Sipo tayari kulea mimba kabla ya ndoa

Sipo tayari kulea mimba kabla ya ndoa

Akili za mbuzi akipewa binadamu ndio madhara yake. Unazungumzia abortion as if ni kitu kidoooogo kama kuua inzi, pambaf wewe.

Wakati mnapandiana mlikuwa hamjui ....hapa ndio mnanionaga mbaya na hili jukwaa lenu la ki.... Hakyanani ungekuwa maeneo ya karibu yangu saa hizi nimeshakuvunja mguu mmoja ******* zako
 
Hivi kweli mleta mada mzima kweli wewe?Kimila mtu ukishamtolea mahari ni mke tayari.Pili sioni tofauti kubwa ya muda.Unasema unataka kufunga ndoa February,ni miezi 3 tu imebaki.Fikiri mara ya pili huo uamuzi wako,inaonekana wewe si baba mzuri.
 
wanahusika mume na mke. na mia mama yangu aliniambiaga MWANAMKE NDIO MWENYE FINAL SAY KATIKA KUBEBA MIMBA AU LAH. KAMDEMU HATAKI MWANA UTASIMAMIA MBUNYE JUU YA KUCHA NA KUPIGA STYLE ZOTE LAKINI HAPATI MIMBA.

alafu mie nakushangaa wewe na wanwake wengine, mwisho wasiku anayeteseka 9 months ni wewe, utakaye tukanwa na nurse ni wewe sasa kw nini hujipe tabu yote hiyo kama janaume lenyewe bado halijakuweka ndani kama mke. be smart ladies ama mpaka na hilo ufundishwe huko mavyuoni

Inavyoelekea mama yako kadhurika na mifumo dume ndo maana kakueleza hivyo.MAMA YAKO SIO KIELELEZO CHA UKWELI HAPA DUNIANI.Hivi unajua mimba inayozungumzwa humu ni unplanned pregnance? Sio ya kutegesheana kaka.Ndo maana hubby wng nampa credit ananisaidia kuzijua days zangu utafikili nae anableed.
 
kweli kabisa hii ni unplanned maana ni mtu mmoja tuu ndio alikuwa anataka kupata mimba. wapo watu wangapi hapa hapa duniani wanagegedana kavu kvu na hawapati mimba bwana wewe? mbonamie nilishakuwa n demu kavu tumepiga kwa miaka miwili na hajapata mimba....tena yeye alikuwa mstari wa mbele kuhakikisha kuwa no mimba...simply becoz alikuwa smart na kunielewa pale nilipo mwambia sitaki mtoto kwa sasa ila utamu nataka. sasa wewe endela kubisha na mijamaa mtaani watazidi pachika mimba na wanawake kutesek baada y mijamaa kusepa.

furthermore, inaonyesha kuwa huyo mwanadada ni mbinafsi. wewe kama kweli unamtakia mtoto wake mema basi utajua kabisa kuwa baba ni shemu mihimu katika maisha ya mtoto. ni vyema umshirikishe mwanaume toka mwanzo ili kweli ajue kuwa anajiingizakwenye nini. sasa utaishia kumkatili mtoto wako mapenzi ya baba just becoz.... oh si alinitom.ba peku alitegemea nini? well alitegemea atakugegeda peku na kuenjoy ...not to be raising a bby 9 months later !!
 
binywa ..pole sana. Hayo ni matunda ya kazi mliyofanya wewe na mtarajiwa wako, hivyo mnapaswa kuyakubali na sio kutafuta shortcut. Binafs sikushauri mtoe huo ujauzito, tena mtake radhi mchumba ako ati.
-kutoa mimba ni dhambi
-kuna athari nyingi za kutoa mimba kufa, kutokupata tena mtoto badae n.k.
-by the way kama umeshalipa mahari uko kwenye hatua nzuri, na kama mmepanga kufunga harusi feb 2013 mbona inafungika kabisaa ... as it seems like hyo mimba bado ni changa.
 
You are sick and you don't deserve to marry that lady! That's all I can say.
 
