shatisuruali
JF-Expert Member
- Jul 28, 2016
- 966
- 3,050
Vyuo vingi pia sup ni chini ya 40
Kuna watu watafikiria huu uzi kwa masaa 40,,,Habarini wakuu. Kama kichwa cha uzi kinavyosema. Naomba mwenye ufahamu atufahamishe zaidi....
Karibuni.
Naomba kujua kwanini Nuhu alitengeneza safina kwa muda wa miaka 40, Mvua ya Garika ilinyesha siku 40, Waisrael walikaa utumwani Misri kwa miaka 40. Pia Waisrael walisafiri Nyikani kwa muda wa Miaka 40, mnara wa Babeli ulijengwa kwa miaka 40, BWANA
YESU KRISTO, alifunga kwa Siku 40, pia alipaa Mbinguni baada ya siku 40,
Pasaka inaadhimishwa baada ya Siku 40. Hata watu wakifiwa, humaliza msiba kwa kuondoa matanga baada ya siku 40, pia watu husema za mwizi 40, hata mtoto hutolewa nje baada ya siku 40. "kwa nini ni 40?"
Ukijua kwa nini vipindi vya darasani kuanzia chekechea vimepangwa kwa dakika 40 utaelewa. Hii ni elimu ndogo sana.Je, ni nini siri ya namba arobaini(40)?
- Na mengine mengi yanayoihusu namba arobaini (40)
- Kipindi cha Musa wana wa Israeli walisafiri toka Misri kwa miaka arobaini(40).
- Kipindi cha Nuhu mvua ilinyesha siku arobaini(40).
- Yesu alifunga miaka siku(40).
- Goliati aliwapiga wana wa Israeli kwa siku arobaini (40) kabla hajauwawa na Daudi.
- Musa alipanda mlimani kupewa amri kumi za Mungu kwa siku arobaini(40).
- Mtu akifa kunakuwa na arobaini yaani siku arobaini baada ya kufa(40).
- Mtoto akizaliwa anatolewa nje baada ya siku arobaini(40).
- Hata mwizi zake ni arobaini(40)
Wale wataalamu wa kusoma namba naombeni msaada wenu kuhusu hii namba.
Cc: Mshana Jr
Ndo nn sasa"Na hatukuumba mbingu na ardhi na vilivyomo kimchezo/kimzaha,tuliviumba kwa haki lakini watu wengi hawajui."