Sipigii kura mlima Kilimanjaro

MLIMA Kilimanjaro uliopo nchini na ambao ni mrefu kupita yote barani Afrika, umetupwa nje ya orodha ya Maajabu Saba mapya ya dunia yaliyotangazwa juzi usiku.

Kuna wajanja walianza kujitajirisha nao.

Aisee haufikii furaha niliyo nayo. Yaani huu mlima badala ya kunufaisha wenyeji umekuwa ukinufaisha washenzi wa tanapa na magogoni. Hadi Tuya-gadafi haya mafisi yalioko madarakani ndipo tutaupigia kura ushinde. Safi sana watz kwa kukataa utapeli wa Pinda & Co.
 
Huu ulikua utapeli tu,
haiitaji mambo ya kupigiana kura kujua kua jambo Fulani la ajabu au lah.
Akizaliwa mtoto bila kichwa ni jambo la ajabu tu, kura zitatumika vipi Tena hapo Kama sio kuingizana mjini???!!!!
 
ndo hapo sasa....hata mi sikuelewa kura ni za nini km ni cha ajabu si kinaonekana tu?labda wanielimishe
 
Back
Top Bottom