Duh. Nimeshangaa kweli, mimi ninatamani japo mimba ya kusingiziwa wewe unapata bahati halafu unajifanya kuwa
Bize? Kweli wanadamu hatuna jema. Nakushauri usiitoe hiyo mimba bali uilee. Najua kinachokufunga ni aibu kua
Watu watakuonaje lakn mwisho wa cku hayo ni maisha yako ww binafsi. Lea mimba na fungeni ndoa as soon as possible
kha!! wanawake hawa bana...sasa kwa kuwa umempa pete ya uchumba ndio anadaka mimba?
wee mbwage na mwambie hapa hamna tena ndoa maana mambi gani hayo ya kutegana...kwani ulimwambia wataka mtoto? make her pay kwa kumbwaga. wamezidi sana hawa wanawake kudaka mimba wakati njemba hajakwambia kuwa anataka mtoto
Wakati yeye anachomeka huo mti wake kavu alifikiri nini?
kitendo cha wewe njema kufanya mapenzi kavukavu maana yake ushakubali matokeo eiza mimba au VIRUSI ,haina haja ya kuuliza hapo,alllaaaaaaaaaaaaaa,ambwage aone raha ya mwanawe kulelelewa na wanaume wenzie ye atafute mwingine amjaze mimba responsibo men walee
We vipi kwani hiyo mimba aliipata kwa njia ya hewa?
Habari zenu wakuu,
Leo naomba ushauri wenu.
Nina mchumba wangu ambaye nimeshamlipia mahari na tayari nimemvisha ya uchumba. Jana jioni aliniambia kuwa ni mjamzito na kuwa hiyo mimba ni yangu, kwa kuwa namwamini sina tatizo na hilo. Ila tatizo langu ni kuwa kwa sasa ssipo tayari kulea mimba hapo tutakapofunga ndoa. Tunategemea kufunga ndoa Feb 2013
Kwa kweli nipo njia panda na ninafikia hadi wakati namemwambia my fiancee kuwa aafanye abortion jaapo yeye anakataa.
Naombeni ushauri katika hili coz nimekosa raha kabisa. Na jambo la pili km nikifanya abortion je ni njia zipi salama za kufaanya jambo hili (japo naajua ni illega)
Naombeni ushauri wenu tafadhali
Aaa dogo umenifuraisha sana kwa ushauri mulua, lkn gamboshi unapajua weye?
alipata baada ya wote wawii kukubaliana kucheza mechi kavu...sasa kwa nini wasingekubaliana kuwa tuzae au lah!! mwanamke sio wadaka mimba tuu kama mwanaume ajaongelea hilo suala....uateseka wewe miezi 9 na matusi huko hospital na jamaa anasepa tuu
Wajibu wa kuzuia mimba ni pande zote mbili kwa sababi bila hayo mamikojo yake mimba ingeingia alafu unaonekana unaaminia ubabe kwenye maisha yako kuliko AKILI NA BUSARA.