SIPENDI WATU hawa

SIPENDI WATU hawa

Emma M.

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2009
Posts
204
Reaction score
6
Kuna aina nyingi sana za watu siwapendi.
Siwapendi kabisa.
 
Nina wasi wasi kama wewe mwenyewe unajipenda, manake hueleweki unachomaanisha..
 
Kina nani hao? au watu wa aina gani?
Wazungu, Waafrika, Wahindi, Wachina au..
Wafupi, wanene, warefu au...
wanaaongea sana, wapole au

be specific kuna watu wa aina na tabia nyingi
 
Hiki kimekaa kama 'kitendawili-tega' fulani hivi cha kutupotezea muda!
 
We mtoa mada vp?? Mbona hueleweki unatujazia tu humu. Kata issues bana.
 
hiyo message au ujumbe wako mbona unahang? Hatuelewi tuchangie nini!!
 
Nina wasi wasi kama wewe mwenyewe unajipenda, manake hueleweki unachomaanisha..

Sipendi watu kama wewe NDUGU,
Watu ambao wasiponelewa hunilaumu mimi badala ya kujilaumu wao wenyewe kwa kutonielewa.
 
Kina nani hao? au watu wa aina gani?
Wazungu, Waafrika, Wahindi, Wachina au..
Wafupi, wanene, warefu au...
wanaaongea sana, wapole au

be specific kuna watu wa aina na tabia nyingi

Ni watu kama wewe SIPO,
Mnaopenda kila kitu kifanywe kwa kuwa specific.
Huwa hampendi general matters hata kama mtu hawezi kuwa specific.
Hamtakagi kumsaidia mtu ambaye siyo specific.
 
Ni dhambi kumchukia binadamu mwenzako!!!!!!!1

Mimi simpendi mtu kama wewe Who cares?
Watu mnaowahukumu wenzenu kwa kuwaambia wanatenda dhambi.
Watu mnaotaka wenzenu wapende kila mtu kwa hali yoyote.Ina maana hata mafisadi ni wapende tu.
 
We mtoa mada vp?? Mbona hueleweki unatujazia tu humu. Kata issues bana.

Sipendi watu kama wewe Shapu,
Mtu ambaye asipoelewa kitu huwa na maneno makali badala ya kuchunguza kama kuna nini ndani ya mada husika.
Watu ambao mko too SHAPU kulaumu.
 
mpende jirani yako kama unavyojipenda....sori...
Jirani ni yupi maana Vitabu vya dini huwa sivielewi mara msamehe 7 x 70=490 au Usimtamani mke wa jirani yako hivyo kama siyo mke wa jirani yako nisawa kumtamani...
 
Back
Top Bottom