Sipigii kura mlima Kilimanjaro

Sipigii kura mlima Kilimanjaro

wakuu habar.
muda mref hawa wanaharakat fek wananichefua sana, eti tupige kura, tuwape chakula. wahunituu. rasilimali ngapi hatujatumia? madini, mbuga, ardh.....mpaka tunatukanwa na cameroon. bulsht, sipigi kura mimi....

Hakika mkuu, Namwona Mwinyi pale, na PINDA... eti pigia kura MLIMA Kilimanjaro. Nasema hawa jamaa vipi? Wakati wa kampeni walijaza mabango ya JK kila kona ya nchi. Kama lingekuwa ni suala lenye maslahi kwa nchi na hata vizazi vijavyo ni kwa nini wasijaze mabango kila kona kama vile ya JK 2010?

Kampeni yenyewe imeanza tangu 2009, iweje wazinduke dakika za lala salama, huu ni uigizaji mwingine. Na sjiui kwa faida ya nani.

Anyway, Naunga mkono KUTOUPIGIA KURA MLIMA KILIMANJARO hadi nitakapoona faida ya rasilimali zingine zinazoibwa kila kukicha - Wanyama, Madini, Mifugo nk.
 
Nasisitiza tena "Nimegoma kupiga kura ya kuufanya mlima Kilimanjaro uwe mmoja kati ya maajabu 7 ya asili duniani", ili kupinga wizi wa rasilimali za nchi.
 
GEDO, kama wewe umekataa, basi hata mimi sipigi kura! Kwanza sijawahi kufaidika hata kwa kupata kuni kutoka katika mlima huo..! Mbona hayazungumziwi maajabu ya TANZANITE, mbona hawazungumziwi VYURA WA KULE KIHANSI... Na vipi kuhusu kile KISIMA CHA MAJI YA BARAKA kule ukwereni.. Acheni hizi bhana..! Inauma sana kugawana mahalalio yetu kama zawadi jamani..

kabisa gedo, sipigi, na sitapiga! wanataka tuwape ulaji! i do not give a shit.
 
hatuwasusii!! Tunakata supply chain ya madawa ya kulevya..unapopga kura, unaendelea kusupply poda kwa mateja na kuendelea ku make things worse kwako na kwao..sasa tunakata supply ili waende arosto, na ikiwezekana wafe.
hali ikiwa mbata tanzania wa kwanza jkufa ni nana? Mafisadi??
 
Wadau mimi siku za mwanzo nilipiga kura moja kutumia mtandao, lakini nikaacha sikurudia tena kwa sababu zifuatazo;
1. Kampeni hii kumbe ilianza muda mrefu sana(mwaka 2009) lakini hawa watendaji wababaishaji wamekuja kushtuka saivi mwaka 2011, tena ikiwa imebaki takribani mwezi mmoja tu, so niliona kiushindani tu Tanzania tumeshashindwa.
2. Kampuni za simu kutokana na system yetu ya nchi ilivyo mbaya hazijajitolea kama CSR yao kuruhusu watu kutuma hizo sms kwenda hiyo namba BURE, nimesikia majuzi tu ikiwaa imebaki wiki hivi ndo kampuni moja/mbili imetoa hiyo service tena kimyakimya!
3. Sioni ni namna gani mimi kama mtanzania wa kawaida na hasa watanzania maskini watafaidika vipi na Kilimanjaro kuwa katika 7 wonders, naona kama kutakuwa na pesa zitaishia mikononi mwa mafisadi tu na kuendelea na umaskini wetu kama ambavyo tumefanyiwa ktk madini, mbuga za wanyama, n.k
Bora tubaki hivohivo, hao watalii wanaokuja wanatosha maana hata hizo wanazoleta hatuoni zinatusaidiaje!
It's too late to vote for Kilimanjaro and i dont think if this is of use and will be beneficial to poor Tanzanians.
Nawasilisha
 
wakuu habar.
muda mref hawa wanaharakat fek wananichefua sana, eti tupige kura, tuwape chakula. wahunituu. rasilimali ngapi hatujatumia? madini, mbuga, ardh.....mpaka tunatukanwa na cameroon. bulsht, sipigi kura mimi....