Habari zenu wakuu,
Leo naomba ushauri wenu.
Nina mchumba wangu ambaye nimeshamlipia mahari na tayari nimemvisha ya uchumba. Jana jioni aliniambia kuwa ni mjamzito na kuwa hiyo mimba ni yangu, kwa kuwa namwamini sina tatizo na hilo. Ila tatizo langu ni kuwa kwa sasa ssipo tayari kulea mimba hapo tutakapofunga ndoa. Tunategemea kufunga ndoa Feb 2013
Kwa kweli nipo njia panda na ninafikia hadi wakati namemwambia my fiancee kuwa aafanye abortion jaapo yeye anakataa.
Naombeni ushauri katika hili coz nimekosa raha kabisa. Na jambo la pili km nikifanya abortion je ni njia zipi salama za kufaanya jambo hili (japo naajua ni illega)
Naombeni ushauri wenu tafadhali

Jichukulie wewe ndo hicho kichanga upo tumboni mwa mama yako.na baba yako anataka akuchinjie mbali Ungejisikiaje?
Katubu dhambi ya kutaka kuuwa kiumbe ulichobarikiwa na Mungu Kuna watu wanakesha wanalilia watoto.Ya pili katumbu dhambi ya kuzini kabla ya ndoa.
Huna Mamlaka ya kukatisha uhai wa kiumbe chochote.
 
Habari zenu wakuu,
Leo naomba ushauri wenu.
Nina mchumba wangu ambaye nimeshamlipia mahari na tayari nimemvisha ya uchumba. Jana jioni aliniambia kuwa ni mjamzito na kuwa hiyo mimba ni yangu, kwa kuwa namwamini sina tatizo na hilo. Ila tatizo langu ni kuwa kwa sasa ssipo tayari kulea mimba hapo tutakapofunga ndoa. Tunategemea kufunga ndoa Feb 2013
Kwa kweli nipo njia panda na ninafikia hadi wakati namemwambia my fiancee kuwa aafanye abortion jaapo yeye anakataa.
Naombeni ushauri katika hili coz nimekosa raha kabisa. Na jambo la pili km nikifanya abortion je ni njia zipi salama za kufaanya jambo hili (japo naajua ni illega)
Naombeni ushauri wenu tafadhali

Hakuna kufanya abortion, why umuue kiumbe ambaye ni innocent??? kwani wakati mnafanya ngono nzembe hamkujua madhara yake??? Acha mambo hayo,kama mimba ni ya kwako kwa nini uikatae?Damu yako mwenyewe unaikana unless kama huyo mchumba wako si mwaminifu bt kama ni mwaminifu subiri ajifungue ndipo mfunge ndoa!!!!!!
 
Habari zenu wakuu,
Leo naomba ushauri wenu.
Nina mchumba wangu ambaye nimeshamlipia mahari na tayari nimemvisha ya uchumba. Jana jioni aliniambia kuwa ni mjamzito na kuwa hiyo mimba ni yangu, kwa kuwa namwamini sina tatizo na hilo. Ila tatizo langu ni kuwa kwa sasa ssipo tayari kulea mimba hapo tutakapofunga ndoa. Tunategemea kufunga ndoa Feb 2013
Kwa kweli nipo njia panda na ninafikia hadi wakati namemwambia my fiancee kuwa aafanye abortion jaapo yeye anakataa.
Naombeni ushauri katika hili coz nimekosa raha kabisa. Na jambo la pili km nikifanya abortion je ni njia zipi salama za kufaanya jambo hili (japo naajua ni illega)
Naombeni ushauri wenu tafadhali

Pole sana na tatizo hilo, naomba niletee nitamlea na akizaliwa mtoto usimfuate...
 
Wewe ni binadamu wa dunia ya ngapi? Wewe ulifurahia kuchovya tu lakini matokeo yake hutaki kuwajibika? JE WEWE UNAWEZA KUJIITA MWANAUME WA UKWELI? na kama ulijua yatatokea hayo na hutaki kuwajibika ni kwanini USITUMIE DUME.Mwisho kabisa mwombe mungu akuondolee huyo pepo wa kumshauri mwenzako akatoe mimba. WAJIBIKA KWA KILICHOTOKEA.
 
kama ulijua hutaki kulea mimba kwa nini unangonoka bila kondom? watu wengine bwana ati sitaki kulea sipo tayari kulea mimba. hoooohhh unataka binti wa watu akachokonolewe afu aje akose kuzaa muanze kumsema na dada zako kuwa anajaza choo, ungeacha kudindisha kila unapomwona.
 
alipata baada ya wote wawii kukubaliana kucheza mechi kavu...sasa kwa nini wasingekubaliana kuwa tuzae au lah!! mwanamke sio wadaka mimba tuu kama mwanaume ajaongelea hilo suala....uateseka wewe miezi 9 na matusi huko hospital na jamaa anasepa tuu
wewe mzabzab nina mashaka na akili zako
 
Una wazimu eh! Kama hukuwa tayari kulea mimba kwa nini ulikuwa unafanya kavukavu? hujui madhara yake? Mtu mzima hovyooo!
 
Habari zenu wakuu,
Leo naomba ushauri wenu.
Nina mchumba wangu ambaye nimeshamlipia mahari na tayari nimemvisha ya uchumba. Jana jioni aliniambia kuwa ni mjamzito na kuwa hiyo mimba ni yangu, kwa kuwa namwamini sina tatizo na hilo. Ila tatizo langu ni kuwa kwa sasa ssipo tayari kulea mimba hapo tutakapofunga ndoa. Tunategemea kufunga ndoa Feb 2013
Kwa kweli nipo njia panda na ninafikia hadi wakati namemwambia my fiancee kuwa aafanye abortion jaapo yeye anakataa.
Naombeni ushauri katika hili coz nimekosa raha kabisa. Na jambo la pili km nikifanya abortion je ni njia zipi salama za kufaanya jambo hili (japo naajua ni illega)
Naombeni ushauri wenu tafadhali

Kungekuwa hakuna BAN ningekurushia konde moja ambalo ungekunywa maji ya bahari kabisa kwa kiu kikali!! Yaani wewe una mchumba na umempa mimba na Feb is just around the corner unataka aitoe!! You are not serious!! Mtoto wa kwanza kwa taarifa yako ni alama kubwa sana kwako!!! Usithubutu ku-temper naye!!! Mshukuru Mungu una uzazi, wanaume wenzio ni mufilisi wanatamani hata wapate hata awe kiwete but awasafishe jina!!! Muombe Mod afute hii thread maana unakufuru!
 
wewe mzabzab nina mashaka na akili zako

nyie wanawake ndio mnakuwa wakwanza kujitetea kuwa oh hatuwezi kutoa sex hovyo hovyo coz we got alot to lose, pregnancy, hiv, kumegwa na kuachwa...sasa kwa nini msitumia busara hiyo hiyo inapokuja suala la kusex kavu kavu?
 
Adjust your schedule!!! Kwani ulikuwa huna mpango wa kuzaa na mkeo? ulivokuwa unatembea nae ulitegemea nini? Yaani February is in 3 months huwezi subiri? Ukimtoa mimba ashindwe kuzaa tena in the future ndio utauona ujinga wako. Usije ukamtoa roho wakati wa hiyo abortion. Leave your fiancé and your child alone!
Habari zenu wakuu,
Leo naomba ushauri wenu.
Nina mchumba wangu ambaye nimeshamlipia mahari na tayari nimemvisha ya uchumba. Jana jioni aliniambia kuwa ni mjamzito na kuwa hiyo mimba ni yangu, kwa kuwa namwamini sina tatizo na hilo. Ila tatizo langu ni kuwa kwa sasa ssipo tayari kulea mimba hapo tutakapofunga ndoa. Tunategemea kufunga ndoa Feb 2013
Kwa kweli nipo njia panda na ninafikia hadi wakati namemwambia my fiancee kuwa aafanye abortion jaapo yeye anakataa.
Naombeni ushauri katika hili coz nimekosa raha kabisa. Na jambo la pili km nikifanya abortion je ni njia zipi salama za kufaanya jambo hili (japo naajua ni illega)
Naombeni ushauri wenu tafadhali
 
Birth control is the responsibility of both partners, not one. if he didn't wear a condom or keep track of her cycle then they are both responsible for the outcome. A woman can be a responsible adult and use different methods to avoid pregnancy, and so can a man, but if pregnancy occurs they are both "to blame".

Back
Top Bottom