Sipigii kura mlima Kilimanjaro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sipigii kura mlima Kilimanjaro

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by hubby, Nov 8, 2011.

 1. h

  hubby Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakuu habar.
  muda mref hawa wanaharakat fek wananichefua sana, eti tupige kura, tuwape chakula. wahunituu. rasilimali ngapi hatujatumia? madini, mbuga, ardh.....mpaka tunatukanwa na cameroon. bulsht, sipigi kura mimi....
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,515
  Likes Received: 19,933
  Trophy Points: 280
  hasira za mkizi hizo...
   
 3. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  dah! haya mwana wane.Nalog off
   
 4. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  mh! Mi cjui napita tuu
   
 5. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  acha kupiga...siyo muhimu kihivyo, mafisadi wanaotumia hela za nji wapige ili waendelee kuzitafuna hizo hela sifa ikishapanda!!!
   
 6. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Yani wewe ndio masaburi tena mwingereza kwa ufisadi wa nchi hii kuwa mzalendo ngumu nani afanye kazi ya kumpaka kobe polish.
   
 7. h

  hubby Member

  #7
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndio nimeamua mkuu. ningekuwa mtaalam wa IT ningehack na kuvuruga kabisa hiyo sstm
   
 8. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #8
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Nikupe soft w yake.
   
 9. h

  hubby Member

  #9
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nitumie kaka, usisahau user mannual
   
 10. Vato

  Vato JF-Expert Member

  #10
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  ..acheni kumponda, ana express mawazo yake na mawazo ya kundi kubwa la watu wenye mawazo kama yake na mimi nikiwa mmoja wapo...tumieni nguvu ya hoja ku justify ni kwa kiasi gani Mlima Kilimanjaro unamsaidia, na ni kwa kiasi gani kwa kuupigia kura tija hyo itaongezeka na kuboresha maisha yake na ya watanzania wengne wa kawaida.
   
 11. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #11
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Akili za mbayuwayu changanya na zako
   
 12. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #12
  Nov 8, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 935
  Trophy Points: 280
  Pamoja sana! muda mrefu niimekuwa kinyume na hawa jamaa. ukishakuwa 7th wonder of the world halafu ndo iwe nini? mimi nimezaliwa kwenye mteremko wa huo mlima, sijaona tofauti yoyote na mzaliwa wa nanjilinji! sipigi kura!
   
 13. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #13
  Nov 8, 2011
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  duh.....hii kweli kali.
   
 14. Pdraze

  Pdraze JF-Expert Member

  #14
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,515
  Likes Received: 19,933
  Trophy Points: 280
  mnawasusia mateja madawa ya kulevya
   
 16. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #16
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Kesho ngoja niende fish mobile ntakutumia code zake mkuu.
   
 17. Vato

  Vato JF-Expert Member

  #17
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  hatuwasusii!! Tunakata Supply Chain ya madawa ya kulevya..unapopga kura, unaendelea kusupply poda kwa mateja na kuendelea ku make things worse kwako na kwao..sasa tunakata supply ili waende arosto, na ikiwezekana wafe.
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Afadhali kuwasusia wabwie mpaka wafe then tuanze upya.
   
 19. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #19
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Karibu sana bia mkuu jackies hapa. Point sana kaka.
   
 20. MAYOO

  MAYOO JF-Expert Member

  #20
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Naunga mkono hoja, sipigi kura
   
Loading...