaini)?

Siri gani ipo nyuma ya namba 40(arobaini)?

Nenda kule jukwaa la dini tafuta thread ina topic why 40?. Utapata majibu ya kutosheleza.
 
hata wewe pia hangaika na wake za watu ila za mwizi ni 40....
 
Honeymoon siku 40.!!!!!!!
Siku7 zenyewe tu ni nyingi .
Hapo umeenda chaka.
 
wanajf hili jambo ambalo linaisumbua kidogo juu ya hill suala la arobaini kwani mambo mengi wanahusisha siku arobaini nitakupeni mifano michache; ukitaka kufunga kidini hufunga kwa siku arobaini, mama akijifungua huanzakutombwa baada ya siku 40, mtoto akizaliwa huanza kutolewa nje baada ya siku 40, ukifiwa mama hukaa eda siku 40, honeymoon watu hukaa siku 40 na mengine mengi ila nisaidie penye arobaini inayohusisha mambo ya mapenzi huwa inamaana gani kwaanaejua nijuzen hapo.

Eda ya mama aliyefiwa sio siku 40,ni zaidi ya miezi mitatu.kwa dini yetu mfungo ni siku 30 sio 40,honey moon ya 40 ndo naijua leo hiyo ni kidini .au kiserikali maana mi nilikaa siku 7.
 
maswala ya kidini haya mkuu!
mfano Musa alisota kwenye jangwa kutokea misri kwa miaka 40,
Yesu alipaa mbinguni siku ya 40 baada ya kufufuka,
Yesu alifunga kwa siku 40, endelea na nyingine.........
 
Je, ni nini siri ya namba arobaini(40)?
  1. Kipindi cha Musa wana wa Israeli walisafiri toka Misri kwa miaka arobaini(40).
  2. Kipindi cha Nuhu mvua ilinyesha siku arobaini(40).
  3. Yesu alifunga miaka siku(40).
  4. Goliati aliwapiga wana wa Israeli kwa siku arobaini (40) kabla hajauwawa na Daudi.
  5. Musa alipanda mlimani kupewa amri kumi za Mungu kwa siku arobaini(40).
  6. Mtu akifa kunakuwa na arobaini yaani siku arobaini baada ya kufa(40).
  7. Mtoto akizaliwa anatolewa nje baada ya siku arobaini(40).
  8. Hata mwizi zake ni arobaini(40)
- Na mengine mengi yanayoihusu namba arobaini (40)

Wale wataalamu wa kusoma namba naombeni msaada wenu kuhusu hii namba.

Cc: Mshana Jr
 
Ni lugha ya picha tu. hata ingesemwa siku tisa ungeuliza. Sasa mbona huuliizi kwa nini biblia maandiko yanasema msamehe ndugu yako mara saba wala si mara arubaini?
Tena yesu alisema msamehe ndugu yako saba mara sabini
 
Namba 40 inamaanisha majaribio (probation or trial) haswa kutoka hali fulani ya maisha kwenda hali nyingine. Kama ulivyoseema kuwa Wayahudi walizurura jangwani miaka 40 hadi kufikia nchi waliyoahidiwa kutoka utumwani Misri, mama aliyejifungua hukaa ndani siku 40. Kitaalam mzazi anatakiwa apumzike takribani wiki 6 ili mwili wake urudie hali ya kawaida baada ya mabadilikomwili ya kipindi cha ujauzito
 
Ina maana kubwa ktk ulimwengu wa roho!..namba 7,namba8 na 40 ni namba za kipekee sana.Mungu kazitumia kila moja ina maana yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom