Sipo tayari kulea mimba kabla ya ndoa

Sipo tayari kulea mimba kabla ya ndoa

Hahaha. Nope sio lawyer, but I might consider a change in my career now 🙂

I think based on your admission of what men want ( raw sex, no strings attached/commitment unless they say so), and what women want (husband, family, commitment) you should be OK with the fact that she may have manipulated the situation to get pregnant. Unasema unaigiza ili uvuliwe chupi, na wadada wanapata mimba ili kupata commitment, au at least kupata wanachokitaka in the end. Some women are just playing the same game as you are, it's just the rules are slightly different. And I'm a firm believer of karma, so watch out usije ukabandikiza mtu mimba usiyoitaka! Otherwise you better hope you don't have any daughters, as those boys will play the same games you play.

lucky for me i dnt plan to have kids...want to enjoy my wife mwenyewe...nisijje muonea gele mtoto anafaidi nono ya my wife
 
Yaani usijaribu kabisa kutoa mimba utajajuta,ww jitahidi ufunge ndoa mapema.
 
Pumbafu zako! Yaani we ilifikiria nini? Umvue mtoto wa mwenzako! Hukutumia kinga afu leo unakuja sipo tayari! Koma kabisa! We sema hutaki kuoa ama unahisi hiyo mimba siyo yako! Wengine wana-shake well before use wewe unaleta mbwembwe hapa. Na hata akikubali hiyo abortion na je msipokuja kupata mtoto mwingine?
 
mkiabort mnaweza tengeneza guilty conscious ya maisha!halafu kuna siku mkilala yule mtoto atakuwa anaita baba mama mnaniua mnaniua!
 
Habari zenu wakuu,
Leo naomba ushauri wenu.
Nina mchumba wangu ambaye nimeshamlipia mahari na tayari nimemvisha ya uchumba. Jana jioni aliniambia kuwa ni mjamzito na kuwa hiyo mimba ni yangu, kwa kuwa namwamini sina tatizo na hilo. Ila tatizo langu ni kuwa kwa sasa ssipo tayari kulea mimba hapo tutakapofunga ndoa. Tunategemea kufunga ndoa Feb 2013
Kwa kweli nipo njia panda na ninafikia hadi wakati namemwambia my fiancee kuwa aafanye abortion jaapo yeye anakataa.
Naombeni ushauri katika hili coz nimekosa raha kabisa. Na jambo la pili km nikifanya abortion je ni njia zipi salama za kufaanya jambo hili (japo naajua ni illega)
Naombeni ushauri wenu tafadhali
unataka ushauriwe kwenda kuua?
kumbuka unaweza ukampoteza na huyo fiancee wako? kama vipi fanya mpango mfunge ndoa hata ya kimya kimya desemba na si kufikiria kuua..
hivi unafikiri kumwambia mwanamke aka-risk maisha yake 50% ni swala dogo? mara ngapi umesikia wasichana wanakufa au wanaugua mno kwa kufanya hiyo abortion?
hujui madhara yake pia inaweza kumsababishia asipate watoto tena maisha yake yote? kuwa makini..........
ingekuwa ni wewe unaambiwa ukafanye abortion ungekubali? au unadhani ni swala rahisi tu?
 
Jamani ndugu zangu nawashukuruni nyoote kwa uhauri wenu. Wengine wameongea kwa busara zao wengine kwa jazba lakini naamini wote lengo lao lilikuwa ni moja tu, (kutoa ushauri unaojenga).
Nimepitia maoni yote yaliyotolewa na nimeamua kulea mimba hiyo na ikiwezekana mwezi wa kwanza mwishoni nitafunga ndoa. Kwa mara nyingine ninawashukuruni nyote........... Ahsanteni sana great thinkers

Thanks
 
Kama umeamua kufunga ndoa umefanya jambo la maana sana ndugu yangu. Hata mimi nafaunga ndoa siku ya mwaka mpya.
Nakutakia kila heri katika maisha yako ya ndoa
 
Wewe ni kenge mpenda mayai kuku huli. Na ulaaniwe kwa kitendo hicho cha kutaka kutoa mimba. Au mgamga wako alikuambia utoe mimba ya kwanza utapata hela?? Nenda hospitali kitengo cha uzazi ulizia ni wangapi kwa sasa wanataka wapate mtoto wanakesha wakifanya lkn hawapati?? Hata angekuwa demu wa nje kwangu lzm azae na ulee.
 
Habari zenu wakuu,
Leo naomba ushauri wenu.
Nina mchumba wangu ambaye nimeshamlipia mahari na tayari nimemvisha ya uchumba. Jana jioni aliniambia kuwa ni mjamzito na kuwa hiyo mimba ni yangu, kwa kuwa namwamini sina tatizo na hilo. Ila tatizo langu ni kuwa kwa sasa ssipo tayari kulea mimba hapo tutakapofunga ndoa. Tunategemea kufunga ndoa Feb 2013
Kwa kweli nipo njia panda na ninafikia hadi wakati namemwambia my fiancee kuwa aafanye abortion jaapo yeye anakataa.
Naombeni ushauri katika hili coz nimekosa raha kabisa. Na jambo la pili km nikifanya abortion je ni njia zipi salama za kufaanya jambo hili (japo naajua ni illega)
Naombeni ushauri wenu tafadhali

UKIPANDA MBEGU KWENYE UDONGO WENYE RUTBA UKAPATA MAJI YA KUTOSHA UNATAZAMIA NINI?
1.Unania ya kumwaribia mwenzako maisha
2.Mnapo oana mnatazamia nini?
3.Unamapepo
4.Kwa kinywa chako umesema unamwamini
USHAURI:
1.VUNA ULICHOPANDA
2.KAMA UKO TAYARI UOMBEWE
3.Chunga neno la kinywa chako(Usiwe kigeugeu)
TAHADHARI:
1.UKIDHUBUTU KUMWACHA UKAOA MWINGINE HAKIKA UTALEA WASIOWAKO NDANI YA NDOA.
2.Mungu atakuharibia Maisha yako Twice as much kama ukimwacha.
 
Back
Top Bottom