Kumbuka hao wanaokuchefua wataondoka duniani, lakini milma uatabaki daima kwa ajili ya kizazi chako kijacho. Unapofanya jambo la maendeleo, usiangalie wewe utafaikaje kwa muda mfupi, bali angalia watakauwepo baada yako watafaidikaje.
 
wakuu habar.
muda mref hawa wanaharakat fek wananichefua sana, eti tupige kura, tuwape chakula. wahunituu. rasilimali ngapi hatujatumia? madini, mbuga, ardh.....mpaka tunatukanwa na cameroon. bulsht, sipigi kura mimi....

Kumbuka hao wanaokuchefua wataondoka duniani, lakini milma utatabaki daima kwa ajili ya kizazi chako kijacho. Unapofanya jambo la maendeleo, usiangalie wewe utafaikaje kwa muda mfupi, bali angalia watakauwepo baada yako watafaidikaje.
 
Mwana harakati anatakiwa awe mzalendo kwanza, na sio kususa.

Haupigi kura kwa ajili ya CCM unapiga kura kwa ajili ya Tanzania.

Chama chochote kitakachokuja baada ya CCM pia kitauhitaji huu mlima kama mojawapo ya
chanzo cha mapato yake.

Na kama mafisadi wamefanikiwa kuondoa mapenzi yako kwa nchi yako basi ujue wewe mwenyewe umewapa ushindi mpaka hapo,na kwa attitude hii ya kususa hata kwa maslahi ya nchi basi CCM itaendelea kutawala milele.
 
kwa mlio kosea nakupiga awali, ushauri wa bure: pigia kura vvutiocvingine kuondoa effect ya kura yako...
no free lunch hapa, nini faida ya vvutio vyote tulivyonavyo kama shule hazina madawat, waalim etc. mikop vyuon hamna..dawa hosptal usiseme.
hapgikura mtu hapa
 
MLIMA Kilimanjaro uliopo nchini na ambao ni mrefu kupita yote barani Afrika, umetupwa nje ya orodha ya Maajabu Saba mapya ya dunia yaliyotangazwa juzi usiku.

Kuna wajanja walianza kujitajirisha nao.
 
Unatala tuchangie nini sasa hapa mkuu? Kufurahishwa kwako, kuenguliwa kwa Kilimjaro, hao waliokuwa wameanza kujinufaisha, au nini? Hata sielewi!
 
hureee. ...... utakuja kushinda tu hawa washenzi wakiondoka wote. I mean wakifa na nchi ikawa chin ya systm mpya ya kimaendeleo zaidi.
 
Unatala tuchangie nini sasa hapa mkuu? Kufurahishwa kwako, kuenguliwa kwa Kilimjaro, hao waliokuwa wameanza kujinufaisha, au nini? Hata sielewi!

si ndio hapo mkuu! mimi nilikuwa nsoma post yake huku natabasamu... huyu jamaa vipi..??~
 
hureee. ...... utakuja kushinda tu hawa washenzi wakiondoka wote. I mean wakifa na nchi ikawa chin ya systm mpya ya kimaendeleo zaidi.
Kweli kizazi hiki cha CCM (miaka 40.....70) inabidi wafe woootee!!
 
Unatala tuchangie nini sasa hapa mkuu? Kufurahishwa kwako, kuenguliwa kwa Kilimjaro, hao waliokuwa wameanza kujinufaisha, au nini? Hata sielewi!

Ni vigumu kumuelewa,angalau angetujuza sababu za kuenguliwa tungepata cha kujadili.
 
MLIMA Kilimanjaro uliopo nchini na ambao ni mrefu kupita yote barani Afrika, umetupwa nje ya orodha ya Maajabu Saba mapya ya dunia yaliyotangazwa juzi usiku.

Kuna wajanja walianza kujitajirisha nao.

Kaishi uingereza hili haki zako zitambulike. Hapa utakuwa na jazba tu na raia sio utamaduni wetu huo. Mwanaume unajiita easey???
 
hata mimi nimefurahi sana sanaaaaaaa....yaaani natamani hata waanzishe kura ya imani na rais nayo tupige
 
Back
Top Bottom