Siri gani ipo nyuma ya namba 40(arobaini)?

Siri gani ipo nyuma ya namba 40(arobaini)?

Of all the types and shadows
of the Old Testament, none is
as pervasive and important as
the shadows revealed in the
relationship between "forty,"
and the fulfillment of
promises.
The rains (in Noah's day)
fell for 40 days and nights
(Genesis 7:4).
Israel ate Manna for 40
years (Exodus 16:35).
Moses was with God in
the mount, 40 days and
nights (Exodus 24:18).
Moses was again with
God 40 days and 40 nights
(Exodus 34:28).
Moses led Israel from
Egypt at age 80 (2 times
40), and after 40 years in
the wilderness, died at 120
(3 times 40; Deuteronomy
34:7).
The spies searched the
land of Canaan for 40 days
(Numbers 13:25).
Therefore, God made
Israel wander for 40 years
(Numbers 14:33-34).
40 stripes was the
maximum whipping
penalty (Deuteronomy
25:3).
God allowed the land to
rest for 40 years (Judges
3:11).
God again allowed the
land to rest for 40 years
(Judges 5:31).
God again allowed the
land to rest for 40 years
(Judges 8:28).
Abdon (a judge in Israel)
had 40 sons (Judges
12:14).
Israel did evil; God gave
them to an enemy for 40
years (Judges 13:1).
Eli judged Israel for 40
years (1 Samuel 4:18).
Goliath presented
himself to Israel for 40
days (1 Samuel 17:16).
Saul reigned for 40 years
(Acts 13:21).
Ishbosheth (Saul's son)
was 40 when he began
reign (2 Samuel 2:10).
David reigned over Israel
for 40 years (2 Samuel 5:4,
1 Kings 2:11).
The holy place of the
temple was 40 cubits long
(1 Kings 6:17).
40 baths (measurement)
was size of lavers in
Temple (1 Kings 7:38).
The sockets of silver are
in groups of 40 (Exodus
26:19 & 21).
Solomon reigned same
length as his father; 40
years (1 Kings 11:42).
Elijah had one meal that
gave him strength 40 days
(1 Kings 19:8).
Ezekiel bore the iniquity
of the house of Judah for
40 days (Ezekiel 4:6).
Jehoash (Joash) reigned
40 years in Jerusalem (2
Kings 12:1).
Egypt to be laid desolate
for 40 years (Ezekiel
29:11-12).
Ezekiel's (symbolic)
temple is 40 cubits long
(Ezekiel 41:2).
The courts in Ezekiel's
temple were 40 cubits
long (Ezra 46:22).
God gave Nineveh 40
days to repent (Jonah 3:4).
Jesus fasted 40 days and
nights (Matthew 4:2).
Jesus was tempted 40
days (Luke 4:2, Mark 1:13).
Jesus remained on earth
40 days after resurrection
(Acts 1:3).
Women are pregnant for
40 weeks (time of testing).
The number forty is used by
God to represent a period of
testing or judgment (
 
Kutokana na elimu ya nyota
(Astronomy) imegundulika kuwa Sayari ya Venus hutengeneza umbo la pembe 5 usiku angani kila baada ya miaka (5*8=40)· Hujirudia katika umbo lake la kawaida (tufe) kila baada ya miaka 40 na huendelea hivyo kwa siku 40.

Wanajimu na wasomi (hasa wa dini) wakaamini na kutumia mabadiliko hayo ya Sayari ya Venus kama ni siku zenye ishara muhimu katika maisha ya binadamu.

Pia watabiri wengi wanatumia nyota kutabiria matukio muhimu duniani na ya watu.

Hivyo namba 40 inabaki kuwa namba ya maana ya kuashiria mabadiliko.
 
Samahani ni umbo la pembe 5 kila baada ya miaka 8, ambayo kimahesabu ni 40=5*8
 
Ni lugha ya picha tu. hata ingesemwa siku tisa ungeuliza. Sasa mbona huuliizi kwa nini biblia maandiko yanasema msamehe ndugu yako mara saba wala si mara arubaini?
Tena yesu alisema msamehe ndugu yako saba mara sabini

Ni kweli namba ni lugha ya picha ila 40 (kama nilivyofafanua) na 7 zina maana zaidi ya lugha ya picha.

Mwanzo wa namba 7 ni siri ya uumbaji wa Mungu wa dunia hii, sayari na viumbe vinavyoonekana na vizivyooneka kwa siku 6 na ya 7 akapumzika. Hivyo namba 7 hutumiwa na watafiti wataka kujua ukweli (truth seekers and thinkers). Namba 7 inaashiria kutambua kwamba hakuna kitu halisia kama kinavoonekana ila taswira katika ubongo wa binadamu. Namba 7 ni ya kiroho zaidi kuliko kidini. Inashiria kujiuliza maswali kama "maisha ni nini? Mimi ni nani? kwa nini nipo nilivyo? nk.
 
Na bila kusahau mitume wote Walipewa utume baada YA kufikisha umri wa miaka 40,kasoro nabii Issa (Yesu ). N.a. pia MTU anapofikisha miaka arobaini ndio anakuwa amepevuka
 
40 maana yake ni MUDA WA KUTOSHA Kama biblia ilivyosema kuhusiana na siku arubaini, miaka arobaini na n.k
 
kule JKT kuna kitu wanaita SIX WEEKS lakini actually ni siku arobaini 7x6 =42 inasemekana mwanajeshi anaiva kwa six weeks
 
"Na hatukuumba mbingu na ardhi na vilivyomo kimchezo/kimzaha,tuliviumba kwa haki lakini watu wengi hawajui."
 
Namba 40 inamaanisha majaribio (probation or trial) haswa kutoka hali fulani ya maisha kwenda hali nyingine. Kama ulivyoseema kuwa Wayahudi walizurura jangwani miaka 40 hadi kufikia nchi waliyoahidiwa kutoka utumwani Misri, mama aliyejifungua hukaa ndani siku 40. Kitaalam mzazi anatakiwa apumzike takribani wiki 6 ili mwili wake urudie hali ya kawaida baada ya mabadilikomwili ya kipindi cha ujauzito
yes ur right bro no 40 is the no testing in bible,
 
Habarini wakuu. Kama kichwa cha uzi kinavyosema. Naomba mwenye ufahamu atufahamishe zaidi....

Karibuni.

Naomba kujua kwanini Nuhu alitengeneza safina kwa muda wa miaka 40, Mvua ya Garika ilinyesha siku 40, Waisrael walikaa utumwani Misri kwa miaka 40. Pia Waisrael walisafiri Nyikani kwa muda wa Miaka 40, mnara wa Babeli ulijengwa kwa miaka 40, BWANA
YESU KRISTO, alifunga kwa Siku 40, pia alipaa Mbinguni baada ya siku 40,
Pasaka inaadhimishwa baada ya Siku 40. Hata watu wakifiwa, humaliza msiba kwa kuondoa matanga baada ya siku 40, pia watu husema za mwizi 40, hata mtoto hutolewa nje baada ya siku 40. "kwa nini ni 40?"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom