Sipo tayari kulea mimba kabla ya ndoa

Yaani mzabzab comments zako!!!! Kwa hiyo siku hizi wanawake mimba tunajiwekea wenyewe? Haya bwana.

kha!! wanawake hawa bana...sasa kwa kuwa umempa pete ya uchumba ndio anadaka mimba?
wee mbwage na mwambie hapa hamna tena ndoa maana mambi gani hayo ya kutegana...kwani ulimwambia wataka mtoto? make her pay kwa kumbwaga. wamezidi sana hawa wanawake kudaka mimba wakati njemba hajakwambia kuwa anataka mtoto
 
Last edited by a moderator:
we nae, mbona Feb sio mbali?? acha mawazo ya uuaji,
mtoto akizaliwa we mwenyewe utafurahia.
 
wewe hapa sio ubabe. it just stating the obvious jamanii!!! wewe sikiliza usiwe na jazba eti kwa sababu wewe mwanamke.
mimi sikatai kuwa mamikojo yake ndio yamembebesha mimba huyu mwaamke. the isssue hapa ni je mnamke na mwanaume wlikubaliana kuwa sasa tuzae? hyo hadithi ya kavu mbona ni makubaliano tuu bwana. having an procted sex is not a greenlight to u getting pregnant...its merely a natural desire to taste natures sweetest fruit in its fullest.ni lazima kuwe na makubaliano kati ya hao watu wawili kama wote wapo tayari kwa kueta mtoto kama vile kunavokuwa na makubaliano ya kufanya sex kavu kavu

Kama unajua vizuri mahusiano.Jibu swali langu kwanza NANI ANAHUSIKA KUHUSU KUPANGA UZAZI? Halafu tuendelee na hoja.
 
Napata tabu sana kukuelewa. Ni kwa nini unasema haupo tayari kulea mimba?
Habari zenu wakuu,
Leo naomba ushauri wenu.
Nina mchumba wangu ambaye nimeshamlipia mahari na tayari nimemvisha ya uchumba. Jana jioni aliniambia kuwa ni mjamzito na kuwa hiyo mimba ni yangu, kwa kuwa namwamini sina tatizo na hilo. Ila tatizo langu ni kuwa kwa sasa ssipo tayari kulea mimba hapo tutakapofunga ndoa. Tunategemea kufunga ndoa Feb 2013
Kwa kweli nipo njia panda na ninafikia hadi wakati namemwambia my fiancee kuwa aafanye abortion jaapo yeye anakataa.
Naombeni ushauri katika hili coz nimekosa raha kabisa. Na jambo la pili km nikifanya abortion je ni njia zipi salama za kufaanya jambo hili (japo naajua ni illega)
Naombeni ushauri wenu tafadhali
 
dhambi hii itakufuata daima na unawezakuja ona matokeo yake baadae sana. Tafadhali bora ukatubu moja ya kufanya mapenzi kabla ya ndoa kuliko kutubu mbili za kufanya mapenzi nje ya ndoa na KUUA. Damu ya kiumbe haipotei. Wapo watakaosema kuwa ni kizygote si kiumbe but si kina moyo unadunda? huo ni uhai.
 
Yaani mzabzab comments zako!!!! Kwa hiyo siku hizi wanawake mimba tunajiwekea wenyewe? Haya bwana.

nasemaaaaa hahahaha!!! mzima bi dada. loh!! na bora hamuwezi kujipa mimba wenye...mbona tusinge ona hizo mbunye zenu lol.
hapana bwana sio kwamba mwajiweka wenyewe mimba. mie nachokataa ni wanawake kutumia kugegedana bila kinga as sababu ya kubeba mimba. bwana wee subiri kidume kikuombe kuzaa na wewe ndio ushike mimba. the power is with u either kubeba au lah.

vipi jamaa haja beep tena ule mtandao? hahahah
 
Kama unajua vizuri mahusiano.Jibu swali langu kwanza NANI ANAHUSIKA KUHUSU KUPANGA UZAZI? Halafu tuendelee na hoja.

wanahusika mume na mke. na mia mama yangu aliniambiaga MWANAMKE NDIO MWENYE FINAL SAY KATIKA KUBEBA MIMBA AU LAH. KAMDEMU HATAKI MWANA UTASIMAMIA MBUNYE JUU YA KUCHA NA KUPIGA STYLE ZOTE LAKINI HAPATI MIMBA.

alafu mie nakushangaa wewe na wanwake wengine, mwisho wasiku anayeteseka 9 months ni wewe, utakaye tukanwa na nurse ni wewe sasa kw nini hujipe tabu yote hiyo kama janaume lenyewe bado halijakuweka ndani kama mke. be smart ladies ama mpaka na hilo ufundishwe huko mavyuoni
 
nilivyosoma post nilikutukana kimoyomoyo naomba unisamehe....
hivi wakati mnangonoka mpaka mnahisi utamu kupita mlikuwa mnawaza nini....

KHA WANAUME WENGINE VILAZA KWELI... NAMPA POLE HUYO MKEO MAANA ANAOLEWA NA MWANAUME KATILI ASIYE NA HURUMA HATA KWA DAMU YAKE MWENYEWE....

Mkuu wewe muache mwenzio alee mimba yake kwani aliyeibeba ni yeye wala sio wewe.... just imagine aitoe then apate tatizo la kupelekea kutolewa kizazi.... je upo tayari kuishi naye???? vp akifa pia utafurahi????

tumia akili sometime... kama humtaki ni bora umuache kuliko kumshauri atoe mimba!!!!!!!!
 
Habari zenu wakuu,
Leo naomba ushauri wenu.
Nina mchumba wangu ambaye nimeshamlipia mahari na tayari nimemvisha ya uchumba. Jana jioni aliniambia kuwa ni mjamzito na kuwa hiyo mimba ni yangu, kwa kuwa namwamini sina tatizo na hilo. Ila tatizo langu ni kuwa kwa sasa ssipo tayari kulea mimba hapo tutakapofunga ndoa. Tunategemea kufunga ndoa Feb 2013
Kwa kweli nipo njia panda na ninafikia hadi wakati namemwambia my fiancee kuwa aafanye abortion jaapo yeye anakataa.
Naombeni ushauri katika hili coz nimekosa raha kabisa. Na jambo la pili km nikifanya abortion je ni njia zipi salama za kufaanya jambo hili (japo naajua ni illega)
Naombeni ushauri wenu tafadhali

Hapo kwenye red kwanini haukuwa una tumia kinga,matokeo ya kutotumia kinga una jua ni nini? Na hapo inaonekana kuna kitu zaidi kinacho kufanya utake mchumba wako atoe mimba wala si hicho.

Hapo kwenye blue hivi kweli umefikiri kwa kina?hivi unajua madhara yake? Nawewe utakuwa wa kwanza kuja kusema mke wangu hashiki mimba.
Tulia chini ulee hiyo mimba kijana.

Nakushauri ulee mimba wala usijaribu kufanya arbotion kwani si nzuri.
 
nilivyosoma post nilikutukana kimoyomoyo naomba unisamehe....
hivi wakati mnangonoka mpaka mnahisi utamu kupita mlikuwa mnawaza nini....

KHA WANAUME WENGINE VILAZA KWELI... NAMPA POLE HUYO MKEO MAANA ANAOLEWA NA MWANAUME KATILI ASIYE NA HURUMA HATA KWA DAMU YAKE MWENYEWE....

Mkuu wewe muache mwenzio alee mimba yake kwani aliyeibeba ni yeye wala sio wewe.... just imagine aitoe then apate tatizo la kupelekea kutolewa kizazi.... je upo tayari kuishi naye???? vp akifa pia utafurahi????

tumia akili sometime... kama humtaki ni bora umuache kuliko kumshauri atoe mimba!!!!!!!!

huyu ni sifuri sijui anawaza kwa kutumia nini,very selfish anajiwaza mwenyewe 2,hajui hata yeye anawezapatwa na chochote asiwe na uwezo wa kumpa mimba mdada sijui ataliaje?
 
Tangu nimejiunga JF sijawahi kutana na topic ya ajabu kama hii, huyu jamaa sijui hata anawaza nini.GREAT THINKERS wameishatoa ushauri kazi kwako mleta mada.
 
Acha zinaa,maana kama hakuna mimba ni h.i.v.hivyo chagua moja kuacha zinaa ama ndoa ili uzae.
 
nilivyosoma post nilikutukana kimoyomoyo naomba unisamehe....
hivi wakati mnangonoka mpaka mnahisi utamu kupita mlikuwa mnawaza nini....

KHA WANAUME WENGINE VILAZA KWELI... NAMPA POLE HUYO MKEO MAANA ANAOLEWA NA MWANAUME KATILI ASIYE NA HURUMA HATA KWA DAMU YAKE MWENYEWE....

Mkuu wewe muache mwenzio alee mimba yake kwani aliyeibeba ni yeye wala sio wewe.... just imagine aitoe then apate tatizo la kupelekea kutolewa kizazi.... je upo tayari kuishi naye???? vp akifa pia utafurahi????

tumia akili sometime... kama humtaki ni bora umuache kuliko kumshauri atoe mimba!!!!!!!!

Inashangaza na kusikitisha mtu anaye karibia kuingia kwenye ndoa kutaka mwenza wake atoe mimba wakati wenzio kila leo wanatembea kila kanisa na kusugua magoti wanamuomba mungu awapatie japo mtoto mmoja lakini wengine wanawaza kuwatupa chooni.
 
Habari zenu wakuu,
Leo naomba ushauri wenu.
Nina mchumba wangu ambaye nimeshamlipia mahari na tayari nimemvisha ya uchumba. Jana jioni aliniambia kuwa ni mjamzito na kuwa hiyo mimba ni yangu, kwa kuwa namwamini sina tatizo na hilo. Ila tatizo langu ni kuwa kwa sasa ssipo tayari kulea mimba hapo tutakapofunga ndoa. Tunategemea kufunga ndoa Feb 2013
Kwa kweli nipo njia panda na ninafikia hadi wakati namemwambia my fiancee kuwa aafanye abortion jaapo yeye anakataa.
Naombeni ushauri katika hili coz nimekosa raha kabisa. Na jambo la pili km nikifanya abortion je ni njia zipi salama za kufaanya jambo hili (japo naajua ni illega)
Naombeni ushauri wenu tafadhali
Hakuna jitu jinga kama ww. Ulipokuwa unakojoa ulijua unakojoa chini?
 
Habari zenu wakuu,
Leo naomba ushauri wenu.
Nina mchumba wangu ambaye nimeshamlipia mahari na tayari nimemvisha ya uchumba. Jana jioni aliniambia kuwa ni mjamzito na kuwa hiyo mimba ni yangu, kwa kuwa namwamini sina tatizo na hilo. Ila tatizo langu ni kuwa kwa sasa ssipo tayari kulea mimba hapo tutakapofunga ndoa. Tunategemea kufunga ndoa Feb 2013
Kwa kweli nipo njia panda na ninafikia hadi wakati namemwambia my fiancee kuwa aafanye abortion jaapo yeye anakataa.
Naombeni ushauri katika hili coz nimekosa raha kabisa. Na jambo la pili km nikifanya abortion je ni njia zipi salama za kufaanya jambo hili (japo naajua ni illega)
Naombeni ushauri wenu tafadhali

Mimi nategemea kufunga ndoa feb kama wewe na mchumba wangu ni mjamzito.. Na ofcourse ni ujauzito wangu ILA.....

Nina furaha vibaya mnooooooooo!! Toa roho ya mauaji ndani yako. Utayari haupimwi na ndoa.............
 
wewe na jambazi anayevamia na kuua na bastola hamna tofauti wote wauaji, unajua kuwa wengine wanatafuta watoto wanalia kila inapoitwa leo? Mungu akusaidie kukufunua ufahamu wako ili ujue unachotaka kukifanya innawezekana kuna pepo amekuingia bila kujua kh
 
Back
Top Bottom